wapenzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Forest Hill

    JamiiForums Tanzania Wapenzi wa Gangster movies tukutane hapa

    Hello ndugu zangu wapenzi wa Gangster movies ni movie gani ya mahadhi haya unaipenda??kwanini??quote gani unaipenda??Mimi Naipenda Sana The Godfather haswa scene ambayo Don Corleone anachezea paka
  2. R

    JamiiForums Tanzania Wapenzi wa Siasa za Hoja tunaingia. Hatutaki ugomvi na mtu. Rais Samia aliwapa onyo UVCCM juzi

    Ndugu zanguni hodi hodi tunaingia. Sasa tunakuja kwa nguvu mpya. Kamanda Mbobezi mwenye uwezo mwingi na nguvu nyingi asiyechoka na hoja za ukweli anaingia. Sio mwingine ni Kijana Jeuri, mjuaji, jasiri, mwelevi yule aliyetabiriwa na Mwl Nyerere. Sio mjeuri wa jinai bali wa akili, itikadi, mpenzi...
  3. Mama Edina

    JamiiForums Tanzania Heri ya Mwaka Mpya wapenzi wangu hapa JF, nawapenda sana

    Sina maneno mengi. Mapenz yangu kwenu ni ya kutoka moyoni mwangu. Mwaka huu 2023 na ukawe faraja kwenu. Pale kwenye tumaini na Mungu aweke tumaini pale penye Nia Mungu akaihuishe iwe na itendeke.
  4. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Tunaochapiwa, waliowahi kuchapiwa wake, wapenzi, wachumba zao na Member (s) wenzetu wa JF tujuane

    Maisha hapa duniani kila sehemu kuna wazuri na wabaya, katika hali ya kawaida tunapokuwa na wake, wapenzi, na wachumba, huwa hatuwafugi wala kuwachunga kama mifugo, na pia katika maisha kuna kuwa vizuri kiuchumi, kufulia na Kuyumba, kuna kuwa na gari, pikipiki etc vyote kama kishawishi au mvuto...
  5. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Ambao tulikuwa na Wake, Wapenzi na Wachumba wenye tabia ya kugawa sana namba zao za simu kwa Mabaharia. Njoo tusemezane hapa.

    Dunia hadaa ulimwengu shujaa. Ni imani yangu sote tu buheri wa afya. Nina kisa Cha mpenzi aliitwa Agnes, katika ubora wake huyu mtoto wa kingoni alikuwa na roho nzuri ya kila kitu yaani kila kitu, Hakuwa mchoyo wa chochote iwe pesa, penzi, chakula, kuazimisha nguo, viatu, simu, kukopesha...
  6. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Tujuane tuliochapiwa Wake zetu, wachumba, wapenzi wetu baada ya Kuyumba Kiuchumi

    Hii Dunia acha iitwe Dunia pamoja na usiku na mchana ila kuna rangi nyingi sana hapa duniani, mwaka 2020 nilipigwa matukio ya hatari sana, Gari ikabondwa na ajali, Pesa nikayumba kibiashara, demu nikachapiwa mbaya sana, madharau kama yote, upepo wa pesa ulipotea, viazi hola, mpunga hola...
  7. fredyyboy

    JamiiForums Tanzania Wapenzi wa movie za science (space, technology)tukutane hapa

    Nimekuwa mlevi wa movie za Aina hii Science) kama vile space movie nazikubali sana Bila shaka sipo mwenyewe dondosha movie lako Kali la Aina hii hapa.
  8. Faana

    JamiiForums Tanzania Wapenzi wa Madilu System tukutane hapa

    Nakumbuka huyu Mwamba alimgusa mpaka Rais wao akatangaza siku kadhaa za maombolezo na mapumziko wakati wa kifo chake> Madilu System collapsed on Friday, 10 August 2007. He was taken to the University Hospital in Kinshasa, where he died the next morning, Saturday 11 August 2007. His last album,
  9. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Ripoti UN: Wanawake 17,200 wameuawa na wapenzi na ndugu zao mwaka 2021 Afrika

    Ofisi ya Umoja wa Mataifa ya Madawa na Uhalifu (UNODC) na UN Women imesema Afrika ina kiwango kikubwa cha unyanyasaji dhidi ya Wanawake ikilinganishwa na idadi ya Wanawake wote. Kwa mujibu wa Ripoti Wanawake 5 wanauawa kila saa, na kwa mwaka 2021, karibu Wanawake na Wasichana 45,000 duniani...
  10. Acehood

