Mwanaume akutongoze, kisha umfuate kwake kumkanya, kweli ulisikia wapi?

Nobunaga

JF-Expert Member
Mar 22, 2019
1,169
4,985
Hii script inazidi kuwa unbelievable and untrustable zaidi ya bongo muvies zetu. Kitendo cha mwanamke ambaye ni Mamq Mchungaji kutumiwa meseji za mapenzi na Katibu wa Kanisa lao kisha ati amchukue mmama mwingine haraka haraka na kwenda kwa huyo Katibu kwenda kumuambia aache, badala ya kutoa taarifa kwa mumewe kunaashiria vingi sana lakini kikubwa ni kwamba hii ni statement ya uongo.

Ni ngumu sana katibu wa kanisa kumtumia meseji za mapenzi Mama Mchungaji, kisha Mama Mchungaji eti ajifunge kibwebwe kwenda kumkanya katibu. Polisi wanaweza kujua mahusiano yalikuwepo au kutokuwepo kwa kupitia SMS tu? Halafu mke mwenyewe ni wa mchungaji wako na wewe ni katibu wa kanisa hilo, mke wa mchungaji akufate na mwanamke mwingine kuja kukwambia usimtumie meseji za mapenzi?

Mama mchungaji aache kumwambia mumewe ili akuondoe kuwa karibu naye? Mke ameenda kwa jamaa na baadaye jamaa amekufa na tayari wame-rule out kajinyonga. What if kama walimmaliza ndio wakaamua kufunika kwa kutumia simu yake kufanya hayo mawasiliano?

Polisi wadili na mauaji tuu, hayo ya mapenzi wayaweke kando kwanza.

PUBLIC CAN NOT BUY THIS CHEAP EXPLANATIONS.

IMG_20221004_174602.jpg
 
View attachment 2377177
Kuna wadada wamefungua taasisi ya kuwakanya wanaowatongoza na kuwafuata nyumbani kwao
 
Hawa hapa ndio wanaoujua ukweli

Mke wa Masanja
Mke wa Masanja
Mke wa Masanja

Hao wengine woooote hawana wanachokijua kuanzia

Masanja
Huyo mama wa mchongo aliechomekwa kwenye script
Polisi wao wanachojua ni SMS za mchongo

Mambo ya ndani anaejua ni mlengwa mwenyewe ambae ni mke wa masanja ndie

Napita..
 
Hii script inazidi kuwa unbelievable and untrustable zaidi ya bongo muvies zetu. Kitendo cha mwanamke ambaye ni Mamq Mchungaji kutumiwa meseji za mapenzi na Katibu wa Kanisa lao kisha ati amchukue mmama mwingine haraka haraka na kwenda kwa huyo Katibu kwenda kumuambia aache, badala ya kutoa taarifa kwa mumewe kunaashiria vingi sana lakini kikubwa ni kwamba hii ni statement ya uongo.

Ni ngumu sana katibu wa kanisa kumtumia meseji za mapenzi Mama Mchungaji, kisha Mama Mchungaji eti ajifunge kibwebwe kwenda kumkanya katibu. Polisi wanaweza kujua mahusiano yalikuwepo au kutokuwepo kwa kupitia SMS tu? Halafu mke mwenyewe ni wa mchungaji wako na wewe ni katibu wa kanisa hilo, mke wa mchungaji akufate na mwanamke mwingine kuja kukwambia usimtumie meseji za mapenzi?

Mama mchungaji aache kumwambia mumewe ili akuondoe kuwa karibu naye? Mke ameenda kwa jamaa na baadaye jamaa amekufa na tayari wame-rule out kajinyonga. What if kama walimmaliza ndio wakaamua kufunika kwa kutumia simu yake kufanya hayo mawasiliano?

Polisi wadili na mauaji tuu, hayo ya mapenzi wayaweke kando kwanza.

PUBLIC CAN NOT BUY THIS CHEAP EXPLANATIONS.

View attachment 2377177
Marehemu hawezi kujitetea na hana haki. Imetoka hiyo.
 
Taarifa ya polisi imezidisha mkanganyiko badala ya kuondoa sintofahamu... Kuna mengi nyuma ya pazia na naambiwa marehemu keshazikwa.. SO FAST!?
 
inamaana jamaa alikataliwa ndio akaona hamna namna zaidi ya kujitoa uhai?.

Aligundua akifa ndio ataonewa huruma na wakikutana paradiso atapewa.

police wanapaswa kwenda ndani zaidi kuibua yaliyojificha na kujivunia weredi, Nchi zilizoendelea hizi issues ndio sehemu ya vyombo vya usalama ujipatia ujiko na kujenga uaminifu kwenye jamii.
 
Jeshi letu la Polisi kuna mahala linapwaya.! Taarifa iliyotolewa haijatosheleza, Wanapaswa kuwahoji masanja na Mke wake na washiriki wengine. Hapo kuna ukweli fulani ambao unahitaji uthubutu kidogo tu wa Kufikia kwenye ukweli. Eti mtu ajinyonge kisa kakataliwa ? Kweliii ? Wangapi na mara ngapi wanaume tunakataliwa na hatukuwahi kuwaza hivyo. Kuna kitu hapo.!
 
Back
Top Bottom