wapi

The Wapi Project was a civic action program originated by the Royal Lao Government; it was performed in Military Region 4 of Laos from late 1963 through 1967. Notable for being among the first integrated programs to offer integrated services to the Lao Theung populace of southern Laos, it became a victim of its own success. Its lean efficiency led to its being crowded out of funding by more expensive programs.

View More On Wikipedia.org
  1. B

    JamiiForums Tanzania Wasanii wa Tanzania mnakwama wapi kwenda kimataifa? Jifunzeni kwa Diamond Platinum

    Mwaka 2010, jina la la Diamond Platinum lilichomoza kwenye vyombo vingi vya burudani kwa wimbo wake uliokuwa mkali kipindi hicho "Kamwambie". Ilimuchukua Diamond miaka 4 kupambana kwa kuimba sana nyimbo nzuri mpaka 2014 alipopata collabo kubwa ya kimataifa na Davido kwa wimbo wake "number one...
  2. JamiiForums Tanzania Deogratius Nalimi Kisandu uko wapi Teacher?

    Tumekumiss sana nduguzo. Hivi ukiwa Marekani ndio unaacha kabisa kutumia JF? Msalimie sana shemeji yetu Malia Obama
  3. T

    JamiiForums Tanzania Hapa ni wapi?

  4. JamiiForums Tanzania Yuko wapi Dkt. Salim Ahmed Salim?

    Hivi karibuni, tulishuhudia kuzinduliwa kwa tovuti ya kazi za Dkt. Salim Ahmed Salim. Uzinduzi huu ulihudhuriwa na vigogo mbali mbali bila kuonekana kwa mhusika. Kunani? Yuko wapi na katika hali gani? Nini kinafichwa kuhusiana na mhusika. Dr Salim ni public figure. Kuna haja gani ya kumficha...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa Tanzania wanapata wapi fedha za matamasha, hafla na makongamano wakati kila siku tunakopa huko Duniani?

    Tunapenda sherehe, lakini tulivyo masikini tunawezaje kuzimudu hizi sherehe? Dunia ipo kwenye mdororo wa uchumi, viongozi huko Duniani wanabana matumizi sisi tunatafuta matamasha ya kuwashirikisha viongozi wakuu wa kitaifa: fedha tunatoa wapi? Kama wanaotukopesha wanabana matumizi sisi...
  6. JamiiForums Tanzania Kiwanda cha MO Dewji Moshi kipo/kinajengwa wapi?

    Habari wakuu, napenda ulizia kuhusu jambo kuu hapo juu kwa anaejua anitaarifu please.
  7. L

    JamiiForums Tanzania Nchi zinazoishutumu China kwa kuweka mtego wa madeni. Je, zilishakaa na kujiuliza tatizo halisi linaanzia wapi?

    Wachina wana wazo moja kwamba ukitaka kuendelea na kukuza uchumi wa nchi basi lazima kuwe na miundo mbinu mizuri na imara. Wazo hili ndilo lililopelekea China kuziacha nyuma nchi nyingi ambazo hapo awali zilikuwa zinaonekana ziko sambamba na nchi hii katika umasikini. Kupitia ujenzi na...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Makelele ya bandari yameishia wapi?

    Tumehamishwa Ukraine tumepekwa gaza, Je mnazisikia za Ukraine siku hizi ? Akili kichwani mwako. Na hapa tulikuwa na makelele ya Chadema na waarabu ,ikawa mpaka pa kutia mguu hakuna kila kitu ni bandari. Je Chadema walikuwa wanatafuta kiki? Na kutaka kuwaburuza waTanzania kuwa nchi inauzwa kwa...
  9. M

    JamiiForums Tanzania NMB "Mshiko Fasta" ilitakiwa ifanye kazi kama Songesha na ''Nipige Tafu" za makampuni ya simu. Mnafeli wapi?

    Hivi NMB . Mnashindwa nini kufanya "Mshiko Fasta " ifanye kazi kama "Songesha" ama "nipigetafu? Yaani nyie ni bank kufungua account mnaitaji vitu kibao wakati Voda na Tigo wao wanataka kitambulisho tuu. Lakini bado hamuwaamini wateja wenu na viela vidogo. Mnakosa fedha
  10. M

    JamiiForums Tanzania Nchi inaharibika kwa Kasi sana. Umeshawahi kumuona wapi mtoto wa kigogo anafikiria kusoma VETA?

    Kila wakati nasikia msisitizo ni kuwafanya vijana wasome VETA ili watawaliwe kirahisi na watoto wa wakubwa. Mi nachojua hakuna mwenye division one anaweza kufikiria VETA at first place. Mbona hatumuoni mtoto wa Mwigulu, Samia au waziri yeyote aliyeko VETA kama ni elimu ya maana kweli? Acheni...
  11. JamiiForums Tanzania Je, Serikali imeamua kulea utapeli wa Madalali? Dhima ya kuwasajili iliishia wapi?

    Utapeli kwa katika ununuzi wa vitu au upangishaji wa nyuma unazidi mno kwa kipindi hiki hususan katika upangishaji wa nyumba, imefikia hatua Dalali anakuwa na Mwenye Nyumba wa mchongo na akaunti ya benki ya kitapeli kulipia pango. Serikali hebu saidia Wananchi katika hili. Nakumbuka Lukuvi...
  12. JamiiForums Tanzania Wapi watanzania wanapata fedha za kujenga vituo vya mafuta wandugu?

    Ujenzi wa vituo vipya vya mafuta nchini vinaota kama vichuguu? Kila mahali vituo vinajengwa usiku na mchana! Lile bomba kule baharini siku hizi niko wazi au linalindwa?
  13. JamiiForums Tanzania Athanas Myonga aibuka Mshindi wa kwanza wa Shindano la Stories of Change 2023

    Baada ya miezi mitano (5) tangu Msimu wa Tatu wa Stories of Change 2023 ulipotangazwa, kuanza na baadaye kufuatiwa mchakato wa Majaji kufanya uhakiki wa Vigezo vilivyowekwa, hatimaye usiku wa leo Oktoba 7, 2023, Washiriki waliofanikiwa kujishindia zawadi mbalimbali watafahamika/julikana. Kuhusu...
  14. JamiiForums Tanzania Wadau waulizia alipo Mwana CCM Thadei Ole Mushi

    Karibu kila mahali na mitandaoni kote wadau mbali mbali wanaulizia aliko Mchambuzi Mahiri na Mtetezi kabambe wa siasa za CCM, Bwana Thadei Ole Mushi. Kwani ni kipi kimemtokea huyu Jamaa?
  15. I

    JamiiForums Tanzania Hivi kicheche anakwama wapi?

    Ni mwanadada amejitoa na kuandika bango kuwa amemtunzia bikra kicheche Sasa sijui kicheche anakwama wapi? Kwa Nini asile chuma
  16. L

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada nakosea wapi kwenye kuconnect hii form na database

    Wakuu, naendelea kujifunza vitu. Sasa sasa hivi najifunza ku interact na database. Nimeweza kuunda fomu hii kwa msaada wa HTML and CSS Na huu ndiyo code yangu ya HTML <!DOCTYPE html> <html lang="en"> <head> <meta charset="UTF-8"> <link rel="stylesheet" type="text/css"...
  17. N

    JamiiForums Tanzania Wapi mnapata pesa za kujenga wandugu? Mbona kwangu naona chenga tu?

    Habari wa ndugu wa tanzania?? Nimepitia site mbalimbali humu,ila site iliyonifanya kuwaza sana ni hii ya UJENZI,nimepitia nyuzi nyingi sana humu,yani kila niliyosoma imenifanya moyo kuuma kwa machungu sana na kuna kitu kipo kwenye koo kinanifanya machonzi kunilenga lenga kwa huzuni juu ya...
  18. JamiiForums Tanzania Wanaoponda kutoa sadaka kwa watumishi wakumbuke kila mtu hutoa sadaka, tofauti ni unatoa wapi

    Kitendo cha kutoa sadaka kimefungamanishwa na uhai wa binadamu kiasi kwamba huwezi kuishi bila kutoa sadaka. Ukizuia kutoa ili uujenge ufalme wa Mungu utatafuta pa kuipeleka. Ila lazima utatoa hata kama utaitungia jina tofauti. Tendo la kwanza mwanadamu wa kwanza kuzaliwa (Kaini na Habiri)...
  19. JamiiForums Tanzania Mhariri wa Gazeti la Majira umewaza nini hadi kuja na Kichwa cha hovyo hiki cha Habari leo?

    Rais Samia afikia rekodi ya Mwalimu Nyerere Yaani Mtu aliyeifanyia makubwa Tanzania na kuwa Statesman kwa miaka 23 leo hii anaweza Kufananishwa na Mtu aliyeingia tarehe 17 Machi, 2021 hadi leo tarehe 11 Oktoba, 2023? Media ya Tanzania ni kwanini mnapenda sana Kudanganya, Kujipendekeza na...
  20. JamiiForums Tanzania Waliovyobipu walijisifia wanaijua kazi, hizi kelele za kuonewa wanavyopigiwa zinatoka wapi?

    Nashangaa kumekuwa na jitohada kubwa zinafanyika ionekane kwamba aliebipu aonekane ni muhanga wa kitendo alichofanya akijua kabisa ukibipu kinachofata huwa ni kupigiwa. Mwanzoni alivyobipu alijisifia ni shujaa na kutembea kifua mbele, simu ikaanza kupigwa ila aliebipu hakupokea zikawa ni missed...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…