Huyu ndiye Mwanamke ninayemhitaji kwa sasa. Nitashukuru nikimpata naye atakuja nishukuru baadaye na kujilaumu alikuwa wapi

Komeo Lachuma

JF-Expert Member
Oct 31, 2014
5,653
11,957
Nimeona tu niweke hili wazi kwa moyo mweupe kabisa. Duniani kwa sasa tumekuwa busy sana hatuna tena muda wa kufukuzia mapenzi na kusumbuana mchana na usiku kimapenzi.

Mimi siwezi na niseme si mzuri wa kutongoza. Huwa nikimpenda mwanamke namwambia tu kuwa nakupenda naomba tuwe na mahusiano ya kimapenzi.

Short and clear. Akikubali ndo tunaanza. Akisita basi naachana naye naendelea mbele. Kwa kweli muda wa kuanza kubembeleza mtu ambaye sijawa naye sina na siwezi.

Ila tunapoanza mapenzi naweza bembeleza sana ili nisije tena pata usumbufu tunapoachana kutafuta mwingine.

Sasa ni hivi. Natafuta mwanamke ambaye ni matured. Anajielewa na anaelewa anataka nini. Umri ni kuanzia miaka 30 plus. Naamini huyu atakuwa tayari amekomaa kiakili. Awe mzuri.... Elimu angalau ya chini kabisa iwe ni Certificate. Afahamu kiingereza pia.

Awe na mwili wa unene asiwe mwembamba sana. Awe na nyama...ili hata ikitokea siku hatuna pesa tuchome hata mishkaki. Sipendelei wanawake vimbaumbau.

Rangi awe nayo ya asili. Iwe black or white. Asiwe amejichubua uso na mwili rangi tofauti. Tutakuwa wapenzi marafiki. Awe tayari kwanza kupima afya nami pia. Kisha tuwe tunakutana kwanza tunatoka out na kuzoeana.

La muhimu sana. Awe tayari tufahamiane sehemu tunazoishi. Tuaminiane na pia we mcheshi mimi si muongeaji sana. Tutasaidiana ila asitangulize pesa mbele. Mimi sitokuwa nikimnunua ila nitakuwa nikimsaidia anapokuwa na mahitaji.
 
Kuna vitu wiwili hapo ninaona ndio vitakucheleweshea kumpata huyo unayemtaka:
1.Anajielewa na anaelewa anataka nini.
2.Asitangulize pesa mbele.
kuwapata hao wa hivyo kwenye dunia ya leo ni sawa na kutafuta dhahabu kwenye mawe....
 
Komeo.

Single maza wapite.mbali na uzi huu au?
Miaka 30+ ....hadi 50 au?
Unakomentigi kwa busara nilijua ushaoa
Kasoro ule uzi wako wa kuchungulia vitumbua
🤣🤣🤣Wala hata sichungulii... Wao tu wanaweka hadharani... Nisamehe tu kwa ule uzi kwa kweli. Nilishangazwa na hilo jambo. Bado sijaoa kwa kweli. Napenda nami siku moja nioe...ndo hivyo.
 
Hivi siyo wewe uliyesema unasubiri kiinua mgongo cha baba
Ni sawa. Nacho nakisubiria. Sidhani kama hapo nakosea. Ni haki yangu. Mimi ndo mtoto mkubwa na wakiume. So ni haki yangu ya msingi. Sister alishapewa nyumba na mumewe. Huoni kuwa nipo sahihi?
 
Komeo.

Single maza wapite.mbali na uzi huu au?
Miaka 30+ ....hadi 50 au?
Unakomentigi kwa busara nilijua ushaoa
Kasoro ule uzi wako wa kuchungulia vitumbua
Hadi 45. Single mother akiwa anajielewa na ametulia sioni tatizo. Napenda tu mwanamke anayejielewa. Ni muhimu sana.
 
Nimerudi kuangalia posts zako za jana 😂😂😂😂🏃‍♂️

Kuangalia... 😳 Macho kwa macho na kitumbua. Mdada hajavaa chupi. Nikahisi labda macho yangu yananicheza shere. Nikatizama tena...😳... Nikagundua ni kweli....😂 Bidada hajaweka kifuniko cha utamu.

Nlishangaa sana. Maana huyu wa sita. Mwingine naye nliwahi mwona amekaa kwenye meza ya jamaa naye bumunda linapumua tu hivi...kama chura..... Ofisini pia kuna watu wawili nao vivyo hivyo....wakitembea unaona kabisa mirindimo ya pwani.

Nimejiuliza kulikoni hii style mpya ...kuacha bumunda,kitumbua bila kufunikwa? Ni fashion mpya au ushauri wa kitaalamu?
 
Nimeona tu niweke hili wazi kwa moyo mweupe kabisa. Duniani kwa sasa tumekuwa busy sana hatuna tena muda wa kufukuzia mapenzi na kusumbuana mchana na usiku kimapenzi.

Mimi siwezi na niseme si mzuri wa kutongoza. Huwa nikimpenda mwanamke namwambia tu kuwa nakupenda naomba tuwe na mahusiano ya kimapenzi.

Short and clear. Akikubali ndo tunaanza. Akisita basi naachana naye naendelea mbele. Kwa kweli muda wa kuanza kubembeleza mtu ambaye sijawa naye sina na siwezi.

Ila tunapoanza mapenzi naweza bembeleza sana ili nisije tena pata usumbufu tunapoachana kutafuta mwingine.

Sasa ni hivi. Natafuta mwanamke ambaye ni matured. Anajielewa na anaelewa anataka nini. Umri ni kuanzia miaka 30 plus. Naamini huyu atakuwa tayari amekomaa kiakili. Awe mzuri.... Elimu angalau ya chini kabisa iwe ni Certificate. Afahamu kiingereza pia.

Awe na mwili wa unene asiwe mwembamba sana. Awe na nyama...ili hata ikitokea siku hatuna pesa tuchome hata mishkaki. Sipendelei wanawake vimbaumbau.

Rangi awe nayo ya asili. Iwe black or white. Asiwe amejichubua uso na mwili rangi tofauti. Tutakuwa wapenzi marafiki. Awe tayari kwanza kupima afya nami pia. Kisha tuwe tunakutana kwanza tunatoka out na kuzoeana.

La muhimu sana. Awe tayari tufahamiane sehemu tunazoishi. Tuaminiane na pia we mcheshi mimi si muongeaji sana. Tutasaidiana ila asitangulize pesa mbele. Mimi sitokuwa nikimnunua ila nitakuwa nikimsaidia anapokuwa na mahitaji.
fair enough
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom