Kwanini wapenzi hurekodi video au kupiga picha za utupu kisha wakiachana huzivujisha?

Sep 3, 2022
38
86
Habari wana jamii.

Huwa nashindwa kuelewa kwanini unakubali kupigwa picha za utupu na mpenzi wako wakati wa kufanya ngono.

Je, hufikirii kuwa mkiachana yaweza kuwa kama ndo fimbo ya kukuchapia pindi akizivujisha?

Tubadlikeni jamani tusiige ulimbukeni
 
Habar wana jamii huwa nashindwa kuelewa kwa nn unakubali kupigwa picha za utupu na mpenzi wako wakati wa kufanya ngono.

Penzi kunoga ni hatari sana yaani anachofanya mwenzio unaona yupo sawa tu hakosei.
 
Habar wana jamii huwa nashindwa kuelewa kwa nn unakubali kupigwa picha za utupu na mpenzi wako wakati wa kufanya ngono.

Je, hufikirii kuwa mkiachana yaweza kuwa kama ndo fimbo ya kukuchapia pindi akizivujisha?

Tubadlikeni jamani tusiige ulimbukeni
Its simple

Unaporekodi unakuwa kwenye penzi zito kiasi huwezi kufikira kama mtakuja kuqchana

Kwanza unahisi he/she’s the one hamna kitu atafanya kunidhuru so unajiachia
Maah btw nina za ex wangu mmoja hapa huwa nazitazama nikimkumbuka

Though sijawahi fikiria kuzipost coz namheshimu sana akidhalilika yeye ni kama nimedhalilika mimi
 
Acha uongo
 
Nilimkatazaga msichana niliyewahi kuwa naye kwenye mahusiano asinitumie picha za utupu baada ya kukuta ameshanitumia bila makubaliano yeyote mimi na yeye aliniona mshamba et!!
 
Its simple

Unaporekodi unakuwa kwenye penzi zito kiasi huwezi kufikira kama mtakuja kuqchana

Kwanza unahisi he/she’s the one hamna kitu atafanya kunidhuru so unajiachia
Maah btw nina za ex wangu mmoja hapa huwa nazitazama nikimkumbuka

Though sijawahi fikiria kuzipost coz namheshimu sana akidhalilika yeye ni kama nimedhalilika mimi
Itunze sana hiyo simu
 
Ni wapumbavuuu. Haswa wanawake we unakubali vipi mpenzi wako akurekodi, eti mapenzi. Mapenzi my foot. Ni baba yako huyo kusema atakuonea huruma? Women can be so funny some times wanajiachia af yakiwakuta wanakimbilia msaada wa kisheria
 
Its simple

Unaporekodi unakuwa kwenye penzi zito kiasi huwezi kufikira kama mtakuja kuqchana

Kwanza unahisi he/she’s the one hamna kitu atafanya kunidhuru so unajiachia
Maah btw nina za ex wangu mmoja hapa huwa nazitazama nikimkumbuka

Though sijawahi fikiria kuzipost coz namheshimu sana akidhalilika yeye ni kama nimedhalilika mimi

Kuna siku utashangaa ziko online bila kutegemea
 
Picha kwa ajir ya long distant iwapo mmoja akiwa mbal na ww. So maamuz yapo mikonon mwako
 
Ni ukichaa flan ambao humpata mtu akiwa kwenye furaha. Kurekodi picha za utupu

Ni ukichaa flan humpata mtu pindi anapokuwe kwenye hasira. Usambazaji picha za utupu
 
Mm mpenzi wangu anapenda sana hizi mambo nishazuia mpaka nikachoka sheria namba moja lazima simu inayotumika iwe yangu. Tutajirekodi ila akiondoka tu mm nafuta
 
Habari wana jamii.

Huwa nashindwa kuelewa kwanini unakubali kupigwa picha za utupu na mpenzi wako wakati wa kufanya ngono.

Je, hufikirii kuwa mkiachana yaweza kuwa kama ndo fimbo ya kukuchapia pindi akizivujisha?

Tubadlikeni jamani tusiige ulimbukeni
Swez kufanya ujnga huo kamwe
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom