wapi

The Wapi Project was a civic action program originated by the Royal Lao Government; it was performed in Military Region 4 of Laos from late 1963 through 1967. Notable for being among the first integrated programs to offer integrated services to the Lao Theung populace of southern Laos, it became a victim of its own success. Its lean efficiency led to its being crowded out of funding by more expensive programs.

View More On Wikipedia.org
  1. R

    JamiiForums Tanzania Msaada wapi naweza kupata Generator Kwa Bajeti ya 200k

    Habari za Leo Mimi ni mjasiriamali kutokana na changamoto hii ya mgao wa umeme naomba kupata msaada wa kujua sehem ambayo naweza pata generator kwa Bajeti ya 200k kwa ajili ya barber shop nipo DSM Naomba kuwasilisha maana TANESCO imeamua kutupatia Umasikini na Serikali haipendi kuona raia...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Msaada: Television yangu inabadili channels yenyewe, nibonyeze wapi au nifanyaje tatizo liishe?

    Kama heading inavyoeleza, tv yangu aina ya SAMSUNG ina hilo tatizo na sijui kuna mtu hapa nyumbanialichezea kwakweli sielewi. Hivi sasa Nlnaangalia mpira ils kwa shida kwani channel zinajibadili zenyewe na nimejaribu kurekebisha tatizo hili limenishinda na ni muda sasa(sio leo tu). Hivyo...
  3. IamBrianLeeSnr

    JamiiForums Tanzania Hapa huwa najiuliza ni wapi tunapokosea Watanzania? Uongozi wa aina ipi tunaohitaji kufanya kazi pasipo kushurutishwa?

    Our late president JPM alikuwa Chapakazi sana kwa hili nampongeza sana kwa wakati ule alipopokea kijiti kutoka kwa JK alikimbia sana na wakati kwenye kuinua nchi upande wa nyezo za uchukuzi na kuipa nchi nafasi nyingine ya kuingia mikataba yenye uhai hata hivi leo bado zinaendelea kufanya...
  4. kavulata

    JamiiForums Tanzania Mgeni mwalikwa Mkutano Mkuu wa CCM kuita CCM 'Chama cha Mambuzi' ni kwa bahati mbaya au kweli?

    Nilicheka hadi nikafufuka upya wakati mjumbe wa Ethiopia alipokiita CCM chama cha mambuzi. hebu msikilize na wewe
  5. Maleven

    JamiiForums Tanzania Wapi naweza pata Acrylic sheet kwa Dar es Salam?

    Ndugu naomba kufahamu mahali naweza kupata acrylic sheet
  6. M

    JamiiForums Tanzania Yuko wapi Erick Komanya Kitwala. Alikuwa Dc Tabora na teuzi yake toka kwa hayati ilisadikika kujaa upendeleo

    Hatumuoni kwenye majukwaa ya CCM akirap. Baba yake alifanya kazi na hayati Nyanza Coop Ltd na hapa ndio ikawa mwanya wa upendeleo. Alichukiwa na wanaunyanyembe sana. Hasa waswezi wa unyanyembe kwa dharau zake
  7. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Naweza kupata wapi bidhaa hizi

    1. Lubricant and coolant 2. Mechanical spare parts 3. Laboratory chemicals and water treatment chemicals 4. Propane refrigerant 5. Valves spareparts 6. Gas engine turbocharger.
  8. Nyamwage

    JamiiForums Tanzania Zanzibar samaki zenu huwa mnauzia wapi? Mbona adimu sana

    Nipo hapa kwenye kisiwa cha marashi ya karafuu jioni nikaenada zangu barabarani kuzurura nikakutana na wauza samaki wa kukaanga sikuuliza bei maana huku bongo huwa tunawanunua kwa buku ikizidi sana buku jero, nikawagonga samaki watatu palepale nikamaliza natoa elfu tano ili nirudishiwe chenji...
  9. Equation x

    JamiiForums Tanzania Unakwama wapi?

    Mwaka unaelekea ukingoni, umeajiriwa labda unakipato cha laki mbili, sita, milioni n.k, lakini huna hata genge la nyanya wala supu; angalau kila siku uwe unaangusha mbuzi mmoja. Kwa kifupi, unaishi kwa mshahara tu au uchawa; tatizo ni nini? Na mpaka sasa umechukua hatua gani?
  10. Area 56

    JamiiForums Tanzania Wako wapi waliokuwa walinzi wa hayati Magufuli?

    Je walistaafu? Je walipangiwa majukumu mengine kama inavyotokeaaga kwa wanasiasa? Sio mbaya kujua walipo Watanzania wenzetu
  11. stineriga

    JamiiForums Tanzania Janga la umeme linaloendelea, tujuzane wapi unaweza kwenda kufanya kazi zako kwa kulipia au kununua wanachouza

    Ni miezi miwili au mitatu sasa hakuna umeme wa uhakika kabisa, nijikite kwenye mada. Wapi kwa Dar es salaam, Arusha, Mwanza, Mbeya, au kwingine ukiwa na kazi za ofisini kwenye laptop unaweza kwenda kufanya kazi zako pindi umeme unapokatika. Maana yake wengine tutakufa njaa na kazi za watu...
  12. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Vijana mnafeli wapi? Oneni wenzenu wanavyojua kutafuta pesa

    Hawa jamaa wameamua kabisa kufyatua akili zao ili waishi vizuri hapa mjini .🤣🤣🤣
  13. Equation x

    JamiiForums Tanzania Amelowanisha kitanda chote, nikalale wapi?

    Wiki iliyopita, nilipata mwaliko kutoka kwa mpenzi wangu (mchepuko), kuwa ananihitaji, niende nikamchangamshe. Baada ya kunishawishi sana kwa maneno matamu, nikaona bora niende nikamtimizie haja zake; asije akafa bure kwa kukosa huduma muhimu. Kumbuka; huyu mwanamke ana umbo zuri sana...
  14. ERTUGRUL BEY

    JamiiForums Tanzania Eti Mabaharia ambao huwa mnafeli kupata namba za Warembo huwa Mnafeli wapi?

    Nipo Coco beach now nimepitia hapa kupunga upepo kwani niliumiss flan hivi. Kulia kwangu kuna Akina dada wanapanda farasi huku wanapiga picha kuweka kumbukumbu,nyuma kidogo kuna wamasai ambao wamechill Chini ya mnazi wanawaza mambo yao, mbele yangu wanapita wadada watatu wa kizungu wanafurahia...
  15. MAHANJU

    JamiiForums Tanzania Kituo cha afya chazinduliwa bila choo Ikungi, Singida. MoH mko wapi?

    Na Gregory Jumbe Mahanju, Tunaambiwa kua uyaone, tembea uone mengi, ukistaajabu ya Musa utayaona ya Firauni. Hizi methali nilipokua mdogo nilidhani tu misemo tu ya waswahili làkini kumbe ni ukweli wenyewe unaotendeka kwenye jamii yetu. Katika hali ya kustaajabisha kabisa, baada ya Malalamiko...
  16. Eagle Wa njano

    JamiiForums Tanzania Kwanini bara la Afrika lipo nyuma kwa kila kitu kuliko mabara mengine?

    Habari gani ndugu wananchi? Kuna jambo limeliwaza sana hasa nilipokuwa nikitazama kombe la dunia hii leo kule Qatar. Shida hivi ipo wapi kwa nchi za kiafrica? Kwann kila kitu kibaya ni Africa? Uongozi, tunalalamikiana Africa, Sayansi na teknolojia tupo nyuma zaidi ya sana nahisi ndo wa Mwisho...
  17. aka2030

    JamiiForums Tanzania Product za Feza Schools huwa zinapotelea wapi?

    Naomba kujua Hii shule zaidi ya miaka 15 kila mwaka kitaifa matokeo ya form 4 na form 6 lazima iwepo. Ila product zake sijawahi kutana nazo sio serikalini hata private sector. Huwa zinaenda wapi?
  18. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Jakaya Kikwete huwa unaupeleka wapi umeme wa Tanzania?

    Neno "Megawatt" lilikuwa halijulikani kwa ngwini wengi mpaka Kikwete alipokuwa madarakani kama Rais. Kipindi cha JK ndiyo tukajua kumbe TANESCO ni shirika linalotegemea makampuni mengine kutupatia umeme. Ndiyo tukajua kumbe bila Dowans, Symbion, IPTL, Richmond hakuna umeme Tanzania. Magufuli...
  19. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Leo nimetumia choo kichafu sana mjini baada ya kushikwa na tumbo, sijui nimepata wapi ujasiri

    Yaani nikikumbuka nacheka sana, kile choo huwa nasemaga sitawahi nije nikitumie kwa jinsi kilivyo kichafu, na kweli imekuwa hivyo miaka yote. Ila bhana leo sijui imekuwaje, nilishikwa na tumbo la 5G halafu kile choo ndio the nearest, aisee, nimekitumia kwa furaha zoote, tumbo acheni nyie, aaagh!
  20. Mlalamikaji daily

    JamiiForums Tanzania Mshahara Serikalini umekuwa wa Mgao, tunakwenda wapi?

    Inakuwaje Hadi Leo Kuna watu hawajapata mshahara wao? Inakuwaje mshahara unatoka Kwa mafungu? Angalu basi ingetofautiana dakika na masaa tu lakini sio sawa wengine Toka tar 22 wamepata mshahara na wengine Hadi Leo Kimya. Mwigulu hebu jitafakari
Back
Top Bottom