Wapi naweza kupata Amonia ya maji jijini Mwanza?

Kizibo

JF-Expert Member
Jul 3, 2018
3,872
8,383
Heshima kwenu wakuu.

Napenda kuuliza, kwa hapa mwanza ni katika maeneo gani na katika maduka ya aina gani (category) naweza kupata ammonia ya maji? Na je bei yake ni kiasi gani?

Asanteni sana
 
Nenda kwenye maduka ya mission ya vifaa vya maabara utapata hiyo ammonia hydroxide!

Lakini andaa sababu za msingi za ununuzi huo!!la sivyo watagoma kukuuzia!

Bei ni zaidi ya 30000/= inategemea na mfumuko wa bei!
 
Heshima kwenu wakuu.

Napenda kuuliza, kwa hapa mwanza ni katika maeneo gani na katika maduka ya aina gani (category) naweza kupata ammonia ya maji? Na je bei yake ni kiasi gani?

Asanteni sana
Mkuu unataka kuweka mbolea ya sumu kwenye maji au kutengeneza bomu? Kitengo cha kupambana na ugaidi lazima washtuliwe. Ila unakaa kigalatigalatia labda unahitaji iyo ammonia kwa matumizi mazuri tu yenye tija. Ila ungekuwa wa upande hule
 
Back
Top Bottom