wapi

The Wapi Project was a civic action program originated by the Royal Lao Government; it was performed in Military Region 4 of Laos from late 1963 through 1967. Notable for being among the first integrated programs to offer integrated services to the Lao Theung populace of southern Laos, it became a victim of its own success. Its lean efficiency led to its being crowded out of funding by more expensive programs.

View More On Wikipedia.org
  1. P

    JamiiForums Tanzania Unakumbuka mtaji wa biashara yako uliupata wapi?

    Hellow lovers, Unakumbuka mtaji wa biashara yako ulipata wapi? Ilikuaje? Tuambie tujifunze.
  2. JamiiForums Tanzania Eicher zilizoelezwa kuwepo kusaidia shughuli za mwendokasi zimeishia wapi?

    Baada ya kelele nyingi za uhaba wa usafiri, au niseme kero ya mwendokasi. Miruzi ilikuwa mingi kuhusu uwezekano wa Mwendokasi kupata utatuzi na utatuzi ni kuleta Gari mbadala zitazoingia mjini na kutoka? Hivi ile project iliishia wapi? Nilisahau kabisa leo nikaamua nisubiri mwendokasi Pale...
  3. JamiiForums Tanzania Napata wapi majiko ya maranda Mwanza?

    Wakuu msaada, Nimetokea Iringa huko nimezoea kuona majiko ya maranda lakini Mwanza natafuta siyaoni. Msaada tafadhali
  4. C

    JamiiForums Tanzania Hussein Massanza, msemaji wa Singida Fountain Gate FC umepata wapi uhalali wa kuropoka hili?

    "Hakuna klabu ya ligi kuu ya Tanzania isiyokuwa na madeni hivyo watuige sisi Singida Fountain Gate FC ambao huwa hatufichi na wala hatuoni aibu kusema kuwa tuna madeni lukuki" amesema Hussein Massanza msemaji wa Singida Fountain Gate fc Taarifa: sports headquarters ya Efm radio hivi punde tu...
  5. JamiiForums Tanzania Tanesco wamekata umeme Dar, wapi unacheki Taifa Stars vs Morroco AFCON 23?

    Je, ni njama ya wenye mabanda ya mpira na mabar?
  6. M

    JamiiForums Tanzania Demu wa Kizaramo na Kiluguru muulize uko wapi

    Nimekuwa katika mahusiano na mademu wa jamii mbalimbali, lakini baada ya kupata demu wa kizaramo na baadae mluguru nimepata experience kubwa sana: Yaani kila unapokutana naye au kumpigia simu kuwa yupo wapi au alikwenda wapi UTASIKIA NILIKWENDA/ NAKWENDA KWENYE MSIBA WA FULANI na ikitokea...
  7. JamiiForums Tanzania Tembelea tovuti ya NIDA kujua kitambulisho chako kiko wapi

  8. R

    JamiiForums Tanzania Wapi Dar es Salaam naweza kukodi Trecta

    Nahitaji kukodisha trekta kwa ajili ya kusafiaha shamba maeneo ya Tuangoma. Wapi naweza kupata trakta la kukodi hapa Dar es salaam.
  9. JamiiForums Tanzania Uchunguzi: TB Joshua aliwanyanyasa na kuwabaka wafuasi wake

    Ushahidi wa unyanyasaji ulionea na mateso kutoka kwa mwanzilishi wa mojawapo ya makanisa makubwa ya kiinjili ya Kikristo duniani umefichuliwa na BBC. Makumi ya waumini wa zamani wa Kanisa la Synagogue Church of all Nations - watano Waingereza - wanadai ukatili, ikiwa ni pamoja na ubakaji na...
  10. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tuwakumbushe: Mch. Gwajima ulitoa ahadi. Je, greda jembe kati lipo wapi?

