Nimekuwa katika mahusiano na mademu wa jamii mbalimbali, lakini baada ya kupata demu wa kizaramo na baadae mluguru nimepata experience kubwa sana:
Yaani kila unapokutana naye au kumpigia simu kuwa yupo wapi au alikwenda wapi UTASIKIA NILIKWENDA/ NAKWENDA KWENYE MSIBA WA FULANI na ikitokea upo naye mnaongea halafu akapigiwa simu na rafiki yake utakuta lazima waongelee msiba wa fulani na fulani. Yaaani Mwaka mzima unakuta movement zake ni za hivyo.
Hakika kiimani na ubinadamu ni jambo jema sana na hawa ndugu zetu katika hili wanalizingatia sana.
Yaani wewe mpigie tu simu muulize upo wapi