Is the future exciting? Unaiona wapi dunia katika miaka/siku zijazo?

Mhafidhina07

JF-Expert Member
Aug 1, 2014
2,553
2,992
Dunia ina ina muda mrefu tangu kuwepo kwake,binadamu tumepitia vipindi tofauti mpaka kufikia sasa ambapo tunaongelea kipindi vumbuzi nyingi zinafanyika,fursa nyingi za kiuchumi zinakuwa na jamii inakuwa ni ya kuchanganyika.

Muda umetufikisha katika ulimwengu ambao hatuna shida ya kwenda sehemu kuyatazama mazingira ila tunaweza kutumia simu janja kujua mazingira na zaidi tunafahamu akili ya mtu kupitia maandiko yake zote hizi ni nyakati ila yote kwa yote dunia kwa siku zijazo zimekuwa unpreditable.

Worse more individualism,kuongezeka kwa watu kunafanya mazingira yasiwe yenye kutabirika mbaya zaidi,teknolojia inataka kurahisisha zaidi ili kutengeneza faida kwa mtu.

Kinyago na watu wa kutengeza wanaweza kuaffect afya za wanadamu katika maisha yajayo.

YAJAYO YANASHANGAZA
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom