Kesi ya Samia ICC imefikia wapi?

Kesi ya Samia ICC imefikia wapi?

Hance Mtanashati

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2016
Posts
25,779
Reaction score
35,770
Mwishoni mwa mwaka 2025 na mwanzoni mpaka katikati ya mwaka 2026 kulikuwa na suala la Samia kuhitajika ICC kujibu tuhuma zinazomkabili.

Mwanzoni tulikuwa tunapata updates za nini kinachojiri mara kwa mara ila kwa sasa imepita muda mrefu i.ekuwa kimya sana.

Inasikitisha zaidi kuona watanzania wamekubali kuongozwa na Samia kitu ambacho mwanzoni tulipinga kwa nguvu zote kulingana na mwaka jana kutokuwa na uchaguzi bali uchafuzi .

Wenye taarifa zozote watujuze wengine (watanganyika) tunaumia kuona samia anapeta tu kwenye ikulu yetu .
 
Wazungu ni wanafiki na pia ni watu wa double standard sana. Usiwaamini hata kidogo.
Natanyahu ana ICC Arrest warrant,ila hawasemi chochote,tena kuna Wayahudi weusi pia wa huko Bongo,walikua wanamsifu Natanyahu kua ni noma na ICC haimuwezi,leo hii hao wayahudi weusi baada na wao kufikwa na matatizo,wanaililia hiyo hiyo ICC waliyoiponda!

Unapopigania haki,hutakiwi kuweka ubaguzi wa aina yeyote ile coz matatizo huzunguka,leo kwa yule na kesho ni kwako.
 
Gentleman,
usikubali tena kubebwa ufala wa kifira na mamluki wa vibaraka useless wa mabwenyenye ya magharibi.

hiyo ni porojo useless katika siasa majitaka za wanasiasa waliokosa agenda na kupoteza uelekeo :1Head:
 
Wazungu ni wanafiki na pia ni watu wa double standard sana. Usiwaamini hata kidogo.
Gentleman,
kwamba leo akina Ted Cruz wa seneti ya Marekani na David McAllister wa EU ni wanafiki?
kwahiyo yale mapicha picha mliokua mnapiga nao kwenye corido za seneti na bunge la EU, na kuyatuma humu jukwaani ulikua ni utapeli wenu dhidi ya wadau wa JF, right?

kwamba wazungu ni wanafiki, Chadema ni matapeli, right?:NoGodNo:
 
Natanyahu ana ICC Arrest warrant,ila hawasemi chochote,tena kuna Wayahudi weusi pia wa huko Bongo,walikua wanamsifu Natanyahu kua ni noma na ICC haimuwezi,leo hii hao wayahudi weusi baada na wao kufikwa na matatizo,wanaililia hiyo hiyo ICC waliyoiponda!

Unapopigania haki,hutakiwi kuweka ubaguzi wa aina yeyote ile coz matatizo huzunguka,leo kwa yule na kesho ni kwako.
Wanataka wamkamate kwa kumpeleka Ayatollah kwa Allah?
 
Mwishoni mwa mwaka 2025 na mwanzoni mpaka katikati ya mwaka 2026 kulikuwa na suala la Samia kuhitajika ICC kujibu tuhuma zinazomkabili.

Mwanzoni tulikuwa tunapata updates za nini kinachojiri mara kwa mara ila kwa sasa imepita muda mrefu i.ekuwa kimya sana.

Inasikitisha zaidi kuona watanzania wamekubali kuongozwa na Samia kitu ambacho mwanzoni tulipinga kwa nguvu zote kulingana na mwaka jana kutokuwa na uchaguzi bali uchafuzi .

Wenye taarifa zozote watujuze wengine (watanganyika) tunaumia kuona samia anapeta tu kwenye ikulu yetu .
ICC huwa inafanya mambo yake polepole sana.
 
Bufa tupe mrejesho hapo, The hague.

Tulisema ile iliyo kweli watu wakadhani tuko upande wa madhalim kumbe tulikua tunaongea uhalisia:

Screenshot 2026-10-19 at 6.39.54 PM.png
 
Gentleman,
kwamba leo akina Ted Cruz wa seneti ya Marekani na David McAllister wa EU ni wanafiki?
kwahiyo yale mapicha picha mliokua mnapiga nao kwenye corido za seneti na bunge la EU, na kuyatuma humu jukwaani ulikua ni utapeli wenu dhidi ya wadau wa JF, right?

kwamba wazungu ni wanafiki, Chadema ni matapeli, right?:NoGodNo:
Dogo hunaga akili
 
Mwishoni mwa mwaka 2025 na mwanzoni mpaka katikati ya mwaka 2026 kulikuwa na suala la Samia kuhitajika ICC kujibu tuhuma zinazomkabili.

Mwanzoni tulikuwa tunapata updates za nini kinachojiri mara kwa mara ila kwa sasa imepita muda mrefu i.ekuwa kimya sana.

Inasikitisha zaidi kuona watanzania wamekubali kuongozwa na Samia kitu ambacho mwanzoni tulipinga kwa nguvu zote kulingana na mwaka jana kutokuwa na uchaguzi bali uchafuzi .

Wenye taarifa zozote watujuze wengine (watanganyika) tunaumia kuona samia anapeta tu kwenye ikulu yetu .
Sio kila taifa lipo tayari nyeti zake ziwe wazi kama za kuku akinya!

Kuna namna nyingi sana ya kuepusha nyeti za taifa zikawa wazi kiasi kwamba tuzodolewe!

Ccm chama chetu kina asili ya kupukutisha majani yake ili yachipue mapya!

Kesi imeshafanyiwa kazi na kinachofata ni mwanzo mpya!

Huoni EU imerudisha msaada!?coz kijana wao mwenye uraia wa huko ndio in charge wa maswala yote sasa!!?

Huo ni mwanzo mpya!

Elewa tu

Nawaza Kwa sauti kuu
 
Back
Top Bottom