Nipo Rwanda, hao Wanawake mnaowasifia kwa uzuri mbona siwaoni?

Wana makomwe hao.
Sem Ukikutan mtoto figure imenyooka imenyooka kweli kweli.
FB_IMG_16815919207914355.jpg
 
Kusema ukweli Rwanda wanajimwambafai TU ila hakuna kitu, anayebisha hajafika huko ila wale tulio na uzoefu wa huko tunakuunga mkono.

Hata Binti anayevutia kidogo akifikisha 40+ unamkimbia, Hana mvuto kama hawa akina Fatma ndalandefu wetu
 
Back
Top Bottom