Maji ya kujaza Bwawa la Nyerere yatatoka wapi?

Retired

JF-Expert Member
Jul 22, 2016
40,311
73,855
Tanesco wametutaarifu kuwa vyanzo vyote vya mabwawa yanayofua umeme yamepatwa na upungufu wa maji na hivyo uwezo wa kuzalisha umeme ni mdogo. Consequently jana tulikuwa hatuna umeme (total blackout) kuanzia saa 4 usiku hadi saa 2 asubuhi ya leo.

Sasa hizo hela kwanini tunaziharibu na kuharibu mazingira kwa kitu ambacho hakitakuwa na manufaa kama ilivyotegemewa. Mabadiriko ya tabia nchi yanatwambia kuwa maji itakuwa ni shida na ndiyo maana mvua za vuli mwaka huu ni kama hakuna kabisa!

Nishati mbadala ni ipi? Nadhani tuliangalia hili kama njia mbadala wa hili bwawa la 2100 Mega watts

===========

Julius Nyerere Hydropower Station

Description

Julius Nyerere Hydropower Station is a hydroelectric dam under construction across the Rufiji River in eastern Tanzania. Although controversial, the government approved the plans in 2018. The power station is expected to have an installed capacity of 2,115 megawatts and to produce 5,920GWh of power annually.

Risks to operation
There are a number of risks to the effective functioning of the Stiegler's Gorge Hydropower Project, if it is completed.

One of these comes from climate change. It is unclear if the total rainfall in Tanzania will increase or decrease, but studies suggest that precipitation's variability will increase.[65][66] This is important as it will affect hydropower production, decreasing the dam's electricity-generation reliability.

This is particularly important in the context of hydro-dependency. Tanzania gets the majority of its electricity from hydropower. A failure in these dams in the dry season is the key reason for the country's power failures, which happen frequently.[67][68][66] This vulnerability will increase if the Stiegler's Gorge Dam is completed. If brought online today, a failure of the Stiegler's Gorge Hydropower Plant would reduce power production by 58.3%.

Wikipedia
Opened: December 2022
Height: 134 m
Construction cost: US$2.9 billion
Location: Stiegler's Gorge, Morogoro Region, Tanzania
Total capacity: 34,000,000,000 m3 (1.2×1012 cu ft)
Owner(s): TANESCO
Construction began: 2019
 
Nilimshauri Magufuli nunua kinu cha nuclear uranium unayo achana na maji yatakauka ona sasa.
 
CCM wanaweza kuyatoa BAHARINI kupeleka kwenye Bwawa.
Kama Mzee Rungwe yupo tayari kuyatoa maji Dar na kuyapeleka Morogoro mpaka Dodoma itakuwa hao Ccm na akili zetu hizi za kuvukia bara bara lazima tukubali
 
Nyerere aliona mbali haswa kwenye mchanganuo wa EIA kabla ya mradi...leo tumeharibu ikolojia ya Rufiji deltas......watalaam waliona mbali na kuonya....
 
Kuna watu Wana vikampuni vyao viko subcontracted, Wana midomo balaa, mmoja kafukuziliwa Malawi, mwingine hata bosi wake alishamwambia ana kichaa
 
Nadhani hapa katikati kulitokea watu flani hivi wabishi.
Kuna mtu aliweza kuamuru maji yawepo na yakawepo, tena akaamuru mitambo isipate hitilafu na ikawa hivyo!

Tumewasikia wakiweweseka, mara matengenezo, mara maji....ukikaza ubongo vizuri, utajua ni mipango; wameenda mkoani, wametoa bilioni kadhaa kununua umeme wa maji unaozalishwa na wanakijiji.
 
Kuna mtu aliweza kuamuru maji yawepo na yakawepo, tena akaamuru mitambo isipate hitilafu na ikawa hivyo!

Tumewasikia wakiweweseka, mara matengenezo, mara maji....ukikaza ubongo vizuri, utajua ni mipango; wameenda mkoani, wametoa bilioni kadhaa kununua umeme wa maji unaozalishwa na wanakijiji.
Uwe unafuatilia Hali ya hewa nchini kwako, masika iliyopita hapakua na mvua,na masika inayofuata mvua hakuna.

Siyo kutafuta vijisababu vya kupinga, magu aliambiwa Hilo bwawa ni white elephant, amalizie project za kinyerezi, akataka kumuenzi baba wa taifa
 
Nilimshauri Magufuli nunua kinu cha nuclear uranium unayo achana na maji yatakauka ona sasa.
Cha kushangaza hizi story za mabwawa kuishiwa maji zilikuwepo enzi zileeeee! Alipoingia madarakani nanihiii zikakoma ma mabwawa yakawa na maji sasa hivi nanihii hayupo story zilezile za mabwawa kuishiwa maji zinarudi tena,anyway tujiandae kununua tutututututuu
 
Back
Top Bottom