wapi

The Wapi Project was a civic action program originated by the Royal Lao Government; it was performed in Military Region 4 of Laos from late 1963 through 1967. Notable for being among the first integrated programs to offer integrated services to the Lao Theung populace of southern Laos, it became a victim of its own success. Its lean efficiency led to its being crowded out of funding by more expensive programs.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Hii dawa ninaweza kuipata wapi?

    Wakuu habari. Kuna ndugu yangu kaandikiwa hii dawa Pepto Bismol kwa ajili ya matatizo ya tumbo. Ninaweza kuipata wapi maana nimeitafuta sana.
  2. JamiiForums Tanzania Hapa Robatinyo Alikuwa Anaenda Wapi?

  3. N

    JamiiForums Tanzania Ruzuku ya mafuta imefia wapi?

    Wakuu, rejeeni kichwa cha uzi. Naomba kufahamishwa kama ile ruzuku ya bil. 100 bado ipo au imekufa kifo cha kawaida. Maana EWURA kwenye jedwali lao safari hii hawajatuwekea bei mbili, yenye ruzuku na ile kabla ya ruzuku. Nawasilisha.
  4. S

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mwigulu Nchemba yuko wapi anguko la Dola?

    Daktari wa Uchumi, Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba alijitapa bungeni kuwa Dola zipo za kutosha na hakuna tatizo la Dola na kwamba yeye ni Mbobevu wa Uchumi watanzania wasiwe na mashaka naye wanaweza kujadili mambo ya uganga wa kienyeji tu. Leo Dola zimepotea Waziri yuko Kimya.
  5. O

    JamiiForums Tanzania Hii pikipiki ntaipata wapi wakuu

    Ni kwa ajili ya usafiri wa haraka sina budget ya gari nimependa hii kitu naipata wapi? Ongeza ushauri zaidi
  6. JamiiForums Tanzania Viongozi wangu hiki kiwanda cha mbolea na kemikali za petroli kiliishia wapi? Tanzania Mbolea and Petrochemical Company

    Hiki kiwanda cha mbolea na petrochemical kinaonekana kipo Tanzania ukiangalia kwenye page ya wikipidia. --- Wajerumani kujenga kiwanda kikubwa cha mbolea Mtwara Kampuni ya HELM A.G ya nchini Ujerumani imeanza maandalizi ya ujenzi wa kiwanda kikubwa cha kuzalisha mbolea, kitakachojengwa katika...
  7. JamiiForums Tanzania Wanaume tunafeli wapi juu ya watoto tuliowazaa

    Naongea hili baada ya kuachana na dogo wa miaka 22 kanifata nimpe ramani ya maisha kumdadisi kaniambia Baba na mama yake hawaishi pamoja kitambo. Baba Hana sauti kwa mama wa kambo akiomba msaada wowote wa kuendelezwa baba anamsikiliza mama wa kambo.Baba anasema Hana hela wakati watoto wa mama...
  8. JamiiForums Tanzania Vijiji vingi vya uchagani vilishatatua zamani matatizo yanayosumbua vijiji vingi hadi nchini. Shida ni nini kwa vijiji vingine?

    Maji Umeme Shule, Madarasa, Madawati Hospitali Barabara n.k. Hivi ni vitu ambavyo hadi leo hii vijiji vingi sana bado wanakwama. Ajabu ni kwamba uchagani hivi vitu tangu 70, 80's huko walishafika stage nzuri, shule zipo nyingi sana, madarasa yanakarabatiwa, wanafunzi hawakai chini wala...
  9. JamiiForums Tanzania CHADEMA mnapanga ziara na mnasahau viongozi wenu watalala wapi halafu tuwape nchi?

    Ukitaka kujua uchanga wa CHADEMA soma hii; Kamanda Maro Amesema uchunguzi wa awali umebaini kuwa wakati moto huo unagundulika, viongozi na maofisa wa CHADEMA hawakuwepo hotelini hapo kwa sababu walilala eneo lingine baada ya kukosa nafasi hoteli ya Twiga. ‘’Baada ya kukosa nafasi ya kulala...
  10. JamiiForums Tanzania Ukiwa Rais leo unaanzia wapi?

    Kila mtu ana ndoto. Kila mtu huamini ana suluhisho sahihi. Hata hivyo tukubariane hakuna mbinu moja katika kutafuta jawabu la changamoto za ustawi wa maisha. Ndo mana ubepari na ujamaa hakuna ajuaye fika ipi ni bora kufanya maisha yawe na maana. Kutofautiana ndiko huleta matokeo chanya. Leo...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Sakata la Wamachinga na mgambo Mwanza lilishia wapi? Walipewa maeneo au walirudi barabarani?

