Yanga na Simba wapenzi wenu wamejifunza nini kuhusu makocha walionao sasa vilabuni?

Tango73

JF-Expert Member
Dec 14, 2008
2,128
1,225
Makocha wa yanga na simba wamegeuka kuwa lulu sasa vilabuni mwao baada ya kupitia misukosuko ya kutakiwa kufukuzwa.

Ukweli kabisaa nabi aliponea chupuchupu pale yanga iliotoka sare nyumbani dhidi ya africa club ya tunisia na ilingojewa timu ishindwe tuu mechi ya marudiani kabla ya kocha kufukuzwa. Simba nao baada ya kufungwa na wayad mabao tatu bila kila mpenzi alitaka kocha afukuzwe ili arudishwa kocha mzalendo eti yeye aniijua timu vizuri na mzawa kuliko mbrazil.

Onyo kali
Kamwe isitokee tena kuingilia kazi za makocha vilabuni.Kamwe isitokee tena kulalamika pale kocha anapompanga mchezaji amtakaye au kumuingiza mchezoni mchezaji amtakaye. Makocha ndio wanaofundisha mpira na jinsi ya ufundi wa kuleta ushindi kila mchezaji atatumika vipi. Je, uliona jinsi ibrahim bacca alivyopangwa dhidi ya monastir ghafla na kusaidia kuokoa mipira ya juu?

Je kwa nini mchezaji ghali aziz ki kuingizwa kipindi cha pili na timu inafanya vema vizuri byee mechi zote tatu na kukusanya alama tisa?

Lets us wise up and grow up! Mpira ni kilimo na nazi subira yako ndo utaonja dafu la hakluna njia ya mkato au back road!
 
Sizani kama kuna shabiki wa Yanga aliekua anataka Nabi afukuzwe! Ila ni Simba ndo waliokuwa wanataka iwe ivyo ili wamyakue awe wao.

Kama Kuna shabiki wa Yanga aliekua anataka iwe ivyo na ajitokeze to prove Mee wrong!

Poleni sana Simba "Rome was not built in a day" kutaka mafanikioo ya haraka haraka ndo kumefanya muwe na Makocha 6 ndani ya miaka mitatu:
1. Gomez
2. Pablo
3. Matola (interim)
4. Zoran Maki
5. Mgunda (interim)
6. Robertinho

While Yanga kipindi chote icho ikibaki na Nabi kutengeneza timu ambayo sasaivi ni tishio barani Africa.

Ambae msimu uliopita alikosa kushiriki mashindano yoyote kimataifa lakini alipewa muda na Sasa matunda yake yanaonekana.

Football is about investment, invest in time (wape muda technical bench) invest in Quality Players (signing).
 
Makocha wa yanga na simba wamegeuka kuwa lulu sasa vilabuni mwao baada ya kupitia misukosuko ya kutakiwa kufukuzwa.

Ukweli kabisaa nabi aliponea chupuchupu pale yanga iliotoka sare nyumbani dhidi ya africa club ya tunisia na ilingojewa timu ishindwe tuu mechi ya marudiani kabla ya kocha kufukuzwa. Simba nao baada ya kufungwa na wayad mabao tatu bila kila mpenzi alitaka kocha afukuzwe ili arudishwa kocha mzalendo eti yeye aniijua timu vizuri na mzawa kuliko mbrazil.

Onyo kali
Kamwe isitokee tena kuingilia kazi za makocha vilabuni.Kamwe isitokee tena kulalamika pale kocha anapompanga mchezaji amtakaye au kumuingiza mchezoni mchezaji amtakaye. Makocha ndio wanaofundisha mpira na jinsi ya ufundi wa kuleta ushindi kila mchezaji atatumika vipi. Je, uliona jinsi ibrahim bacca alivyopangwa dhidi ya monastir ghafla na kusaidia kuokoa mipira ya juu?

Je kwa nini mchezaji ghali aziz ki kuingizwa kipindi cha pili na timu inafanya vema vizuri byee mechi zote tatu na kukusanya alama tisa?

Lets us wise up and grow up! Mpira ni kilimo na nazi subira yako ndo utaonja dafu la hakluna njia ya mkato au back road!
Kwaio huu ushauri wako wafikishie Simba directly Kule ndo Kuna shidaa sawa eeh!
 
Back
Top Bottom