Wapi mnapata pesa za kujenga wandugu? Mbona kwangu naona chenga tu?

Nebuchadneza

JF-Expert Member
Oct 6, 2023
415
1,032
Habari wa ndugu wa tanzania??

Nimepitia site mbalimbali humu,ila site iliyonifanya kuwaza sana ni hii ya UJENZI,nimepitia nyuzi nyingi sana humu,yani kila niliyosoma imenifanya moyo kuuma kwa machungu sana na kuna kitu kipo kwenye koo kinanifanya machonzi kunilenga lenga kwa huzuni juu ya maisha yangu.

Sijaandika haya ilinipate comment nyingi au kuhave fun,lakini nimeandika nikiwa na uhalisia kwa kile nachokipitia katika maisha yangu.

Nina umri wa miaka 33,nina mke na watoto 2,mwanamke mwenyewe sijamuoa kwa ndoa wala nini,ni ile sogea tuishi,mwaka 2018 ndio niliyeamua kuishi naye sasa toka kipindi hicho maisha kwangu yamekua magumu sana.

Mimi mzaliwa wa ARUSHA,nilikuja dar 2016 baada ya kusota chuga kutafuta kazi bila mafanikio,maana nilihitimu chuo 2015 na toka kipindi hicho nimesota kutafuta kazi bila mafanikio yoyote.

Niliamua kuja Dar kutafuta maisha baada ya kuchoka kuishi home na kula ugali wa shikamoo ndio nikaja Dar 2016,baada ya kuja Dar nilifikia maeneo ya ubungo kibangu nakumbuka nilikua na 300000 niliyopata kwa kazi ya kuchimba msingi na saidia fundi,mpaka kuikusanya hiyo pesa nilisota asikuambie mtu,kuchimba mashimo ya vyoo na kujaza vifusi kwenye nyumba za watu.

Baada ya kufika ubungo kibangu,nilifikia kwa brother kipindi hicho kaka alikua na duka la bidhaa za nyumbani,ila duka hilo lilikua lishaanza kufilisika maana alikuwa na kesi na mwanamke mmoja aliyezaa naye mtoto alimsingizia amemfira kipindi akiwa mjamzito.

Basi brother akawa ashindi dukan kila siku akawa anaenda mahakamani mpaka duka likafilisika na kujikuta Anarudi Bush KILIMANJARO,ndio kipindi hicho ndo nilikua nimefika Dar,nilikua nasiku 3 tu kufika Dar na mwenyeji wangu anaamua kurudi bush.

Nikiwa na 300000 nilitafuta chumba maeneo ya kibangu nikapata chumba cha 35000 mwenye nyumba alitaka kodi ya miezi 6 nilimbeleza sana nimpe kodi ya miezi 3 aligoma katu katu basi nikampa 210000,kwenye ile 300000 nikabaki na 90000 kutoa pesa ya Dalali 35000 nikabaki na 55000,nikakabidhiwa ufunguo wa chumba nikiwa sina chochote zaidi ya begi langu.

Basi ile 55000 nikaenda pale darajani, ubungo nikauziwa godoro la futi 4 ulimi kwa 25000 nikanunua maji ya kunywa, carton 1 kwa 3000,mapazia 2 ya 8000 kwa 16000 mpaka hapo nkawa nimetumia 44000 kwenye ile 55000 nikabakiwa na 11000.

Siwenzi kuandika yote hapa mambo ni mengi sana
 
Inaendelea..
Baa
Habari wa ndugu wa tanzania??

Nimepitia site mbalimbali humu,ila site iliyonifanya kuwaza sana ni hii ya UJENZI,nimepitia nyuzi nyingi sana humu,yani kila niliyosoma imenifanya moyo kuuma kwa machungu...
Inaendelea...

Baada ya kubaki na 11000 nikanunua mikate 5 na soda lile kubwa ya fanta ikawa ndo chakula changu cha asubuhi,mchana na jioni,nikaanza kutafuta kazi kwa Bidiii yani nilikua natembea siku nzima kwenye begi nimebeba mikate yangu na soda,asikuambie mtu nilipiga ngoko kila mahali watu walihitaji wafanya kazi ila wapi sikubahatika,nilishinda ubungo fly over nikitafuta kazi, maana kipindi hicho ndo palikuwa pamajengwa,nilikuwa nawahi asubuhi saa 11 ,ila maboss wa pale walitaka pesa ndio nipewe kazi.

Basi nikiwa nimekata tamaa na kwenye begi nimebakiza mkate mmoja na chupa ya soda imeisha,katika kutembea kwangu nilifanikiwa kukutana na soko la mabibo,basi nikaingia ndani na kuenda kusimama pembezoni mwa gari moja la viazi.

Niliiona vijana wengi wanaparangana,hali ile ilinivutia sana maana ilikuwa asubuhi mida ya saa 12 ndo magari yanaingia kwa wingi nilimsimamisha jamaa mmoja alikua amebeba ndizi nikamuambia nahitaji kazi jamaa akaniambia hapa kazi nyingi nguvu zako tu.

Nikamwambia mimi Mgeni taratibu sijui,akaniambia nenda ofisini ya wakazi,basi jamaa kanielekeza nikaenda mpaka hapo ofisin kweli nikakutana na kiongozi mmoja nikamuelekeza kuwa nahitaji kazi jamaa akaniambia wenzako wote unawaona wanabeba mizigo ya watu walianza kuuza mifuko wakaaminika basi nawe anza kuuza mifuko.
 
ok sawa.
 
Simpo. Ni kutokana na kujipanga na kujiongeza.
 
Interesting story..
Lini itaendelea?
 
Inaendelea....
jamaa akaniambia wenzako wote unawaona wanabeba mizigo ya watu walianza kuuza mifuko wakaaminika basi nawe anza kuuza mifuko.
Jamaa akaniambia mfuko dazen 1 ni 1200,na mfukoni nilibakiwa na 3000 nikanunua mifuko,ilikiwa ni ile meupe mikubwa,basi nikaanza kuuza mifuko nikiwa na begi langu mgongo kweli siku hiyo nilipambana kwanzia saa 1 asubuhi mpaka saa 8 mchana nikauza dazeni 2 faida nilipata 2400.

Katika kuuza mifuko nilijuana na vijana mwenzangu waliotoka maeneo mbalimbali hapa tanzania,ila asilimia kubwa ya hao vijana walikuwa waluguru na wasambaa ila siku bahatisha kukutana na mchanga yeyote,ni mimi pekee ndo nilikua mengi siku hiyo hiyo wakanipa jina la mangi maana nilikua chapu tu pale niliposikia mtu anaitwa mfuko.

Wale jamaa wakanipa mbinu za kupiga pesa,wengine aliniambia kwa siku wanaingiza 15000 mpaka 20000 nilishangaa sana,wengine waliniambia wameoa na wanamaisha yao,ila walinipa mbinu za kutusua kama hao,basi wakaniambia natakiwa niwe mchafu kwenye nguo nazovaa ziwe zimepauka zikiwa na vumbi la magunia,mbinu nyingine wakaniambia niwe mjanja pale napowaona wanaokuja kununua vitu niwe nakaa karibu nao,maana wengine hununuaga vitu vingi na hutafuta watu wakuwabebea.

Basi nikasepa zangu gheto,siku ikapita.

Kweli asubuhi nikawahi sokoni nikiwa nimechafuka kama porter wenyewe wa mabibo,mzee asikuambie mtu kweli siku hiyo nikauza dazen 4 na nikabebea watu mizigo na kuwapelekea kwenye magari ya goba,mbenzi,kwa rusungu,tegeta n.k hapo hapo sokoni kuna pickup huwa zinawapelekeaga wafanyabiashara wamagengeni mahali wanapofanya biashara zao.

Kweli siku hiyo nikaingiza 8000 nilifurahi sana,nikaanza kufahamika na kukubalika mabibo sokoni,nilikuwa sichagui mzigo,matango,nazi,majimbi,ndizi viazi,tangawizi hadi dagaa nilikua na nguvu mpaka wakawa wananishangaa,waluguru ndio walisifika kwa kubeba mizigo minzito ila wenyewe waliniwanzia mimi.

Nilipambana mabibo nikawa siunzi tena mifuko nikajiingiza kwenye UKULI.
 
Back
Top Bottom