wapi

The Wapi Project was a civic action program originated by the Royal Lao Government; it was performed in Military Region 4 of Laos from late 1963 through 1967. Notable for being among the first integrated programs to offer integrated services to the Lao Theung populace of southern Laos, it became a victim of its own success. Its lean efficiency led to its being crowded out of funding by more expensive programs.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Serikali itueleze ukweli inapata wapi pesa za kununua ndege

    Katika vitu ambavyo serikali yetu imeonyesha determination, ni suala la kununua ndege. Katika suala hili, serikali imeweka pamba masikioni na kuignore kila sauti inayohoji suala hili la kununua ndege. Mimi binafsi ninajiuliza na kujihoji maswali yafuatayo kuhusiana na suala la ndege. JE SERIKALI...
  2. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Natakiwa kuondoka jioni ya leo; wapi nitapata IT au private za Tabora?

    Wadau, Nimepata dharura natakiwa niondoke jioni hii kwenda Tabora. Nahitaji kujua kituo ambacho nitapata private car au IT na mida husika ili niende Tabora jioni ya leo kesho niwe ofisini kwa mdau then keshokutwa nigeuze. Naombeni kufahamishwa vijiwe vya kupata magari hayo. Na muda pia
  3. S.M.P2503

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Mbowe: Watanzania hatuhoji uhalali au uwezo wa Mahakama, bali uwezo wa Majaji - Msimamizi uko wapi- Kwanini mnaichosha Mahakama ya Rufaa?

    Vyovyote iwavyo: 1. Majaji wote wa kesi hii mpaka sasa Pigia mstari Mpaka sasa- wameonesha uwezo hafifu sana wa kutafsiri sheria zetu. 2. Uwezo wa msimamizi wa hawa majaji nao uko kikaangoni. 3. Mwalimu wa majaji hawa ni nani haswa ili tujue uwezo wake au labda na yeye ana elimu ya kuunga...
  4. Risk manager

    JamiiForums Tanzania Wapi nitapata shule ya michezo 75% na 25% elimu darasa

    Habari zenu wanajukwaa! Kama kichwa kinavyojielezea.lengo langu ni dogo awe professional tennis player. Yaani nguvu nyingi na muda mwingi azielekeze huko kuliko masomo ya darasani. Mazingira yatamjenga Nina Imani iyo. Yaani wakiamka kila asubuhi saa kumi mpaka saa mbili asubuhi ni mazoezi...
  5. Makonyeza

    JamiiForums Tanzania Kwani Wanawake mko wapi?

    KWANI WANAWAKE MPO WAPI? Na Moh'd Majaliwa, Adv. Kiasi imenistaajabisha na kunistua, sikuitarajia hali hii. Kwenye makutano na mikusanyiko mingi ya maana na ya kipuuzi, wanawake nyie huwa wengi zaidi ya wanaume, yaani mmekuwa wepesi kuhamasika na kwa ajili hiyo kipimo cha jambo lako la...
  6. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Mahakamani kesi ya Mbowe na wenzake: Upande wa Utetezi waanza kutoa ushahidi. Kesi yaahirishwa mpaka 26 Novemba, 2021

    Kesi ya ugaidi ( kesi ndogo katika kesi kubwa) inayoendeshwa divisheni ya Uhujumu Uchumi na rushwa inaendelea leo ambapo upande wa Jamhuri utaleta shahidi mwingine. Leo upande wa Mashtaka walisema wanafunga ushahidi hawataendelea na shahidi mwingine. Hivyo upande wa Utetezi walianza kujijejea...
  7. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Kama uko single weka picha yako hapa tuangalie tatizo liko wapi

    Malalamiko yamekua mengi, tushirikiane kutakua hili tatizo.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Khalid Aucho yupo wapi?

    Wanayanga wenzangu, Mchezaji wetu hatari na daktari wa mpira Khalid Aucho mganda huyu yuko wapi? Au ni majeruhi? Tunammiss sana fundi wetu huyu mwenye kiwango bora kabisa ambaye huezi mfananisha na takataka zozote za MAKOLO FC. Mwenye kujua atufahamishe wanayanga tujue!
  9. T

    JamiiForums Tanzania BAVICHA, UVCCM Wapinga katiba wako wapi?

    Miezi kadhaa kulikuwa taarifa mahususi kupitia Channel Ten na TBC ikiwa na matamko ya kwamba BAVICHA haihitaji katiba mpya. Walienea kila mkoa na kwenye vyuo, nani alikuwa anawafadhili badala yakutusaidia maji na umeme. Vyombo hivyo vya habari vilikuwa vinalipwa na taasisi ipi? Chongolo...
  10. Frumence M Kyauke

    JamiiForums Tanzania Babalevo amjibu Babutale Mamlaka ya kuwaita Watu wapumbavu ameyapata wapi?

