Mnapata wapi wapenzi?

Raia mpya

JF-Expert Member
Apr 12, 2022
323
954
Salaaam vijana wenzangu.

Naomba mnisaidie kijana mwenzenu miaka 25 nataka nitoke kwenye hii hali ya U single nimeuchoka, Hivi mnapata wapi wapenzi serious yaani yule mwenzi wa kuwa naye maisha na mnafanya maisha pamoja?

Mi si mtu wa klabu au mitoko hivyo nakua ngumu kukutana na watu wapya hasa wadada nipeni mbinu ndugu zangu nyie mnawapatia wapi?
 
Hata usijiangaishe, wakati ukifika sijui Huwa wanatokea wapi?

Ila Kuna formula ukitaka wanawake waanze kukufuatila lazima uwe na demu unaemjali.

Tafuta demu hapo kitaani au ofsini kwenu jilipue na anza kudate nae. Jitoe sana , onyesha kucare ila usimule.

Utashangaa jinsi maisha Yako yatakavyobadirika. Utawindwa Kila Kona na hotojua unatokaje.

Hali hiyo ikitokea, Tenga muda wa kufunga na kuomba Kwa week nzima , uombe ishara ya mdada sahii. Mungu alivyo mwaminifu atakukutanisha nae.

Usisahau yule wa kwanza usimule mbususu.
 
Hata usijiangaishe, wakati ukifika sijui Huwa wanatokea wapi?

Ila Kuna formula ukitaka wanawake waanze kukufuatila lazima uwe na demu unaemjali.

Tafuta demu hapo kitaani au ofsini kwenu jilipue na anza kudate nae. Jitoe sana, onyesha kucare ila usimule.

Utashangaa jinsi maisha Yako yatakavyobadirika. Utawindwa Kila Kona na hotojua unatokaje.

Hali hiyo ikitokea, Tenga muda wa kufunga na kuomba Kwa week nzima, uombe ishara ya mdada sahii. Mungu alivyo mwaminifu atakukutanisha nae.

Usisahau yule wa kwanza usimule mbususu
Umenipa ushauri mzuri sana sema hapo kwenye kutomla sijaelewa hapo
Asa huyo anakuwa kama mtu wangu au rafiki tu
 
Hivi vitu binakujaga bila mipanga unashangaa tu mara umemnasa mdada mkali
Mwaka 2016 ndo nimemaliza form 6 nimeenda kumtembelea sister mbagala wakati nipo zangu zakhiem najiandaa kirudi home tababa nikakutana na pisi moja kalii inaingia kwenye gari dah nikahisi kupagawa aisee na mimi nikazama humohumo hata sijui daradara inakwenda wapi

Nilifanikowa kukaa nae siti moja ila yeye alikaa upande wa dirishani nikaanza salam na kumhoji unashuka wapi akanitajia nashuka kituo x na mimi nikamjibu nashuka hapohapo kituo x kumbe hata sipajui ninapokwenda in short nilifanikiwa kumpata ila tulikuja potezana sijui kwa sasa yupo wapi

Huyu nilienae sasa ilikua mwezi wa 12 mwaka jana nilikua natoka zangu mnazi mmoja nikapanda gari la kuelekea home nilikaa siti karibu na mlango baada ya kufika kkoo kongo ilipanda pisi moja matata aisee ila alienda kukaa siti ya mbele nilibaki namuangalia huku hamu ya matamanio ikinijaa niliapa sishuki hadi nione yule manzi anashuka aisee nilipitiliza kituo cha home huku macho yangu yakimuangalia yeye anashuka wapi mwishowe aliposhuka nami hapohapo nikashuka hivi sasa mnaposoma comment hii huyu dem ni mpenzi wangu na nipo nae getto nacheki nae movie inayoitwa LOVE DON'T COST A THING.

Na huyu anaweza kuwa wife maana anasifa zote japokua hatuna muda mrefu kwenye mahusiano ni mpole, mcheshi, anahofu na mungu na anajiweza kiuchumi pasipo kunitegemea mimi yaani anabiashara zake ni mtafutaji kwa kweli.
 
Salaaam vijana wenzangu naomba mnisaidie kijana mwenzenu miaka 25 nataka nitoke kwenye hii hali ya U single nimeuchoka, Hivi mnapata wapi wapenzi serious yaani yule mwenzi wa kuwa naye maisha na mnafanya maisha pamoja?
Mi si mtu wa klabu au mitoko hivyo nakua ngumu kukutana na watu wapya hasa wadada nipeni mbinu ndugu zangu nyie mnawapatia wapi??
Weee tafuta humu humu. 🤣🤣🤣🤣
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom