YUPO WAPI LEYLA !?

YUPO WAPI LEYLA !?

Kashai

Senior Member
Joined
May 12, 2024
Posts
114
Reaction score
355
Wakuu Hope Mko Poa,

Hivii Leyla Rashid Yupo Wapi Siku hizii !? Yupo Hai !? Maana Tangu nipate Tatizo La Masikio Sifatilii Sana Muziki,
Nakumbuka nipo Primary Nyimbo zake zinapigwa kila sehemu, Majirani wanashindana tuu kuweka Taarab, Nikipanda Daladala Taarab Daah...

Yule Mama Alikuwa Ananikosha Sana, Alikuwa na Sautii 🙌

Kuna Wimbo Aliimba na Mzee Yusuph Vinanda Vinapigwa hivyo Weeh 🙌

Yuko Wapi Leyla !??
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom