wapi

The Wapi Project was a civic action program originated by the Royal Lao Government; it was performed in Military Region 4 of Laos from late 1963 through 1967. Notable for being among the first integrated programs to offer integrated services to the Lao Theung populace of southern Laos, it became a victim of its own success. Its lean efficiency led to its being crowded out of funding by more expensive programs.

View More On Wikipedia.org
  1. Gordian Anduru

    JamiiForums Tanzania Zinapatikana wapi Barakoa kama hii ya Edo Kumwembe

    barakoa ina kama kioo hivi hapa ni msafara huu wa mabingwa wa kihistoria kwenda Nigeria mwandishi huyu
  2. masopakyindi

    JamiiForums Tanzania Watu wasiojulikana wamepotelea wapi?

    Hawa miamba waliotesa Awamu ya Tano , wamepotelea wapi?
  3. Kibosho1

    JamiiForums Tanzania Anaejua kiwanda cha kununua pembe za ng'ombe kiko wapi msaada tafadhali

    Nauliza hivi malighafi zitokanazo na mazao ya ng'ombe zinauzwa wapi? Na ni kiwanda gani kinanunua kama pembe,meno,ngozi na uume? Vitu hivyo huko China ni dili sana je kwa Tanzania soko liko wapi?
  4. The Garang

    JamiiForums Tanzania Yuko wapi mkaka/mdada aliekuwa anakupenda sana kipindi hicho ukamkataa and viceversa

    Habarini ndugu zangu, hongereni na poleni kwa majukumu yetu ya kila siku. Bila kupoteza muda, katika maisha kuna kipindi tunajikuta tunapendwa na wenzetu wa jinsia tofauti, hivyo wanatumia approaches mbalimbali kuweza kutupata. Lakini, yote ya yote tunaishia kuwachomolea mbali kwa sababu ambazo...
  5. I

    JamiiForums Tanzania Wapi naweza kuomba grant ya Tsh 500M kwa ajili ya project yangu?

    Habarini wanaJF, Ningeomba muongozo mahala pa kuwasilisha project yangu kwa ajili ya kuomba grant ya kuitekeleza hapa Tanzania. Project hii itagharimu takriban Tsh 500M na pia kama kuna mtu angependa kuwekeza ni project ya uhakika ambayo itarudisha ela yake. Nasubiri muongozo wenu wakuu.
  6. Teleskopu

    JamiiForums Tanzania Mambo yako wazi, tunakwamba wapi wanadamu?

    UINGEREZA Kwa mujibu wa ripoti yao: Asilimia 80% ya waliokufa kwa ugonjwa wa sasa Mwezi uliopita (Agosti) walikuwa wamechanjwa. Maana yake ni kuwa, kwa kila vifo 100, vifo 80 ni waliochanjwa. Vilevile, kiwango cha wanaolazwa ni asilimia zaidi ya 70% kwa waliochanjwa. SOURCE: Public Health in UK...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Ipi bora kati ya Diploma ya Sheria ya Chuo cha LUSHOTO na Diploma ya Biashara CBE Dodoma?

    Wadau, kuna kijana kachaguliwa kusoma Diploma Sheria ya Chuo cha Lushoto na pia kachagulia Diploma ya biashar aCBE Dodoma, kwa wazoefu wa hizo anga na maisha ya Kitanzania unamshauri wapi labda. Bahati mbaya siyo mjuzi wa hizo fani ukiachana na herasay
  8. comte

    JamiiForums Tanzania Ukipewa hela jiulize kwanza zimetoka wapi isije kuwa na malipo ya kuuzwa wewe mwenyewe

  9. M-mbabe

    JamiiForums Tanzania ATCL tunakwama wapi katika azma yetu ya kuwahudumia wanyonge wa nchi hii?

    Hapa chini ni bookings za ATCL & Precision zilizofanywa na vijana fulani wanaotarajia kusafiri miezi kadhaa ijayo. Tarehe, destinations na madaraja - vyote vinafanana kwa bookings zote mbili. Tumekuwa tukiaminishwa kuwa ATCL, pamoja na malengo mengine, ipo kwa ajili ya kuwahudumia Watanzania...
  10. F

    JamiiForums Tanzania Yuko wapi Makamu wa Rais Dkt. Philip Isdor Mpango?

    Ni muda kidogo huyu Makamu wetu wa Rais Dr. Philip Isdor Mpango hajasikika! Huyu ni Mchumi japo mimi binafsi sina imani na aina ya uchumi anaosimamia ( uchumi wa kijamaa). Inavyoonekana huyu Makamu wetu wa Rais Dr.Mpango ana mchango mkubwa sana katika kupatikana kwa mchumi mwingine katika...
  11. MO11

    JamiiForums Tanzania Zile bilioni 20 zipo wapi?

    Simba One team one dream Hii nchi ni ngumu sana kwa upande wa pili ila kwetu raha kama zote ndio maana tukipiga chafya wanatuambia tuna korona Kuna hoja mfu sana na dhaifu yaani aibu hata kuongelea ila hawa ndugu zetu wamekazia shingo kama ndio wakiziona watapata ubingwa Wana swali lao eti...
  12. T

    JamiiForums Tanzania Waziri Mwigulu: Serikali imekusanya Tsh Bilioni 63 tozo miamala ya simu, zitajenga vituo vya afya 220 kwenye tarafa

    Toka tozo za miamala ya simu ianze bilioni 63 zimekusanywa na tayari Serikali imeshapeleka fedha kujenga vituo vya afya 220 kwenye tarafa zote zisizokuwa na vituo vya afya kabisa. Hakuna tarafa yoyote nchi nzima ambayo haitakuwa na kituo cha afya kwasasa. Kodi yetu imeleta matokeo, Watanzania...
  13. Mchochezi

    JamiiForums Tanzania Nicholaus Gyan atua DTB ya ligi daraja la kwanza

    Klabu ya DTB inayoshirki ligi daraja la kwanza imemsajili mchezaji Nicholaus Gyan ambaye amewahi kukipiga Simba Sc. Gyan anaenda kuungana na akina Tambwe na Juma Abdul ambao nao wamesajiliwa katika timu hiyo! Hivi nani yupo nyuma ya DTB? Kwa uwekezaji huu, DTB ataweza kupandisha timu ligi kuu?
  14. B

    JamiiForums Tanzania Ukiukwaji Katiba, Tanzania tunafeli Wapi?

    Nchi si shamba la mtu. Nchi huendeshwa kwa kufuata katiba. Inatia moyo majahili kama kina Alpha Conde wanapotiwa adabu kwa kukiuka katiba: "Rais Alpha Conde alitaka kuvunja Katiba ya Nchi ili imruhusu kugombea kwa muhula 3 na bunge kumuongezea mshahara." Sote hatupendi katiba ya nchi...
  15. B

    JamiiForums Tanzania 'Huduma Pamoja' kupitia Shirika la Posta inalenga nini?

    "Tumefanya mageuzi makubwa ndani ya Shirika la @posta_tz. Lengo ni kuwa na Posta ya Kidijitali, Posta kuwa kitovu cha biashara mtandao na huduma za Pamoja. Katika kutekeleza azma hii, Siku ya Jumatatu tarehe 6 Spetemba, tutazindua utaratibu wa Huduma Pamoja". Mhe. Faustine Ndugulile Nimeona...
  16. O

    JamiiForums Tanzania SoC01 Nitafanya nini sasa na wakati sina mtaji? Sijui nianzie wapi, wala sijui pia nikakope kwa nani?...

    Haya ndiyo mengi yanayotawala katika vichwa vya watu wengi, kutokana na kila mtu anawaza kwa namna yake. Tatizo la ajira limeifanya jamii itafute njia thabiti itakayoweza kuwakomboa watu katika janga hili la ukosefu wa ajira. Lakini swali la kujiuliza vipi litamalizika tatizo hili katika bara...
  17. Chakorii

    JamiiForums Tanzania Yu wapi Mtende?

    Habari za wakati huu, weekend inaendaje huko mliko wakuu Binafsi nilikuwa sijui Hata kama leo ni jumamosi walai😁😁..tuachane na hilo 😊 Katika pitapita zangu mitandaoni leo nikakutana na picha ya Jackie Apiah (actress kama sio Nigeria basi Ghana) Mara ghafla Id ya Mtende ikakatiza kichwani...
  18. data

    JamiiForums Tanzania Rais Wa JMTZ saivi yuko wapi, Dar au Dom!? Special Thread..

    Wataalam wa AVIATION INDUSTRY watipigie hesabu... Yani How!?? Bomberdier au Dreamliner linapaa juu .. Hovyohovyo.. Tupeni bili..kodi.... Je!? Ni kodi za mafukara ndo zaMrusha mama!?? Lakini ile ndege ya Rais iko wapi!? TuloambiwA hata tule nyasi..!!!?
  19. N

    JamiiForums Tanzania Foundation na pafyum alizozindua Manara zipo wapi?

    Mo Foundation ikiwekwa kwenye jezi full kulalamika kumbe na wewe ulizindua ya kwako iko wapi sasa? Na pafyumu ulizowadhulumu wahusika milioni 37 ziko wapi? VIDEO: HAJI MANARA AFUNGUKA JINGINE KUHUSIANA NA SIMBA Ofisa habari wa klabu ya Simba, Haji Manara, amefanya uzinduzi wa pafyumu yake...
  20. kiwatengu

    JamiiForums Tanzania Mkoa wangu wa Kagera tunakwama wapi?

    Wakuu mambo vipi? Mimi ni mzaliwa wa Wilaya ya Misenyi mkoa wa Kagera, Kijiji cha Rusinga! Pia Nsunga ni kwetu. Nimekulia mkoa wa Kilimanjaro so Naifahamu Kagera vizuri na Naifahamu Kilimanjaro vizuri sana. Hoja yangu naileta kutokana na Spika Ndugai jana kutuzodoa wana Kagera kuwa hatuna...
Back
Top Bottom