wapi

The Wapi Project was a civic action program originated by the Royal Lao Government; it was performed in Military Region 4 of Laos from late 1963 through 1967. Notable for being among the first integrated programs to offer integrated services to the Lao Theung populace of southern Laos, it became a victim of its own success. Its lean efficiency led to its being crowded out of funding by more expensive programs.

View More On Wikipedia.org
  1. Binadamu Mtakatifu

    JamiiForums Tanzania Wamiliki wa tovuti za kiswahili wapi tutapata matangazo yenye kulipa zaidi? Hasa kwa wenye traffic ndogo

    .
  2. ESCORT 1

    JamiiForums Tanzania Walinzi wa Rais Samia wanajisahau, uko wapi usalama wa Rais hapo?

    Picha inajieleza, makosa ni mengi sana. Walinzi wa Rais Samia ni kama wamejisahau. Hii picha inaonesha ni jinsi gani Rais alikuwa hatarini.
  3. Sambinyakwe kitololo

    JamiiForums Tanzania Hizi pesa za chaguzi kwa matumizi haya huwa zinatoka wapi?

    Habari za muda huu watu Nauliza hivi hizi hela za chaguzi huwa zinatoka wapi je Kuna wadhamini au? Mana ukiangalia pesa zinavotumika hupati majibu. Nakumbuka miaka kadhaa nikiwa chuo zile chaguzi za serikali ya chuo sijui rais wa chuo form ilikuwa Kati ya 100k to 200k nadhani alafu mtu anaanza...
  4. T

    JamiiForums Tanzania Wapi napata latest generation tablet na desktop/laptop computer ?

    Hello wapi hapa mjini (maduka gani ?) Dar napata latest generation tablet na desktop/laptop computer kwa bei nzuri - reasonable price?
  5. Chizi Maarifa

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais Ruto: Polisi inapaswa kuwalinda watu wote bila kujali vyama vyao

    Huyu atakuwa amelewa. Hajui madaraka yakoje na tayari anaanza kuwa na akili za Kibeberu. Anaongea maneno gani haya? Utamaduni huu wa kuiga kwa mabeberu. Ni utamaduni wa hovyo. Anataka alete machafuko Kenya na East Africa? Nadhani ameshachoka kuwa Rais. Au ameshiba wenzake wenye uzoefu na Urais...
  6. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Mlio kwenye ndoa naombeni ushauri juu ya huyu mwanamke

    Kiukweli baada ya kuona hii pisi ikirandaranda kutafuta mume nimeamua kujivika bomu nioe mke wa pili. Wanamazengo mnasema? Si wife material kabisa huyu?
  7. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Hivi wanawake wanatuzidigi wapi wanaume akili?

    Hivi hawa viume ni wapi walitukamataga hasa sisi wanaume? Nikivuta taswira yaliyowatokea Adam, Samsoni etc nachoka kabisa. Unaweza kuta jitu babe hasa ila likikutana tu na mtoto wa kike mwenye miaka kumi na nane tu anatulia tuli ubabe wote kwisha. Huwa nabaki najiuliza hivi sisi wanaume...
  8. Mlalamikaji daily

    JamiiForums Tanzania Wapi vishikwambi? Mbona mpaka Leo wahusika hawajapewa?

    Tar 4 nov 2022 waziri mkuu alizindua zoezi la ugawaji vishikwambi Kwa walimu na wadau wengine wa Elimu huko Dodoma, Kwa hotuba ile na maelekezo Yale nilitegemea ndani ya wiki tu Vishikwambi vifikishwe sehemu husika! Lakini mpaka Leo Kimya vipi kunani? Ni siasa tu au wanasubiri uchaguzi ukaribie? Loh
  9. imhotep

    JamiiForums Tanzania Mkuu wangu Jokate huyu Mkandarasi mumemtoa wapi?

    Kuna Mkandarasi amepewa azibe viraka kwenye Barabara za Temeke ambalo ni jambo zuri sana, kwa sabababu ilishakuwa kero.. Jambo la ajabu kazidi kuyatanua mashimo halafu katokomea kusikojulikana katuachia adha kubwa kuliko hata ilivyokuwa awali. TARURA nao wanaona freshi tu hela zetu za Tozo...
  10. C

    JamiiForums Tanzania Wapi kuna live band ya zilipendwa Dar?

    Jamani wapi naweza kwenda penye band zinazopiga miziki ya zilipendwa hapa dar? Zamani sana nilikuwaga naenda Mawenzi garden tabata kulikuwa na band ya BANA MARQUIZ na sijui hata wao kwa sasa wanapiga wapi maana nilikuwa nawapenda sana. Nakaa kinondoni anyway so kama kuna band maeneo ambayo si...
  11. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Miti inakua kutoka wapi? Mbona hatuoni shimo pale ulipotoka?

    Habari wakuu sana. Eti wakuu. Miti inakua kutoka wapi? Mbona unakuta mti mkubwa sana. Una kilo hata milioni moja(ukiwa mkavu), lakini pale ulipotoka hatuoni kama kuna kilo milioni moja zimetoka. Mti unatoka wapi?
  12. EvilSpirit

    JamiiForums Tanzania Wapi naweza kupata kioo Original cha Samsung A10

    Simu yangu Samsung A10 imekufa kioo nataka kubadilisha sasa nahitaji kujua wapi naweza kupata kioo original maana nasikia kuna feki itakuwa vema nikikipata hapa nilipo sasa mbeya pia nahitaji kujua bei zake pamoja na kubadilisha.Msaada tafadhali wadau
  13. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Mnataka wenzenu Wale wapi?

    MNATAKA WENZENU WALE WAPI? Anaandika, Robert Heriel Unajua kuna watu ukiwatafakari utabaki unawashangaa Sana. Sijui wanafikiri kaa kutumia kiungo gani. Maana Kama wangetumia ubongo wasingefikiri Kwa namna hiyo. Unapojadili Jambo lolote lazima ushirikishe akili yako vyema ili usijidhalilishe...
  14. FATHER OF REALITY

    JamiiForums Tanzania Ukimya wa wapenda Nchi

    Bila Shaka sasa Nchi inaenda vizuri katika mwendo ambao tunauhitaji na tumeridhika nao, ishara ya hili inajionesha pale wakosoaji na wapenda nchi, yaani wazalendo nguli waliojitokeza kipindi cha hayati JPM kunyamaa Kwa kimya kikubwa. Nadhani sasa mambo yapo safiiii, kijamii, kiuchumi...
  15. Nyamwage

    JamiiForums Tanzania Wanawake hiyo haki yakusema mmetuvumilia sisi wanaume na hali zetu ngumu mnaitoaga wapi?

    Hi Mwanamke how unawezaje basi sema hata tumevumiliana maana hata na wewe pia nilikukuta una hali ngumu ya kiuchumi
  16. saidoo25

    JamiiForums Tanzania CCM iko wapi hadi Mawaziri wanampotosha Rais kiasi hiki

    Chama cha Mapinduzi (CCM) ni chama kinachoshika dola na kinaundwa kuanzia ngazi ya Shina, Tawi, Kata, Wilaya, Mkoa hadi Taifa lakini jambo la kusikitisha sana licha ya Wanachama wake wawili Mwigulu Nchemba na Januari Makamba kumpa taarifa za uongo Mh Rais wetu ambaye ni Mwenyekiti wa CCM na...
  17. Y

    JamiiForums Tanzania Wapi wanafundisha "kung fu" kwa ajili ya watoto naishi hapa Dar es Salaam?

    Salaam wana JF. Nina vijana wangu wawili Me na Ke umri ni miaka 12 na 8 respectively. Nataka niwape hawa madogo mafunzo ya self defense hivyo nauliza ni wapi wanafundisha *Kom Fu au Karate" kwa hapa Dar es Salaam? Lengo ni kuwafanya angalau waweze kujihami kwa issue ndogo ndogo.
  18. Mr Chromium

    JamiiForums Tanzania Joseph Kony yuko wapi?

    Habarini Tafadhari changia unachojua kuhusu huyu mtu? Kwa ufupi! Wasiomjua Joseph kony ni kiongozi wa waasi wa LRA (Lord resistance army) nchini Uganda waliokua wakipgana na serikali ya Museveni Kasikazini mwa UGANDA. Ni kati ya watu makatili zaidi.Pamoja na umoja wa mataifa kujalibu kumsaka...
  19. figganigga

    JamiiForums Tanzania Black Box ya Precision Air namba PW 494 -5H-PWF iliyopata ajali ipo wapi?

    Salaam, Kwa Pamoja Wakina Majaliwa wote tumewasikia na maelezo yao mmoja akiongelea kuhusu hali ilivyokuwa chini ya maji na Majaliwa Mwingine akielezea hali ya hewa ilivyokuwa mbaya. Tangu Majaliwa aseme Magufuli anachapa kazi wakati alikuwa anaumwa, simuamini tena na sitakuja kumuamini. "Rais...
  20. tpaul

    JamiiForums Tanzania Watangazaji wa kizazi hiki wanakera mpaka basi. Hivi wanaokotwa wapi hawa viumbe?

    Habari wanaJF? Naingia kwenye mada moja kwa moja bila kuwachosha na maneno mengi. Kwa mujibu wa utafiti binafsi nilioufanya hivi karibuni, usikilizaji wa redio na utazamaji wa TV umepungua sana miongoni mwa wafuatiliaji wa habari. Hili halijatokea kwa bahati mbaya bali ni kwa sababu ya...
Back
Top Bottom