    Hivi karibuni Babu Tale alizungumza juu ya sanaa kwa mapana yake, alidai kuwa watanzania tuwe mstari wa mbele kuwapongeza wasanii kwa kazi zao vilevile wasanii wajikite zaidi kwenye muziki na sio mabishano yasiyokuwa na tija katika tasnia ya muziki Hatahivyo alitaja idadi ya watu wanaotakiwa...
  11. Bowie

    JamiiForums Tanzania CCM Mnatupekeka Wapi Kiuchumi?

    Toka tupate Uhuru 1961 Tanzania imetawaliwa na Tanu na baadaye CCM lakini cha kusikitisha ni jinsi ya uchumi wa Tanzania unavyoendeshwa kwa njia tofauti katika utawala wote wa awamu sita. Awamu ya kwanza njia zote za kiuchumi zilithibitiwa na serikali na utaifishaji mkubwa wa...
  12. Ngamanya Kitangalala

    JamiiForums Tanzania Mgao wa umeme unatoka wapi kama tulikuwa na uzalishaji wa ziada wa umeme?

    Nchi yetu kwa sasa imepata changamoto ya upungufu wa mvua, hii ni kwa mujibu wa mamlaka ya hali ya hewa nchini (TMA), jambo lililopelekea upungufu wa uzalishaji wa umeme hapa nchini, hiyo ni kwa mujibu wa taarifa kwa umma iliyotolewa na shirika letu la umeme hapa nchini (Tanesco) jana tarehe...
  13. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Zitto: Magufuli aliendesha nchi Kwa kudanganya, sasa tunatumia uongo ule kuwapima walioko madarakani

    ZITTO AMTETEA JANUARY MAKAMBA "Ukweli usemwe, awamu ya tano hakuna ongezeko la uzalishaji umeme lililofanyika, miaka5 bila kukarabati njia za umeme, Magufuli aliendesha nchi kwa kudanganya, sasa tunatumia uongo ule kuwapima walioko madarakani, hatujaogeza hata 1MW kwa miaka 5"@zittokabwe
  14. K

    JamiiForums Tanzania Vitabu vya kuaile Hanyu vinapatikana wapi?

    Natafuta vitabu vya KUAILE HANYU vinavyotumika sekondari kufundishia lugha ya Kichina.
  15. jMali

    JamiiForums Tanzania Mahojiano ya Membe: UWT mpo wapi?

    Kutoka katika mahojiano yake na gazeti la JAMHURI: "Unaambiwa kiongozi huyu anabaka ofisini, lakini hadi anashitaki fulani amenifanya hivi au vile ili nipate kitu fulani, na kuna vitu vinajulikana vya wazi kabisa". Ikumbukwe hapa inaongelewa CCM. Hoja: Kwa nini UWT isilivalie njuga hizi...
  16. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Uganda: Milipuko Miwili ya Mabomu yatokea Jijini Kampala

    Salaam Wakuu, Leo Milipuko Miwili ya mabomu imetokea jijini Kampala. Wabunge watawanyia kuokoa maisha. Wabunge wa bunge la Uganda wakiwa nje ya jengo baada ya Mlipuko kutokea Jijini Kampala. Kila mtu anaokoa maisha yake
  17. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Haya Mamlaka ya Bunge kuita watu kuwahoji na kutoa maonyo inayatoa wapi?

    Wakuu kuna kitu kinaendelea kwenye hili bunge la spika ndugai sikielewi kabisa. Kuna kipindi bunge lilimwita Pascal Mayalla bungeni kwenda kumuhoji kwamba kadhalilisha bunge. Nikajiuliza akili iwapo bunge lina mamlaka ya kuact kama mahakama lakini sikuelewa. Ukaja tena ugomvi wa wa CAG na...
  18. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hii ipo maeneo gani ya Kenya tusaidieni

    Ni Magnetic force au Gravitational force imepungua or another unknown force.
  19. S

    JamiiForums Tanzania Ikitokea TANESCO wameunguza vitu kwa mchezo wa kukata na kurudisha naenda kulalamika wapi?

    Tulishasahau kero za tanesco jpm alitusaulisha huko aliko mwanga wa milele amwangazie Bwana.naomba wajuzi wa Mambo kama TANESCO Wana uwezo wakulipa vitu vinavyoharibika kutokana na kukata kwao dakika moja na kuurudisha dakika ya pili,Tangu Jana mchezo wao ulikuwa huo jioni ukatulia. Leo ni Mara...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Yu wapi aliyesigina Kitabu cha Andiko la Katiba huko nyuma?

    Nakumbuka niliwahi kusikia kuna Bwana MMoja aliwahi kuisigina Kitabu cha Katiba huko nyuma. Pia vyombo taasisi na watu mbali mbali walikuja juu na kutaka "anyongwe hadharani". Sijui Kashfa hii iliishia wapi na huyo Bwana yu wapi?
Back
Top Bottom