Na Mzee Kigogo allypipi tusimsahau mwamba Extroverthuyu mwamba anapenda sana kugonga likes za kutosha humu bila kinyongo, mkuu mkwepu jr hebu gonga like kwanza tuendelee kutambua uwepo wako
Salute sana washuaNa Mzee Kigogo tusimsahau mwamba Extrovert
Kuna kipindi cha nyuma Daudi Mchambuzi alikuwaga anagonga likes za hatariiii kwa kila uzi.