wanawake

Maendeleo Ya Wanawake Organisation (MYWO) is a women's NGO that deals with issues to do with women's rights and gender equity in Kenya. It was founded by Jemimah Gecaga in 1952 and has approximately 600,000 groups contributing to a total membership of about two million women. It is currently chaired by Rukia Subow and has various agendas in its mission statement, including maternal, child health and family planning and training women in leadership and development.Historically it was promoted by the British during their colonial rule over Kenya and helped provide services only for those against the Mau Mau anti-colonial uprising.Ruth Habwe served as secretary general of the organization from 1968 until 1971.

View More On Wikipedia.org
  1. N

    JamiiForums Tanzania Wanawake na vijana wajiandaa kunufaika na uwekezaji wa bilioni 74.8

    Kutokana na ujio wa Makamu wa Rais wa Marekani amesema Kampunu ya IRVINE itawekeza Tsh Bilioni 74.8 kwenye ufugaji wa kuku nchini Uwekezaji huu utawezesha kuhakikishwa kwa Usalama wa Chakula, kuongeza upatikanaji wa uhakika wa Kuku bora katika Jumuiya ya Afrika Mashariki, pamoja na kutengeneza...
  2. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Wanawake acheni Kupiga Kikatili Watoto wenu kwani hamkulazimishwa Kuwazaa

    Hakuna Kitu GENTAMYCINE nakipenda kama Watoto na Kucheza nao (japo ni Muoga wa Kuzaa) hivyo nikiona Wanaonewa au Wanateswa huwa Ninaumia mno na hata Mood ya Siku nzima Kuharibika. Nimekutana na Mama Mmoja akimpiga mwanae wa Kumzaa Kofi ambalo hata Mtu mzima akipigwa lazima Vita Vitaanza kwa...
  3. mdukuzi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kujua kupiga Saxophone kulivyonifanya nichakate wanawake wa kila aina,

    Achana na magitaa kila mtu anapiga,qchana na vinanda. Unataka kuchakata wanawake wakila aina jifunze saxophone Mimi nakilaani hiki kifaa maana kimenifirisi kupitia wanawake. Kuna rafiki yake na mzee wangu alikuwa kwenye brass band ya JWTZ miaka ya nyuma akaacha saxophone yake nyumbani akaenda...
  4. P

    JamiiForums Tanzania Nilikuwa mlevi sana wa kuokota wanawake wa kila aina nikafilisika

    Wakati huo nilikuwa nipo njema Sana kiuchumi, sasa katika harakati za ulevi nikakutana na mdada bar, tukalewa tukaenda guesti mdada akalala chali kuomba mzigo akaniambia panda mgongoni, nimle kisamvu. Kwa akili za kilevi nikamchakata baada ya hapo nikawa nimenogewa kula kisamvu lakini...
  5. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Money is the King of Love. My money is my ego

    Wasalaam JF, Money is the king of love. Money is the only magnet that women have since failed to resist. Nawakumbusha wanaume tafuta pesa wanawake watakutafuta wewe. Chase money and women will Chase you. Thank me later. Wadiz
  6. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Hivi Kuna uhusiano gani Kati ya uislamu na usafi hasa kwa wanawake waislam

    Hello JF, 👇👇👇 Mara nyingi kama sio mara zote mwanamke wa kiislamu ni msafi zaidi kuliko hawa wa dini zetu za magharibi, haswaa mifano hii ni kwa wanawake ambao hawana tabia mbaya kam ufuska ama uzinzi, usherati na ulevi. Mazingira wezeshi yawe sawa hawa wote wapatikane mazingira ambayo maji...
  7. Ndondombi Mulin

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Deranged woman, is a no go zone

    Wanaume, Sikilizeni alichozungumza. Ukipata Mwanamke wa aina hii, na ukajifanya wewe ni wa pekee au mteule, ukabeba jukumu la kusema utambadilisha, basi tambua kuanzia hio siku utakuwa umebakiza Sikukuu chache sana hapa duniani. Be a Man, respect yourself.
  8. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Naibu Waziri Utalii Mary Masanja awainua kiuchumi wanawake wa Sengerema

    Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mwanza na Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Mary Masanja amechangia Mizinga 100 ya Nyuki (Milioni 10) na Mitungi ya gesi 150 (Milioni 12,750,00) kwa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Sengerema kwa lengo la kuwainua kiuchumi na fedha taslimu shilingi milioni...
  9. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mary Masanja Achangia Milioni 21 na Kugawa Mitungi ya Gesi 700 kwa Wanawake Wajasiliamali Wadogo wa Mkoa wa Mwanza

    MBUNGE MARY MASANJA ACHANGIA MILIONI 21, AGAWA MAJIKO YA GESI 700 KWA WANAWAKE WAJASIRIAMALI WADOGO MKOA WA MWANZA Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mwanza na Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Mary Masanja amechangia Shilingi Milioni 21 na amegawa mitungi ya gesi 700 kwa wanawake...
  10. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Kuna wakati wanawake mkipaka hizo make-up zenu mnakuwa kama majini

