Ntemi_Ntale
Member
- Aug 23, 2026
- 14
- 12
Jan 26, 2026 Waziri Mchengerwa alitangaza kuanza rasmi kwa mchakato wa upatikanaji wa Bima ya Afya kwa wote nchi nzima kwa Awamu ya kwanza ,Mchakato ulilenga kaya 276,004 za wazee, watoto, wajawazito na wenye ulemavu ambapo gharama zote Serikali ndio italipa.
Bima hiyo ilitarajiwa kugharamia huduma za msingi, mama na mtoto, kulazwa na rufaa. Chanzo cha fedha ni Mfuko Maalumu wa Usawa (Health Equity Fund) unaofadhiliwa kwa kodi za soda, pombe, vipodozi na miamala ya kielektroniki.
Kwa kifupi, mchakato ulianza lakini haujakamilika. Tatizo kubwa ni ukimya wa mamlaka - hakuna update rasmi kwa wananchi kuhusu mchakato ulipofikia.