I Israel mtoa roho Member Joined Sep 17, 2023 Posts 14 Reaction score 32 Oct 14, 2023 #1 Ni mwanadada amejitoa na kuandika bango kuwa amemtunzia bikra kicheche Sasa sijui kicheche anakwama wapi? Kwa Nini asile chuma Attachments Screenshot_20231014-052503.png 88 KB · Views: 15
Ni mwanadada amejitoa na kuandika bango kuwa amemtunzia bikra kicheche Sasa sijui kicheche anakwama wapi? Kwa Nini asile chuma
kekule benzene JF-Expert Member Joined Sep 28, 2016 Posts 1,970 Reaction score 4,434 Oct 14, 2023 #2 Israel mtoa roho said: Ni mwanadada amejitoa na kuandika bango kuwa amemtunzia bikra kicheche Sasa sijui kicheche anakwama wapi? Kwa Nini asile chuma Click to expand... Kitendo alichofanya cha kujianika na bango inaonesha kuwa yeye sio bikra Hakuna bikra anayeweza kufanya hivyo Huyo ni muuzaji tu aliyekubuhu
Israel mtoa roho said: Ni mwanadada amejitoa na kuandika bango kuwa amemtunzia bikra kicheche Sasa sijui kicheche anakwama wapi? Kwa Nini asile chuma Click to expand... Kitendo alichofanya cha kujianika na bango inaonesha kuwa yeye sio bikra Hakuna bikra anayeweza kufanya hivyo Huyo ni muuzaji tu aliyekubuhu
Njemba Soro. JF-Expert Member Joined Oct 5, 2013 Posts 4,282 Reaction score 7,473 Oct 14, 2023 #3 Labda bikra ya nyoro.
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 175,345 Reaction score 193,307 Oct 14, 2023 #4 Mambo yake muachieni mwenyewe...
United ya Ferguson JF-Expert Member Joined Oct 29, 2021 Posts 3,237 Reaction score 6,604 Oct 14, 2023 #5 wew unayamini madudu ya mjini