Alloyce PR
JF-Expert Member
- Nov 15, 2020
- 810
- 877
Tatizo la africa si amri bali watekelezaji amri ambao hata kwa sheri zilizopo wame zipindisha ili wasiguswe hata interest zao zisiguswe
uzuri alishasema akiwa na hatia anyongwe tu! Ila kwa KATUGA wenu pale hana kesi!
nadhani hivi karibuni inaweza kutekelezwa kwa vitendo Tanzania na kufungua njia kwa mataifa mengine Africa

Unaposema nchi zilizoendelea zinatekeleza adhabu ya kunyongwa hadi kufa una maana gani?