wapenzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Jack Palladino

    JamiiForums Tanzania Wale wapenzi wa liquor (whiskey and spirits) tukutane hapa. Tupia picha ukiwa unaenjoy kinywaji chako

    Chat na picha ya kinywaji🥂
  2. K

    JamiiForums Tanzania Wale wanaotamba "Najua kuacha sijui kuachwa" mara nyingi baadae huwa wasumbufu kwa wapenzi waliowaacha

    Kuna wale wanajionaga mafundi wa mapenzi sababu ya mionekano yao,uzuri au fedha zao wanajiamini kwamba wanajua kuacha hawajui kuacha,ila baadae hujaga kuwa wasumbufu. Nakumbuka nilikuwa na demu mmoja mzuri, ki ukweli huyu demu alikuwa mzuri Black beauty bonge la figure, halafu mara nyingi...
  3. Infinite_Kiumeni

    JamiiForums Tanzania Wanaume wengi hukosa wapenzi kwa kufanya makosa haya wanapokutana mara ya kwanza (first date)

    Umekutana na mwanamke ukapata namba yake na mkapanga mkutane mara ya kwanza mahali ili muongee/ mle/ mpate kinywaji. Kuna muda hili jambo linatia mawazo sana. Unajiuliza utafanyaje ili umpate kabisa umuweke ndani Kukutana na mwanamke mara ya kwanza huwa ni kwa ajili ya kujuana zaidi. Sio kwenye...
  4. BARD AI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ruto, Raila waungana kutupilia mbali uamuzi wa Mahakama ya Juu kutetea Haki za Wapenzi wa Jinsia Moja

    Rais William Ruto na kiongozi wa Azimio Raila Odinga wote wamejitokeza leo kukosoa uamuzi wa Mahakama ya Juu kuruhusu usajili wa vikundi vya ushawishi vya LGBTQ. Pamoja na Naibu Rais Rigathi Gachagua, wamepaza sauti ya kisiasa kutupilia mbali uamuzi uliotolewa na mahakama kuu Februari 24 wa...
  5. USSR

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya imetoa ruhusa ya wapenzi wa jinsia moja kujumuika

    BBC Swahili wanalipoti kuwa mahakama ya juu nchini Kenya imeanza vyema kuruhusu wapenzi wa jinsia moja kuwa na haki ya kujumuika, hii ni ishara sasa kenya inaelekea kule walipo waliokaaga mwanzo kisha wakakubaliana na hali. Hili ni tukio baya sana kwa ukanda wetu ambapo ile nguvu moja ya...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Wanawake mkipata wapenzi wapya punguzeni "show off" kwenye "status za WhatsApp"

    Story iko hivi.... Nilikua na mpenzi wangu ambae tulidumu kwenye mahusiano kwa takribani miezi 6 lakini tulipishana tu Kiswahili kdg tu na nilijaribu kuzungumza nae lakini nikaona kama mwenzangu bado kanuna flani na wakati tunazungumza mimi nilikua nimesafiri kikazi kwa muda wa mwezi mmoja so...
  7. Heci

    JamiiForums Tanzania Mnaotafuta wapenzi hapa JF muwe mnatupa feedback mkiwapata hao muwapendao

    It is very irritating, unahangaika kumtumia mtu mamia ya ujumbe PM Halafu hajibu wakati ni yeye mwenyewe ndio alikuwa anasema anatafuta mwenzi. Mkiwapata semeni ili tusipotezeane muda
  8. BwanaSamaki012

    JamiiForums Tanzania Hii ni kwa wapenzi wa Samaki Sato (Fresh)

    Hello ladies and gentlemens? Poleni na pilika pilika za maisha nimekuja na habari nzuri kwenu kwa wale wapenzi wa Sato wabichi (fresh) Tunatoa huduma ya kuuza samaki fresh aina ya Sato kwa bei ya Tsh 8,500 kwa kilo, wanaingia kati ya samaki 5 - 4 kwenye kilo 1. Samaki wetu wanaradha nzuri kwa...
  9. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Ripoti: Dar yaongoza kwa watu kuwa na michepuko zaidi ya miwili

    Wakati takwimu za Tume ya Kudhibiti Ukimwi Tanzania (Tacaids) zikionyesha maambukizi ya ugonjwa huo yameshuka kwa asilimia 47, ripoti mpya ya Wizara ya Afya imeonyesha viashiria vya uwezekano wa kuongezeka kwa virusi kutoka kwa wasiokuwa wanandoa wala wachumba (michepuko). Ripoti hiyo ya...
  10. Kiranja Mkuu

    JamiiForums Tanzania Dondoo kwa wapenzi wa sex tourism

    Wazee wenzangu wale tunaozunguka nchi mbalimbali na mikoa mbalimbali kuonja mbususu za aina aina, leo tiririka nami nikupe orodha ya nchi zinazoongoza kwa kuwa na visu vikali Afrika. Utafiti wa mwaka 2022 umeonesha kuwa nchi zifuatazo zinaongoza kwa wanawake warembo barani Afrika. 1...
  11. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Wanawake waislam wanaheshimu sana wapenzi wao

    Wasalaam JF Nimekoshwa sana na hulka na tabia ya wanawake waislam, wadada, wamama na mabinti ama kweli kama dini imewapa maarifa mema sana, mna heshima, mnajua kujishusha, kuomba radhi hamchoki, unyenyekevu na utii, heshima, adabu, usikivu pia hadi raha. Mungu awatie nguvu mshichoke wala...
  12. Raia mpya

    JamiiForums Tanzania Mnapata wapi wapenzi?

    Salaaam vijana wenzangu. Naomba mnisaidie kijana mwenzenu miaka 25 nataka nitoke kwenye hii hali ya U single nimeuchoka, Hivi mnapata wapi wapenzi serious yaani yule mwenzi wa kuwa naye maisha na mnafanya maisha pamoja? Mi si mtu wa klabu au mitoko hivyo nakua ngumu kukutana na watu wapya...
  13. Mamujay

    JamiiForums Tanzania Mbinu ya kuwakamata wapenzi wa jinsia moja Inayotumika Misri

    Nchini Misri, wapenzi wa jinsia moja wananyanyapaliwa sana, na kwa muda mrefu kumekuwa na madai kwamba polisi wanawinda LGBT mtandaoni. Sasa BBC imepata ushahidi wa jinsi mamlaka zinavyotumia programu za uchumba na kijamii kufanya hivi, Ahmed Shihab-Eldin anaripoti. Majina ya waathiriwa wote...
  14. YETU MOTORS CO LTD

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Tunatoa huduma ya kuagiza magari ya aina mbalimbali

    PDF pichani inaeleza kwa ufupi uzuri na ubaya wa aina za mifumo tajwa ya uendeshaji lengo likiwa kukuongoza kufanya uchaguzi sahihi wa aina ya gari unayofikiria kuagiza kulingana na matumizi yako. Pitia ujifunze zaidi
  15. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Usithubutu kutatua Ugomvi wa wanandoa au Wapenzi kwani utakuja kujuta na kuumbuka baadae

    Kuanzia sasa (leo) GENTAMYCINE natangaza rasmi nikikuta ama Wanandoa au Wapenzi (ninaowajua) wanagombana hadharani tena huku Wameshikiana Silaha za HATARI nitakachokifanya ni Kuwasakizia zaidi ama Waumizane au hata Wasitishiane rasmi Pumzi zao na siyo Kuwaokoa na Kuwatatua. Sijui kwanini Wema...
  16. Unknown philosopher

    JamiiForums Tanzania Kwanini wapenzi hurekodi video au kupiga picha za utupu kisha wakiachana huzivujisha?

    Habari wana jamii. Huwa nashindwa kuelewa kwanini unakubali kupigwa picha za utupu na mpenzi wako wakati wa kufanya ngono. Je, hufikirii kuwa mkiachana yaweza kuwa kama ndo fimbo ya kukuchapia pindi akizivujisha? Tubadlikeni jamani tusiige ulimbukeni
  17. Forest Hill

    JamiiForums Tanzania Wapenzi wa Gangster movies tukutane hapa

    Hello ndugu zangu wapenzi wa Gangster movies ni movie gani ya mahadhi haya unaipenda??kwanini??quote gani unaipenda??Mimi Naipenda Sana The Godfather haswa scene ambayo Don Corleone anachezea paka
  18. R

    JamiiForums Tanzania Wapenzi wa Siasa za Hoja tunaingia. Hatutaki ugomvi na mtu. Rais Samia aliwapa onyo UVCCM juzi

    Ndugu zanguni hodi hodi tunaingia. Sasa tunakuja kwa nguvu mpya. Kamanda Mbobezi mwenye uwezo mwingi na nguvu nyingi asiyechoka na hoja za ukweli anaingia. Sio mwingine ni Kijana Jeuri, mjuaji, jasiri, mwelevi yule aliyetabiriwa na Mwl Nyerere. Sio mjeuri wa jinai bali wa akili, itikadi, mpenzi...
  19. Mama Edina

    JamiiForums Tanzania Heri ya Mwaka Mpya wapenzi wangu hapa JF, nawapenda sana

    Sina maneno mengi. Mapenz yangu kwenu ni ya kutoka moyoni mwangu. Mwaka huu 2023 na ukawe faraja kwenu. Pale kwenye tumaini na Mungu aweke tumaini pale penye Nia Mungu akaihuishe iwe na itendeke.
  20. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Tunaochapiwa, waliowahi kuchapiwa wake, wapenzi, wachumba zao na Member (s) wenzetu wa JF tujuane

    Maisha hapa duniani kila sehemu kuna wazuri na wabaya, katika hali ya kawaida tunapokuwa na wake, wapenzi, na wachumba, huwa hatuwafugi wala kuwachunga kama mifugo, na pia katika maisha kuna kuwa vizuri kiuchumi, kufulia na Kuyumba, kuna kuwa na gari, pikipiki etc vyote kama kishawishi au mvuto...
Back
Top Bottom