wanawake

Maendeleo Ya Wanawake Organisation (MYWO) is a women's NGO that deals with issues to do with women's rights and gender equity in Kenya. It was founded by Jemimah Gecaga in 1952 and has approximately 600,000 groups contributing to a total membership of about two million women. It is currently chaired by Rukia Subow and has various agendas in its mission statement, including maternal, child health and family planning and training women in leadership and development.Historically it was promoted by the British during their colonial rule over Kenya and helped provide services only for those against the Mau Mau anti-colonial uprising.Ruth Habwe served as secretary general of the organization from 1968 until 1971.

View More On Wikipedia.org
  1. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Aliyekutwa na Fuvu, Sehemu za Siri 5 za Binadamu afutiwa kesi

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imemfutia kesi na kumwachia huru mshtakiwa Salum Nkonja (23) maarufu kama Emmanuel Nkonja, aliyekuwa anakabiliwa na mashtaka 11 yakiwemo ya kukutwa na vipande viwili vya mafuvu ya kichwa cha binadamu pamoja na sehemu za siri tano za mwanamke baada ya kesi hiyo...
  2. Lamisele

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nilichojifunza kuhusu wanawake heshima ya baba ni performance

    Habari za weekend wana JF, niende moja kwa moja kwenye mada. Binafsi nimeoa miaka 9 iliyopita na watoto 3, maisha ya ndoa yako poa sana. Kwa upande wangu kulingana na mwanamke niliyebahatika kumuoa nisiseme uongo, mke niliyepata changamoto ni chache na za kawaida. Ila kama kamuda kamepita kama...
  3. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Hizi Taarifa za Makahaba wengi Dar zinatuchosha mnataka Waondolewe hivi kwa Kero za Wake zetu tutakuwa tunajipoza wapi?

    Kama mna Agenda yenu ya kutaka Kukiimarisha Chama Cha Wapiga Punyeto Tanzania na kiwe na Wanachama wengi zaidi semeni tu tujue moja sawa? Makahaba wengi walioko Mkoani Dar es Salaam (tena GENTAMYCINE naona hawatoshi) kiukweli wanasaidia mno Kutuondolea Wanaume wengi Stress ambazo Kutwa tunapata...
  4. Nazjaz

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ndoa ni maandalizi ya tangu usichana wako

    Ndoa ni majaaliwa, na kikubwa zaidi ni kujiandaa tangu ukiwa msichana kuwa mke wa fulani. Kipindi cha usichana ni kipindi cha kuonesha tabia njema sana kama kweli unataka kuwa mke wa mtu. Sio kwenye mapombe umo, kwenye madisko umo, kwenye ma Beach party umo, kwenye kuchoropoa mimba na kudanga...
  5. Hemedy Jr Junior

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ukiona Mwanaume anatetea sana Wanawake tambua kuwa ni mpenda Ngono

    Niulize kwanini...... Fanya tafiti ndogo sana watu ambao wanatetea wanawake, mtego wao mkubwa ni kutunukiwa hakuna kingine, ni wachache sana kukuta Mwanaume kamili yuko anazungumzia masuala ya kike mara apate haki fulani. Wengi ni wapenda NGONO ndo maana upiga kelele sana, Mwanaume kamili...
  6. NetMaster

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kamati ya mapokezi, Kuna wanawake ukionekana nao watu wanakuona wewe ni mgeni wa mji ama mgeni wa mapenzi

    Ni aina ya wanawake ambao wala hutumii nguvu sana kuwapata, cha kukupagawisha tu ni kwamba huwa ni pisi kali sana, wakimya, wanavaa fresh, hawana mdomo, unaweza kusema umepata kumbe hapo ndiko wageni wa mapenzi hujifunzia na wageni wa mji hupokelewa. Mbaya zaidi unakuta watu wanakuangalia tu...
  7. Melki Wamatukio

    JamiiForums Tanzania NADHARIA Wanawake wanaoficha simu zao kwenye matiti, wako na hatari ya kupata saratani ya matiti

    Hoja hii iko vipi kisayansi? Wanawake wanaobana simu zao katikati ya brazia na matiti, ni kweli kuwa wako katika hatari ya kuivaa saratani ya ziwa?
  8. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Mke wa Mchezaji Achraf Hakimi aambulia patupu baada ya kudai talaka akidhani atapata mali

    Mke wa Ashraf Hakimi amempeleka mahakamani ili kupata talaka na alitaka Mahakama iwagawanyishe mali. Baada ya Talaka kufanikiwa na kukubaliana kugawana mali, ikagundulika kuwa Ashraf Hakimi hakuwa na mali yoyote na hata akaunti zake benki hazikuwa na pesa yoyote. Inaelezwa kuwa mahakama...
  9. benzemah

    JamiiForums Tanzania Wanaoomba kulipiwa mahari Al Hikma wafika 1,000, wapo wanawake, wanatakiwa 50 tu

    Siku chache baada ya Taasisi ya Al Hikma kutangaza uamuzi wa kuwalipia mahari vijana 50 ili waoe, zaidi ya vijana 1,000 wametuma maombi wakiwamo wanawake watatu wanaowaombea wachumba zao. Mkurugenzi wa taasisi hiyo Shehe Nurdin Kishki amesema Dar es Salaam jana kuwa saa chache baada ya...
  10. Pantomath

    JamiiForums Tanzania Wanawake wana visirani sana ila huyu wa leo kazidi

    Tupo tunasafiri, kuna mdada mmoja mzuri, body si haba na kavaa smart kabisaaa, Wakati yupo chini konda akamuomba jina ili amuandikie tiketi. Ninukuu baadhi ya majibizano, sio yote kisa ni kirefuu. Akajibu "Niache nitulie andika hao wengine" Akaachwa, tupo ndani konda akamfuata akamuambia...
  11. GENTAMYCINE

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je, huu ni Ugonjwa mpya kwa Dada zetu au ni Jambo la Kawaida tu?

    Siku hizi kila ukikutana / ukiowaona Wanawake Watano njiani / barabarani ni lazima tu utawaona Watatu au Wanne Makalio yao yanatikisika mno halafu ukiyasogeza Macho yako (Kiuwizi) kuyatizama / kuyakodolea utayaona yamelegea sana na muda wowote yatakatika vipande vipande na Kuanguka. GENTAMYCINE...
  12. Dkisaka

    JamiiForums Tanzania Zaidi ya Billion 94 zimetoka kwa Vijana, Wanawake na Walemavu. Mijadala bado inaendelea mitaani, twitter na JF kuhusu maisha magumu kwa Vijana

    Nimekuwa mfuatiliaji wa karibu sana wa mada mbali mbali hususani JF na Twitter. Vijana wengi wamekuwa wanalalamika sana kushindwa kuanzisha biashara za kujikimu kimaisha (Malazi & Chakula) I've been wondering kuona hili bado ni Tatizo kubwa kwa Vijana wengi ambao in reality wengi wako tired na...
  13. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Bunge la Iran lapendekeza adhabu kali kwa wahusika wa ukatili dhidi ya wanawake

    Bunge la Iran limeidhinisha mapendekezo ya kutoa adhabu kali kwa wahusika wa ukatili dhidi ya wanawake, mapendekezo ambayo yanaweza kupitishwa na kuwa sheria ndani ya miezi michache. Yakianzishwa zaidi ya miaka 10 iliyopita, majadaliano bungeni yalipelekea kupitishwa siku ya Jumapili kwa kanuni...
  14. NetMaster

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Ndugu yangu hakubaliani na hali ya mtoto wake ilhali mtoto wake ashaikubali, pesa zinapotea na ni mwepesi kudanganyika, kipi kifanyike ?

    huyu ni mama mdogo wangu na nipo karibu sana na mtoto wake ambae huwa ananiambia vitu vingi. Ni kwamba mtoto wa mama mdogo alipokuwa mdogo akiwa na umri wa miaka 9 aliumwa malaria, hali yake ilikuwa mbaya sana ikabidi apigwe sindano za quinine (kwinini) Hii dawa kama mtakumbuka hapo zamani kwa...
  15. mshamba_hachekwi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini baadhi ya wanawake mnatuma picha za utupu kwa wapenzi wenu?

    Leo nikiwa nipo kwa mshikaji tunapiga stori za hapa na pale, alinionyesha baadhi ya picha, video na rekodi za sauti anazotumiwa na mpenzi wake. Zinaonyesha utupu wake, akiwa anajishikashika pamoja na kutoa sauti za kimahaba. Sikusita kumuonya kuhusu hili lakini alijitetea kwamba mpenzi wake...
  16. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mbeya: Jeshi la Polisi lakamata watuhumiwa 44 kati yao wanaume ni 41 na wanawake 03 wakiwemo watuhumiwa wa mauaji

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya limekamata watuhumiwa 44 kati yao Wanaume ni 41 na Wanawake 03 wakiwemo watuhumiwa wa mauaji, unyang’anyi wa kutumia silaha, kuvunja nyumba usiku na kuiba, utapeli, wizi wa mifugo na kupatikana na dawa za kulevya na pombe haramu ya Moshi 'Gongo'. Kamanda wa Jeshi...
  17. Chizi Maarifa

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake Msitupe Jukumu ambalo hata ninyi hamfanyi. Kila mtu ajiridhishe mwenyewe

    Yaani mtu analalamika kuwa sijamfikisha. Namuuliza yeye ameshiriki vipi kunifikisha anajibu oooh.... Huoni navyokata kiuno. Nikasema isiwe kesi. Safari hii hakuna kukata kiuno. Inama mbuzi kagoma egamia mto lala. Then tuone kama nitafika au sitafika kileleni. Akafanya hivyo nimefika bila shida...
  18. H

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake, kwanini inawachukua muda mrefu ku-save namba ya mtu?

    Habari zenu Nimekuwa nikijiuliza simpati jibu kwenye Hili suala yaani unakuta umemsimamisha binti mmoja na akumsaundisha na akakupa namba baada ya hapo ukawa unachati kama wiki hivi baadae ujipe gape kidogo then ukija kumtafuta unakuta kujua tangu ile siku mpaka kipindi unachat nae number yako...
  19. Lanlady

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kati ya wanawake na wanaume nani wanaongoza kutangaza madhaifu ya wenzao?

    Nimejaribu kufikiria, kwa upande wangu naona wanaume wanapenda sana kutangaza wapenzi/wake wao. Yaani iwe kwa wema au ubaya. Utasikia mke wangu hajui kabisa kupika! Au yule demu akilala kama gogo! Wanawake ni nadra sana kusema, wengi hustruggle kumbadili ili awe vile anavyotaka awe. Au wewe...
  20. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Tujifunze kutafuta 'connection' kwa watu na si kuomba pesa

    Kutokana na ugumu wa Maisha hasa Tanzania ni Bora uombe connection ya Kazi kuliko PESA. Maana kuweka Vocha ya mia tano ili umpigie Mtu akitumie elfu moja hiyo Biashara hailipi Kabisa. Ukitaka Mwanaume smart na marafiki smart usiombe pesa omba Kazi Naongea hivi kwasababu Kuna Jamaa yangu...
Back
Top Bottom