wapenzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. byakunu

    JamiiForums Tanzania Kuwa na wapenzi wengi inakulazimu kutokana na Mazingira

    Nilikaa Juliana Pub, kadri muda ulivokuwa unaenda aisee kitu nilicho kiona ni ongezeko kubwa sana la watu ilikuwa wanaoongezeka zaid ni wanawake yan walikua wengi kuliko wanaume, nikatoka nikaingia Tips the same wanawake wamefurika kuliko wanaume. Nikabadili chimbo nikaingia Maison na...
  2. frenderPH

    JamiiForums Tanzania Inawezekana kupata wapenzi wawili wa kike ndani ya wiki moja?

    Kama kichwa kinavyojieleza hapo, me kijana wa hovyo niko na swali Hivi inawezekana kweli kwa kijana wa kiume kujipatia mademu zaidi ya mmoja ndani ya wiki moja?.. Yaani kutengeneza uhusiano na demu mpya ambae hajawahi kuonana nae hata kwa siku moja na mpaka kuwa wapenzi ndani ya wiki moja...
  3. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Kwa wapenzi wa Music na Movies. Wireless earbuds za bei rafiki zinazokaa na charge muda mrefu

    Nahitaji wireless earbuds ambazo zinaweza kaa na charge kwa muda mrefu. Lets say masaa 8-12. Kama unazifahamh please nijulishe. Na bei iwe rafiki tu ya kitanzania.maana nmeshanunua sana na kukuta ni bomu masaa unakuta 3-4 charge imeisha na wameniuzia tsh 50,000 + kuna mtu anasema inawezekana...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa Yanga wawe wakweli kuhusu mchezo wa Jumapili

    Nimesoma kupitia Saleh Jembe kuwa wachezaji wapya waliosajiliwa hivi karibuni na ambao ni tegemeo kwa timu hawatacheza kwenye michuano ya Klabu Bingwa siku ya tarehe 12.9.2021. Sasa kwa nini mlitamba na kutuaminisha kuwa watacheza siku ya Jumapili. Hii ni aibu kubwa kwa timu na inawezekana...
  5. Lubebenamawe

    JamiiForums Tanzania CHADEMA wanatetea ajabu hata wao hawachanji

    Chadema kimekuwa kimejinasibu kuwa ni chama chenye wafuasi wengi. Na wakati mwingine kimekuwa kikijitangaza kuwa kina wafuasi kuliko chama kongwe nchini na barani Afrika ukitoa ANC cha Afrika Kusini na MPLA cha Angola mnaweza mkanirekebisha wajuvi wa historia. Hivi karibuni viongozi wa Chadema...
  6. Granted Faith

    JamiiForums Tanzania Wapenzi walioanzia Chuoni ndoa zao zinadumu sana

    Ukipata nafasi oa/olewa na mpenzi wako ambaye mpo wote chuo sababu mnajuana uhalisia. Tafiti isiyo rasmi inaonesha waliooana na wapenzi wao wa chuo ndoa zinadumu sana. Na Ndoa nyingi za wapenzi walioanzia chuo zilidumu sana.
  7. Granted Faith

    JamiiForums Tanzania Haya mambo ya kublock wapenzi wenu ni ushamba narudia tena ni ushamba

    Haya Mambo Kublock Wapenzi wenu ni Ushamba Unakuta Mna Kaugomvi Kadogo tuu ila Mnalimana block kila sehemu then baada ya mda mnapatana then Mnajiunblock huo ni Ushamba na Upumbavu, utoto na uzwazwa. Mambo ya Kublock ni ya Kishamba na ya Kipumbavu sana.
  8. Kasomi

    JamiiForums Tanzania Aina za Wapenzi Hatari kwenye mahusiano

    AINA ZA WAPENZI HATARI KWENYE MAHUSIANO... 1: Mpenzi mtangazaji--> Kila mnacho fanya yeye anaenda kusema kwa marafiki/ndugu/mitandaoni. 2: Mpenzi mtazamaji: Hana afanyalo, hana future, yupo yupo tu kazi yake ye kutazama na kusimulia ya wenzie wala yake hayawazii. 3: Mpenzi msikilizaji...
  9. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Waziri George Simbachawene: Waliowashambulia wapenzi wakiwa faragha kwa madai ya kuwafumania wakamatwe

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Geoge Simbachawene ameliagiza Jeshi la Polisi kuwakamata watuhumiwa waliowashambulia wapenzi wakiwa kwenye faragha wakidai kuwa wamewafumania. Ametoa agizo hilo leo Agosti 6, 2021 jijini Dar es Salaama baada ya kuiona video iliyosambaa katika mitandao ya...
  10. Wang Shu

    JamiiForums Tanzania Kahawa bora zaidi duniani

    Luwaki Coffee; Hii ni kahawa pendwa zaidi unapata ile radha haswaa ya kahawa. Hutumika zaidi nchi za baridi na restaurant kubwa, Wapenzi wa kahawa tafuteni hii ndio kahawa bora zaidi duniani Karibuni.
  11. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Njombe: Wapenzi wafariki wakiwa wamelala chumbani na jiko la mkaa

    Watu wawili wamefariki dunia mkoani Njombe baada ya kuingia na jiko la mkaa katika chumba cha kulala kwa ajili ya kupunguza baridi. Hayo yalibainishwa leo Jumatano Julai 21, 2021 na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Njombe, Hamisi Issah wakati alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari katika makao...
  12. Darucha

    JamiiForums Tanzania Thread maalum kwa wapenzi wa movie za zamani za Kihindi pamoja na mastaa wake

    Daah aisee movie za kihindi zamani zilijua kutukamata kulikuwa hakuna watafsiri lakini tulizielewa balaa. Miaka ya 80's huko wazazi wetu na wenyewe walikuwa na mastaa ambao waliwakubali Kama Dharmendra, Amitha Bachan, Shratugansina, Mithun chaklaboth, jitendra, huku maqueen wao wakiwa Kama...
  13. Ethan Cruz

    JamiiForums Tanzania Unapoongea na wanawake wengi kuhusu kushika simu za wapenzi wao na kuwafumania wanakuambia “nakagua ili kupata ushahidi!”

    Unapoongea na wanawake wengi kuhusu kushika simu za wapenzi wao na kuwafumania wanakuambia “nakagua ili kupata ushahidi!” kwangu hiyo si shida shida inakuja kuwa unataka ushahidi wa nini? ili ugundue nini yani (1) Umemchoka unataka kumuacha lakini huna ushahidi unataa ukishajua umuambie...
  14. BabaMorgan

    JamiiForums Tanzania Je, ni sahihi kwa wapendanao ( wanandoa & wapenzi ) kutumia video za ngono kama muongozo wawapo faragha?

    Andiko hili ni mjadala wa wakubwa kama upo chini ya miaka 18 tafuta andiko linalokufaa. Pesa ni nzuri ila ngono ni tamu. Mimi Baba Morgan ni miongoni mwa wachache tunaoamini kuwa video za ngono zilikuja kwa nia njema ya kututoa tongo tongo juu ya maswala mazima yahusianayo na tendo la ndoa kama...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Ibada ya kuaga mwili wa TB. Joshua inaendelea muda huu

    Ibada inaendelea mda huu wageni toka sehemu mbalimbali duniani wamehudhuria, kwa hapa Tanzania inaonyeshwa kupitia wrm TV ya Chief suguye ambayo inapatikana kwenye kisambuzi cha startimes, tuendelea kufatilia ibada hii ya kusherekea maisha yake.
  16. M

    JamiiForums Tanzania Wapenzi wa Yanga na Simba acheni kuvaa fulana za timu zetu wiki nzima

    Wapenzi wa Yanga na Simba, Jezi zenu huwa zinavaliwa angalau siku moja kabla ya mechi,hadi siku ya mechi na baada ya mechi unaweza ukavaa kwa nusu siku hata kama umeshinda au umefungwa.Ushamba wenyewe unakuwa hivi aliyeshinda anavaa jezi wiki nzima asubuhi hadi wengine wanalala nazo,wakati...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Nina wapenzi wawili nimuoe nani kati yao?

    Habari zenu ndugu zangu. Nakuja kwenu na Id mpya ili niweze kuwa muwazi kwenu nipate msaada. Naona karma inaninyemelea na sielewi nifanye nini ndugu zangu. Mimi ni kijana wa miaka 31. Sijaoa lakini nimekuwa na girflriend wengi kwa wakati mmoja bila wao kujuana. Shida yangu ni hii: Katika...
  18. MR LINKO

    JamiiForums Tanzania Phone: Wapenzi wa simu za Oppo

    hizi ni aina tofauti za simu aina ya OPPO unaweza angalia na kusafisha machoo.. Nimeangalia hadi zimenichanganya akili.
  19. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Zawadi kwaajili ya wapenzi wetu

    Wakuu Kuna binti fulani wife material nimempenda Sana nimeona nijiingize na Mimi katika mahusiano mchumba nishamtongoza na sasa Bado ananifikiria fikiria kwa kuwa Bado muoga wa haya mambo Basi naendelea kusubiri na mtoto Ni bikra kabisa Hili liko wazi.(Kuna watu watabisha ila nasema ukweli...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Kwanini asilimia kubwa ya sisi tunashindwa kuongozana na wake au wapenzi wetu?

    Hivi hapa inakuwaje wakuu unaalikwa kwenye part unaenda peke yako au kimada, wife yuko home au wengine hata njiani tu utakuta wako safari moja lakini mwanaume anakaribia mtaa wa pili mwanamke ndio anaingia mtaa wa kwanza. Hivi inakuwaje kama unaona sio taipu yako usingemuoa basii khaa.... N.B...
Back
Top Bottom