Mbona private label kibiashara ni kawaida tu, angekua kwenye label ya sukari kaandika manufacture by MeTL group hapo ndio angekua mhunu , ila kama ni distributed by MeTL group ni halali kabisaKanjibai janja janja ni mlanguzi tu.
Ananunua viwandani kwa bei rahisi anapack kwenye vifungashio vyake anauza kwa bei kubwa.
Ebu nawe fanya hiyo janja janja tuone kama utatoboaKanjibai janja janja ni mlanguzi tu.
Ananunua viwandani kwa bei rahisi anapack kwenye vifungashio vyake anauza kwa bei kubwa.
Mi binafsi huwa naziogopa bidhaa za chakula za MO. Huwa siamini kama anafanya utafiti wa kutosha kuhusu bidhaa kabla hajaanza kuizalisha. Haiwezekani wenzie wakianzisha bidhaa baada ya siku kadhaa naye unakuta anaanzisha bidhaa ya aina ile ile anachobadili ni jina tu kidogo na quantity.Bila janja Janja, watengeneza sukari Tanzania ni Hawa hapa;View attachment 3682476
Huyu Tajiri analima wapi na anatengenezea wapi?
View attachment 3682477View attachment 3682478
Au ni winga?
Wape somoHiyo ni distributed by MeTL ana sio manufacture by MeTL group, na anachukulia kilombero wao wanapaki tu, soma kwenye kifungashio.
SeenWape somo
kilombero hana netowork ya kussply kubwa kama MO mwenye depot almost kila wilaya,Bila janja Janja, watengeneza sukari Tanzania ni Hawa hapa;View attachment 3682476
Huyu Tajiri analima wapi na anatengenezea wapi?
View attachment 3682477View attachment 3682478
Au ni winga?
Kila siku kuna wauza viwanja wanatangaza viwanja vilivyo karibu na kiwanda cha sukari na shamba la Mo, anapisema pesa ipo benki mmuelewe.Bila janja Janja, watengeneza sukari Tanzania ni Hawa hapa;View attachment 3682476
Huyu Tajiri analima wapi na anatengenezea wapi?
View attachment 3682477View attachment 3682478
Au ni winga?
sio lazima iwe Kilomero pekee... Rather than operating massive standalone sugarcane plantations for this specific label, MeTL packages and distributes quality crystal sugar (often sourced in bulk or processed through partnerships) into hygienic consumer packsHapo nimekusoma masta. Kwahiyo ni Kilombero Sugar hii.
hata ukienda Sokoni stereo utakuta middle man ndio anapnga bei ya nyanya hana shamba wala hajui changamoto za mkulimaHiyo inaruhusiwa kwa mtanzania yeyote, % kubwa ya viwanda vya pombe hasa za spirit akina smart gin, cucker, hawazalishi spirit, wanachanganya na kufanya packaging, mafuta ya kupikia hivyohivyo wana important mapipa na kufanya packaging, wauza korosho nchini na nje ya nchi kwenye super markets wengi hawajawahi hata kuona picha ya mkorosho,ni biashara ya u middle men tu na inalipa sana. Badala ya kuleta chuki kwa Mo aliyetutangulia hatua 100 mbele, tujifunze anafanyaje, tuige kwa kuanzia chini tutatoboa. Chuki hazitusaidii.
Yeah ila zaidi nnje ya nchi yeye ni msambazaji tu na kuweka lebel yake TBs na TfDA ina ruhusu tu ili kupata soko la ndaniHapo nimekusoma masta. Kwahiyo ni Kilombero Sugar hii.