    Video inajieleza. Watu wa Kawe wanauliza greda uliloahidi kununua mara tu baada ya kichaguliwa lipo wapi? Je baba Mchungaji, utakuja na uongo upi tena mwaka 2025? Tuanze kukumbushana ahafi za uongo zilizotolewa kuhadaa wapigakura 2019/2020
  11. JamiiForums Tanzania Kanisa Katoriki linaelekezwa wapi ikitokea Papa kapingana na maagizo ya maandiko

    Kauli za Papa akiwa kwenye kiti chake cha mamlaka ni Extracathedral (hazipingiki wala kazigeuziki). Hii ndio sababu unapaswa kuwa makini kujua kauli amezitoa akiwa wapi? Mfano kuna kipindi alitoa kauli tata akiwa anahojiwa kwenye ndege baadhi ya wananzuoni wa kidini wakatetea kusema hayo ni...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Yupo wapi mchezaji wa Singida FG Thomas Ulimwengu?

    Huyu ni mmojawapo wa wachezaji waliosajiliwa kwa mbwembwe kipindi cha dirisha kuu la usajili msimu huu. Cha kushangaza alicheza mechi zisizozidi mbili za mashindano. Tangu mwezi Septemba 2023 hajaonekana tena akichezea Singida Fountain Gate/Singida Big Stars. Je sababu ni ipi? majeruhi, mkataba...
  13. JamiiForums Tanzania Kesi ya Watumishi waliochepusha Mapato ya Halmashauri ya Mbeya imefikia wapi?

    Tuliambiwa humu na kwingineko kwamba Watumishi wale watafikishwa Mahakamani, tena tuliambiwa katika lugha iliyojaa Mikwara hasa, tukajua hakika wezi wale watakiona cha moto! Sasa baada ya Kimya kizito kutanda, sisi wananchi tumerudi tena kuulizia ilipofikia kesi hiyo kabambe. Naomba kuwasilisha.
  14. JamiiForums Tanzania 4R ni wazo la nani? Limetoka wapi?

    Sijafuatilia huu mjadala,nilikuwa off-line siku chache. Hili wazo la 4R sikuipata,ni nani mwanzilishi wake? Ni wazo la Ikulu? Ni wazo la Rais Samia? Reconciliation, Resilience, Reform, Rebuilding. Ni falsafa imetoka wapi? Is it capitalist political theory,au socialism,au imetoka katika Sunnah...
  15. JamiiForums Tanzania Tabora wapi wanauza simu nzuri used na mpya?

    Habari za leo wakuu, Nimefika Tabora( toronto ) mjini. Hapa, kwa wenyeji naomba muongozo wapi wanauza simu mpya na used (samsung, google pixel, iphone) at a reasonable price katika mji huu? Nb: Ukirecommend duka lako au mtu unayemfahamu ni vizuri pia. Nikipata username za instagram ili...
  16. R

    JamiiForums Tanzania Huyu nguli wa sheria JF kwenye jukwaa la sheria yuko wapi: Dragoon

    Amepotea kabisa jukwaani na jukwaa alilo liasisi limekufa
  17. T

    JamiiForums Tanzania Sukari imeadimika nchini, imekwenda wapi?

    Habari, huko kwenu sukari inapoatikana kwa urahisi? na ni kwa bei gani kwa kilo?. Sehemu niliyoko mm haipatikani kirahisi na kilo ni kuanzia sh 4000/= na kuendelea mpaka 5000/= kutegemeana na muuzaji. Sukari, Sukari Sukari, mbona unatutesa watanzania??
  18. JamiiForums Tanzania Graphics hizi shida ipo wapi?

    ...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Lema yuko wapi?

    Tumezoea kusika uropokaji wa aliekuwa mbunge wa Arusha mjini kupitia mitandao ya kijamii na hata kwenye mikutano.Ni muda umepita bila ya kumsikia huyu jamaa.Binafsi naamini atakuwa na issues kwani si kawaida yake kukaa kimya.
  20. JamiiForums Tanzania Mamlaka ya hali ya hewa (TMA) mko wapi?

    Siku zote hali ya joto imekuwa ikipanda lakini hatuoni utabiri wenu, mmekuja na kiwango cha joto 33°C ambacho ni cha muda mrefu, tupeni kiwango sahihi. Hii ni tarehe 1 January 2024.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…