    Wakuu, Mwezi wa 2 mwaka huu 2023, kulizuka taharuki maeneo ya Mtaa wa Makoroboi, jijini Mwanza, ambapo mgambo walikuwa na zoezi la kuwatoa wafanyabiashara hao kwenye eneo walilokuwa wanafanyia kazi. Nini kilifata, wamachinga walipewa maeneo au wamerudi kuendelea kufanya kazi bararani...
  12. JamiiForums Tanzania Lissu alimkemea Magufuli na Mkapa ambao ni wakatoliki wenzie, huo udini anaopakaziwa sasa unatoka wapi?

    Watu wakiishiwa hoja, husingizia jinsia ama dini! Lissu sifahamu kama ni Mkristo ama dini gani. Ninachojua Tundu Lissu kwake suala la dini, ni la mtu na Mungu wake na siyo Tanzania inajisiwe na mtu awaye yote kwa sababu ya dini yake Inapotokea kiongozi yeyote anakuwa kinyume na sheria za nchi...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Rais Samia yuko wapi?

    Ndugu zangu watanzania wenzangu ni zaidi ya wiki sasa Rais haonekani, yuko wapi. Tunasikia tu ndege yake imeonekana uarabuni, kwani Rais ana likizo? Na kama ni ndio kwanini uarabuni. Huyu mama ameshindwa kuvaa koti la Urais? Tunaambiwa wafanyabiashara wameficha mafuta kusubiri bei mpya na...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Wale Vipanga wa Form 4 & Six wanaokuwa kumi bora huwa wanakwenda wapi? Wangetusaidia kwenye kesi za Usuluhushi

    Nimekuwa nikijiuliza mara nyingi hivi hawa vijana wanaoshika nafasi za juu kwenye matokeo ya kidato cha Nne na Sita ambao kimsingi huwa na ufaulu wa Division 1.7 kwa Form Four na 1.3 kwa Form 6 huwa wanaishia wapi? Kwasababu najua kuna wengine huwa wanasoma Sheria, kwanini wasingekuwa...
  15. H

    JamiiForums Tanzania DPW na "mandogaism investment in Tanzania" yaani CCM, Bunge na Serikali na kama DPW na DPW ni kama CCM, Bunge na Serikali; Je wananchi wapo wapi?

    Utangulizi: slogan ya mwanamasumbi mashuhuriTanganyika ajulikanaye kama mandoga ni kwamba UKINIPIGA KAMA NIMEKUPIGA NA NIKIKUPIGA KAMA NIMEKUPIGA ni Jana tumeona mandonga akichezea kichapo kutoka kwa Mganda, lakini aliendeleza slogani yake ni kwamba ukinipiga kama nimekupiga na nikikupiga kama...
  16. H

    JamiiForums Tanzania DPW na "Madongoism investment" in Tanzania yaani; CCM, Bunge, na Serikali ni kama DPW na DPW ni kama CCM, BUnge na Serikali; Je wananchi wapo wapi?

    Utangulizi: slogan ya mwanamasumbi mashuhuriTanganyika ajulikanaye kama mandoga ni kwamba UKINIPIGA KAMA NIMEKUPIGA NA NIKIKUPIGA KAMA NIMEKUPIGA ni Jana tumeona mandonga akichezea kichapo kutoka kwa Mganda, lakini aliendeleza slogani yake ni kwamba ukinipiga kama nimekupiga na nikikupiga kama...
  17. JamiiForums Tanzania Hivi yule Tapeli Nicholaus Musonye na bonanza lake la Cecafa amefia wapi?

    Musonye anastahili kuitwa tapeli, huyu ndio aliyeiuwa Cecafa ambayo miaka ya nyuma wakati Katibu akiwa Mganda Cecafa ilibamba sana. Musonye kwa kuonesha kwenye Cecafa alichokuwa anajali yeye ni pesa tu alifikia hatua Yale mashindano kuyafanya yawe yanafanyika Tanzania tu na ili apige mpunga...
  18. JamiiForums Tanzania Yuko wapi Bashe na kilimo chake? 'DPWedi' kila wizara!

    Sakata la bandari limeibua yote nyuma ya mipango ya rais na waarabu. Bandari waarabu, Ngorongoro waarabu, na BBT ya bashe waarabu. Wakati tunapinga mipango ya Bashe kwa kuacha mipango ya wizara wengine walimuona ni star, ana maono kumbe yote hiyo ni mbwembwe kuwafurahisha waarabu ambao ndo...
  19. JamiiForums Tanzania Mipango miji: Sehemu za wazi kufanyia mazoezi hasa calisthenics zipo wapi?

    Habari wana JF Juzijuzi tu tumesikia taarifa mbaya ya watu kugongwa na gari wakiw wanafanya mazoezi barabarani. Maoni ya wadau yakawa mengi mbalimbali. Mi nina swali kwa wapangao miji. Kutokana na ongezeko la urahisi wa kazi maofisini. Watu wengi zaidi wanaingia kwenye kutakiwa kufanya...
  20. JamiiForums Tanzania Picha: Ulikuwa Wapi Enzi za Shujaa Huyu?

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…