    Unakuta binti mrembo kabisa kaajaliwa ngozi nzuri kabisa, sijui ni nini huwa kinawawasha mpaka wajione wao sio warembo hadi wapake haya mimi nayaitaga majivu. Kuna siku nimemwambia wife jiandae nataka tutoke kidogo, masaa zaidi ya mawili anajipodoa tu mimekaa namsubiri siakatoka chumbani sasa...
  11. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kukataliwa baada ya kutongoza kunafanya wanaume wengi wawaponde wanawake mtandaoni

    Pamoja na mapungufu waliyonayo wanawake kwenye mahusiano ya kimapenzi, haimaanishi kuwa sisi wanaume hatuna mapungufu yetu, ukisoma Between the lines kwenye thread wanazoleta humu wanaume, mara (wanawake mnaoringa Nawasubiri mkifika miaka 30) mara "kataa ndoa" etc ukisoma kwa undani utagundua...
  12. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sababu kubwa ya wanawake kuhangaika na mahusiano

    Wanawake mnao hangaika na mahusiano baadhi yenu mlipuuza wapenzi wenu watarajiwa wa utotoni na mkafikiri labda ulimwengu utaleta wenzi bora mkaanza kufanya sampling. Aliyewasukuma kuchumbiana na kulala na wanaume tofauti tofauti kabla ya ndoa aliwaharibu sana. Mmebeba mizigo mingi kutoka kwa...
  13. TheForgotten Genious

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake wa kizigua wanafaa kuolewa?

    Kwa wale mlioishi Handeni ama mmeoa wazigua naombeni sifa za hawa watu, tamduni zao, changamoto zao tafadhali.
  14. TheForgotten Genious

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi ni kwanini wanawake wengi wa kihaya wanaforce mtu kuolewa na flani?

    Hawa wanawake wa kihaya mimi wiwaelewi,yaana unamkuta mdada anang'ang'ana umuoe ,na hapo hata miezi 2 haijaisha tangu mmejuana,utadhani kuoana ni kama mchongo. Utamsikia"Mimi nataka kuolewa,natafuta mume anioe tuishi pamoja tu basi,wewe kama vipi nichukue tuishi wote",,bladifakeni kabisa...
  15. Lanlady

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume wengi ni katili sana kulinganisha na wanawake

    Habari! Ni matumaini yangu mu wazima wa afya, kama kuna wagonjwa poleni sana; nawaombea mpate afya haraka kwa uwezo wa Mola! Sasa, leo naomba tuzungumze kidogo kuhusu tabia za baadhi ya wanaume. Kama tujuavyo wengi, kwa mila na desturi za kiafrika; mwanaume ndiye huanza kutafuta au kutaka...
  16. BAKIIF Islamic

    JamiiForums Tanzania Waislamu tumekatazwa kuwaudhi wanawake, Abunuwasi na Vitimbi vya wanawake

    Ilikua jioni moja tulivu, mwanamke mmoja alielekea kisimani kuteka Maji.. Alipokuwa Huko Kisimani Mara Akatokea Mwanaume Mmoja Na Kumuuliza Yule Mwanamke "samahani Dada yangu Hivi Unaweza Kunitajia visa vya mwanamke?". Yule mwanamke ghafla Akaanza Kulia Huku Anapiga Makelele Kwa Sauti Sana...
  17. NetMaster

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwenu wanawake, njia pekee ya kugundua mwanaume anakupenda ni pale akili yake inapofanya maamuzi baada ya kupiga mshindo (post nut clarity)

    Si kila mwanaume anaekwambia anakupenda anamaanisha. Haijalishi kwamba kakufanyia kitu gani iwe kukupa muda wake, kukusaidia, kukupa furaha, kukujali, kukupa pesa, n.k, kuna wanaume ambao huyafanya haya wakiwa bado hawapo timamu. Kwa mwanaume ambae kamfata mwanamke kwa lengo la starehe huyu...
  18. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Mnaoupinga Ushoga mbona kwa wanawake mko kimya?

    Nimeamua kuandika mada hii kutokana na utafiti wangu mdogo niliofanya kupitia hapa JF na mahala kwingine. Na bandiko hili linasimama kuitaka jamii yetu ya watanzania isimame kwenye kile inachoamini kwa kujenga juu ya kweli na siyo hisia. Suala la Ushoga hapa JF na Tanzania linatumika kisiasa...
  19. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Stumai Muki amtwanga Mzimbabwe

    Leo kuna mpambano wa wanawake wa Boxing. Ilipangwa wapigane siku ya wanawake duniani ipa imebidi wapigane leo. Kaa tayari kupata mtanange. Tune Azam Pambano la kwanza, Sophia Hamis Vs Warda Selemani (Wote wageni kwenye ngumi) Round nne Mshindi: Draw/Sare Pambano la Pili: Leila Yusufu Macho...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Kiteto: Wanawake wawili wakamatwa na Nyara za serikali

    Wanawake wawili wa Kijiji cha Kimana wilayani Kiteto Mkoani Manyara, wanashikiliwa na Jeshi la Polisi Kiteto kwa kukutwa na nyara za Serikali, ambazo ni Swala na mtoto wa mnyama aina ya Digidigi ambaye yuko hai. Wanawake hao ni Veronica Paulo (24) na Witnes Paulo (20) ambapo Machi 20.2023...
Back
Top Bottom