Black Box ya Precision Air namba PW 494 -5H-PWF iliyopata ajali ipo wapi?

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
25,492
54,895
Salaam,

Kwa Pamoja Wakina Majaliwa wote tumewasikia na maelezo yao mmoja akiongelea kuhusu hali ilivyokuwa chini ya maji na Majaliwa Mwingine akielezea hali ya hewa ilivyokuwa mbaya.

Tangu Majaliwa aseme Magufuli anachapa kazi wakati alikuwa anaumwa, simuamini tena na sitakuja kumuamini. "Rais ana shughuli nyingi, Wanataka atoke aende wapi, Kariakoo au Magomeni tangu lini?"

Sasa ni Wakati wa kupata maelezo ya Kutaalam sio blaa blaa.

Ndege ina kifaa Maalum cha kurekodi mwenendo wa ndege na Maongezi yote kwenye Chumba cha Rubani.

Hicho kifaa kwanini hatuambiwi kilipo?

Unaweza kuta tunadai ni hali ya hewa kumbe rubani alitekwa au ndege ilifanyiwa hujuma.

Tunaomba kujua Black Box ilirekodi nini. Msije tuambia kwamba ile ndege ilopata ajali haina CVR na FDR.

Siasa juu ya ajali imefanyika vya kutosha. Kila mtu anaongea anavyojua...

Je, black Box ilipatikana? Ipo wapi? Au ilipotelea Ziwa Victoria?

Naamini ndo itamaliza ubishi na kutufanya tujue tulipokosea ili tufanyie kazi.

Naomba kujua
blackbox.jpeg
 
Katika vitu ambavyo kwa ss siasa haitokuwa na uwezo navyo ni kuhusu uchunguzi juu ya ajali hii ya ndege. Ajali ya ndege inakuwa na interest ya stakeholders wengi mno internals na externals. Kwa haraka haraka, manufacturers wa airframe watafanya uchunguzi, lkn pia manufacturers wa engine watafanya yao, wapo ambao ni independent pia watafanya.

TCAA nao watafanya lkn wao owners wa ndege watahusika pia kufanya yao. Kumbuka insurer yy ndo kbs maana pigo moja kama hilo linaweza filisi kbs insurance company sema tu uzuri kwa bongo na africa kwa ujumla insurance ya ndege huwa ni reinsurance kwa maana kwamba insurance inakuwa kwenye International pool so haitakuwa pigo direct kwa insurer mfano NIC.... kua void hilo insurance nao watafanya kusimamia uchunguzi wa kina juu ya such accident!
 
Msumari wa m

View attachment 2412063
Msumari wa moto huo hicho kifaa ni bora apotee binadamu lakini hicho lazima kipatikane kwa vyovyote vile. Ndege inaungua kinapatikana sembuse kutumbukia kwenye maji tena kina chake hakizidi mita 150?

Je, kuna mhudumu mmojawapo aliokolewa au wote walikimbilia chumba cha Rubani kama ilivyo kawaida yao pindi inapotokea dhoruba?
 
Katika vitu ambavyo kwa ss siasa haitokuwa na uwezo navyo ni kuhusu uchunguzi juu ya ajali hii ya ndege. Ajali ya ndege inakuwa na interest ya stakeholders wengi mno internals na externals. Kwa haraka haraka, manufacturers wa airframe watafanya uchunguzi, lkn pia manufacturers wa engine watafanya yao, wapo ambao ni independent pia watafanya.

TCAA nao watafanya lkn wao owners wa ndege watahusika pia kufanya yao. Kumbuka insurer yy ndo kbs maana pigo moja kama hilo linaweza filisi kbs insurance company sema tu uzuri kwa bongo na africa kwa ujumla insurance ya ndege huwa ni reinsurance kwa maana kwamba insurance inakuwa kwenye International pool so haitakuwa pigo direct kwa insurer mfano NIC.... kua void hilo insurance nao watafanya kusimamia uchunguzi wa kina juu ya such accident!
CCM hawana uwezo wa kuficha uchunguzi huru wa hii ajali, yote yatabainika kwamba ni nini hasa chanzo cha ajali hiyo. Kama ulivyosema wadau ni wengi mno wanaotakiwa kujua riport hii - Majeruhi, Ndugu wa waliopoteza maisha, Bima, Watengezaji wa ndege, Shirika lenyewe ili mambo ya kisheria yaweze kuchukua mkondo wake.