    JamiiForums Tanzania Wapenzi wa Indie music/Indie-folk music

    Kwa wale wa wapenzi wa aina hii ya muziki tukutane hapa. Baadhi ya nyimbo ningependa usikilize pia; 1. Hollow Coves - coastline, these memories 2. Haevn - we are, the sea 3. Out of my hair - In the morning 4. Bon iver - Holocene 5. The sweeplings - be by our side, in between 6. Harbrs - a...
  11. Poker

    JamiiForums Tanzania Septemba 07, 2022 ndiyo iPhone 14 inazinduliwa. Wapenzi wa iPhone tukutane hapa kujuzana prices and specs

    Kesho September 7 ni iphone keynote event ambapo inatarajiwa iphone 14, 14 max na max pro zitazinduliwa rasmi. Inaaminika kutakuwa na major upgrade kwenye upande wa camera na video itaweza kurecord hadi 8k. Pia inasemekana kutakuwa hakuna sim cards slot na badala yake ni esim.
  12. Poker

    JamiiForums Tanzania Wale wapenzi wa Reggae tukutane hapa! Taja ngoma yako unayoikubali

    Binafsi namkubali sana Gregory Isaacs na lile kundi la UB40
  13. Craig

    JamiiForums Tanzania Wale tuliowahi kuwa na wapenzi wasiojua kusoma na kuandika tukutane hapa

    Habari za majukumu wadau, ni matumaini yangu kuwa wote tumeonesha uzalendo kwa kushiriki vizuri zoezi la sensa 2022. Dodoso za sensa zimenifanya nikumbuke visa nilivyowahi kukutana navyo kwenye mahusiano. Ilikuwa mwaka 2010 enzi hizo nilikuwa naishi Masaki, Haille Selassie Road(nyumbani)...
  14. M

    JamiiForums Tanzania SoC02 Ukatili kati ya ndugu, wapenzi na watu wa karibu ndani ya jamii

    UTANGULIZI Ukatili ni hali ya kusabishwa kwa makusudi mateso na kukosesha raha dhidi ya mtu mwengine, Ukatili baina aya ndugu, wapenzi au watu wakaribu ndani ya jamii unaweza ukawa ni ukatili wa kijinsia au ukatili kwa watoto unaoweza kufanywa na rafiki kwa rafiki, mzazi kwa mototo, jinsia moja...
  15. Superbug

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwa huu uchaguzi wa Kenya, familia na wapenzi wa Hayati Magufuli muombeeni toba mpendwa wenu

    Tufanye Hayati Magufuli (JPM) hakuamrisha shambulio la Lissu. Tufanye JPM hakuhusika na upoteaji wa Ben saanane. Tufanye JPM hakupokonya watu pesa zao kinguvu kwenye akaunti zao. Tufanye hakuna familia zilizoathirika na wazazi wao kufukuzwa kazi kionezi. Tufanye hakuna watu waliofunguliwa...
  16. kizaizai

    JamiiForums Tanzania Nipe jina la hii movie

    Hii ni screenshot.
  17. M

    JamiiForums Tanzania Karibuni tupeane 'Maujanja' ya kujua jinsi Wanawake (Wapenzi Wetu ) Wanavyoturoga sana Wanaume

    1. Ukiona Siku yoyote unasifia mno Chakula na Mpenzi au Mkeo jua ameshakuroga. 2. Ukiona mkiwa Mapenzini halafu umemaliza Kupiga Mshindo Milionea ( yaani Umemkojolea ) na haraka sana anawahi kutaka Kukufuta tena kwa Kitambaa chake jua unaenda Kurogwa vibaya sana. 3. Ukiona Mpenzi/ Mkeo...
  18. KAFA.cOm

    JamiiForums Tanzania Enzi zetu: Mpenzi wangu nikupendaye kwa dhati

    ENZI ZETU Mpenzi wangu nikupendaye kwa dhati. Salamu nyingi sana zikufikie huko ulipo. Utakapo kujua khali yangu mie ni bukheri kabisa. Hofu na mashaka ni juu yako ewe mpenzi wangu uliye mbali na upeo wa macho yangu. Dhumuni la barua yangu ni kutaka kukusabahi na kukushukuru kwa barua yako...
  19. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Wapenzi wa Muziki Mzuri: Home Theatre ya Sony vs Soundbar ya Hisense

    Wakuu Mambo. Nataka kununua kati ya Home Theater ya Sony DAV TZ 140 5.1 au Sound Bar ya Hisense HS 281 2.1 Zote mbili bei zinafanana approximately Tsh 450,000/= kila moja. Sony Home Theatre hiyo hapo, Wat 320. Nimeona haina Bluetooth connectivity sijui itafaa? Na Hapa chini ni Hisense...
  20. E

    JamiiForums Tanzania Kwa wapenzi wa instrumental music beats murua pata bure kabisa kutoka kwa ellyskywies

    Removed
Back
Top Bottom