Kvp bossKwenye data nimehamia airtel tu kuna kachimbo ka free data 300mb kila siku.
Kananiokoa sana
Umeshindwa kuficha namba yako hapo?Mbona tozo mmezoea hamlalamiki tena.
hata hili mtazoea sana tu.
mimi nanunua kifurushi cha wiki kila baada ya siku 3.
wanakula data kama mchwa.
View attachment 1962575
Unatumia tls tunnel 🚶♂️🚶♂️Kwenye data nimehamia airtel tu kuna kachimbo ka free data 300mb kila siku.
Kananiokoa sana
TTCL??Rudi nyumbani kumenoga
Vile vya kuchakachua??Unatumia tls tunnel 🚶♂️🚶♂️
Hii ya lini maana wameanza nadhani juzi. Hii itakuwa ya zamaniMbona tozo mmezoea hamlalamiki tena.
hata hili mtazoea sana tu.
mimi nanunua kifurushi cha wiki kila baada ya siku 3.
wanakula data kama mchwa.
View attachment 1962575
Hata sijui kiongoziVile vya kuchakachua??
Unaogopa nini kwani mkuu?Umeshindwa kuficha namba yako hapo?
Screen shot utupie hapa basiHalotel nadhani Ndio cheaper. Ila speed kinyonga. 1G.
current bundle:Hii ya lini maana wameanza nadhani juzi. Hii itakuwa ya zamani