So tutapewa kila kitu, tuwe na subira.
 
Salaam,

Kwa Pamoja Wakina Majaliwa wote tumewasikia na maelezo yao mmoja akiongelea kuhusu hali ilivyokuwa chini ya maji na Majaliwa Mwingine akielezea hali ya hewa ilivyokuwa mbaya.

Tangu Majaliwa aseme Magufuli anachapa kazi wakati alikuwa anaumwa, simuamini tena na sitakuja kumuamini. "Rais ana shughuli nyingi, Wanataka atoke aende wapi, Kariakoo au Magomeni tangu lini?"

Sasa ni Wakati wa kupata maelezo ya Kutaalam sio blaa blaa.

Ndege ina kifaa Maalum cha kurekodi mwenendo wa ndege na Maongezi yote kwenye Chumba cha Rubani.

Hicho kifaa kwanini hatuambiwi kilipo?

Unaweza kuta tunadai ni hali ya hewa kumbe rubani alitekwa au ndege ilifanyiwa hujuma.

Tunaomba kujua Black Box ilirekodi nini. Msije tuambia kwamba ile ndege ilopata ajali haina CVR na FDR.

Siasa juu ya ajali imefanyika vya kutosha. Kila mtu anaongea anavyojua...

Je, black Box ilipatikana? Ipo wapi? Au ilipotelea Ziwa Victoria?

Naamini ndo itamaliza ubishi na kutufanya tujue tulipokosea ili tufanyie kazi.

Naomba kujua
View attachment 2412063
Ndege mbovu zimechoka na ni mitumba ,hazina black box
 
Kwa kuangalia muonekano wa ile ndege baada ya kutolewa ziwani ni wazi CVR na FDR zitakuwa zipo ndani ya ndege. Na hata kama zimetumbukia majini haiwezi kuwa ngumu kwa wafaransa kuzipata. Plus, huwa zina battery that emits a signal so they can’t be lost easily in such shallow water. Ila atakuwa mpumbavu yule adhaniaye anaweza kuzificha ili kuvuruga uchunguzi. Wazungu wa ndege watadeal nae vizuri😃
 
Mbona walishasema Kisanduku Cheusi kimepatikana!

Punguzeni mihemuko serikali ya Ufaransa ndiyo inayochunguza
 
CCM hawana uwezo wa kuficha uchunguzi huru wa hii ajali, yote yatabainika kwamba ni nini hasa chanzo cha ajali hiyo. Kama ulivyosema wadau ni wengi mno wanaotakiwa kujua riport hii - Majeruhi, Ndugu wa waliopoteza maisha, Bima, Watengezaji wa ndege, Shirika lenyewe ili mambo ya kisheria yaweze kuchukua mkondo wake.

So tutapewa kila kitu, tuwe na subira.
Hivi sisi twawala unawajua wewe🤔 kuficha na kubadili hiko chama kinaongoza duniani
 
How? Hii inchi naijua nimeishi miaka 40 Sasa haya wakitumwa watu waseme Ni kitengo maalumu Kama walioingia clouds? Na silaha za vita
Kwa kuangalia muonekano wa ile ndege baada ya kutolewa ziwani ni wazi CVR na FDR zitakuwa zipo ndani ya ndege. Na hata kama zimetumbukia majini haiwezi kuwa ngumu kwa wafaransa kuzipata. Plus, huwa zina battery that emits a signal so they can’t be lost easily in such shallow water. Ila atakuwa mpumbavu yule adhaniaye anaweza kuzificha ili kuvuruga uchunguzi. Wazungu wa ndege watadeal nae vizuri😃
 
How? Hii inchi naijua nimeishi miaka 40 Sasa haya wakitumwa watu waseme Ni kitengo maalumu Kama walioingia clouds? Na silaha za vita
Endelea kuijua. Lakini hujui kuwa uchunguzi wa ajali za ndege ni jambo la kimataifa. Hakuna kitu watu wako watafanya
 
Hivi sisi twawala unawajua wewe🤔 kuficha na kubadili hiko chama kinaongoza duniani
Hawawezi. Elewa utaratibu wa ajali za ndege ni jambo la kimataifa. Kwenye uchunguzi lazima wawepo waliotengeneza hiyo ndege, na labda maafisa wa usafiri wa ndege kwa nchi husika ilipotengenezwa. Huwezi kuficha, labda uwe north korea na ugome vinginevyo hakuna kitu utafanya.
 
Back
Top Bottom