Kichuguu Platinum Member Joined Oct 11, 2006 Posts 18,016 Reaction score 24,964 Apr 2, 2023 #1 Kati ya wimbo "Kapu" wa Juma Bhalo na "Bunduki bila Risasi" wa Shakila ni wimbo gani ulishida kwa mipasho? Kapu (huu uliimbwa na Juma Bhalo, siyo Mohammed Mrisho kama ilivyoonyeswa kwenye video hii) Bunduki bila risasi wa Shakila
Kati ya wimbo "Kapu" wa Juma Bhalo na "Bunduki bila Risasi" wa Shakila ni wimbo gani ulishida kwa mipasho? Kapu (huu uliimbwa na Juma Bhalo, siyo Mohammed Mrisho kama ilivyoonyeswa kwenye video hii) Bunduki bila risasi wa Shakila
KENGE 01 JF-Expert Member Joined Mar 12, 2021 Posts 1,770 Reaction score 4,394 Apr 2, 2023 #2 Leila Rashidi-Sina mda huo DJ DJ DJ walete wanaosema taarabu haifai kwa mwanaume
Kichuguu Platinum Member Joined Oct 11, 2006 Posts 18,016 Reaction score 24,964 Apr 2, 2023 Thread starter #3 KENGE 01 said: Leila Rashidi-Sina mda huo DJ DJ DJ walete wanaosema taarabu haifai kwa mwanaume Click to expand... Weka link ya Youtube au MP3 Mipasho yake nao mikali sana
KENGE 01 said: Leila Rashidi-Sina mda huo DJ DJ DJ walete wanaosema taarabu haifai kwa mwanaume Click to expand... Weka link ya Youtube au MP3 Mipasho yake nao mikali sana
The Icebreaker Platinum Member Joined Apr 24, 2014 Posts 37,930 Reaction score 117,221 Apr 2, 2023 #4 Ngoja nitafute mlango wa kutokea,sijui nimeingiaje tu humu!
LorenzoA JF-Expert Member Joined Apr 10, 2012 Posts 5,889 Reaction score 17,753 Apr 2, 2023 #5 Issa Matona ..takes it all
Kichuguu Platinum Member Joined Oct 11, 2006 Posts 18,016 Reaction score 24,964 Apr 2, 2023 Thread starter #6 The Icebreaker said: Ngoja nitafute mlango wa kutokea,sijui nimeingiaje tu humu! Click to expand... Pitia mlango uliotumia kuingilia!
The Icebreaker said: Ngoja nitafute mlango wa kutokea,sijui nimeingiaje tu humu! Click to expand... Pitia mlango uliotumia kuingilia!
Tayukwa JF-Expert Member Joined Dec 11, 2014 Posts 2,182 Reaction score 4,422 Apr 2, 2023 #7 Fortilo said: Issa Matona ..takes it all Click to expand... Ulonae umzuie.... Mke kumpa talaka