Yamenikuta: Wanawake hii tabia ya kuomba tuwakope na marejesho yakiwasumbua mnataka tumalizane kwa mfikicho si uungwana!

sky soldier

JF-Expert Member
Mar 30, 2020
5,408
19,033
Ni miezi miwili iliopita niliweza kumkopa rafiki wa karibu tu tuliewahi kusoma wote na hata familia yao ni family friends.

Sasa alikuja kwangu nimkope laki 3, mwanzoni nilitaka nimruke ila ukizingatia kwa namna alivyoweza kunishawishi pesa inaenda kwenye biashara na ataweza kuirudisha pamoja na kwamba tuna uhusiano mzuri tu nikaona nimpe.

So guys hii pesa aliniambia atanirudishia ndani ya wiki 2, wiki ya tatu namcheki kiswahili, mwezi namcheki kiswahili, wiki ya sita hivyo hivyo tu yani hadi sasa nimeweza kukomboa elf 50 tu.

Kinachoendelea hadi sasa anatumia nguvu kubwa sana kujenga mazingira ya kunitega niingie nae kwenye penzi tena kwa mtego wa kumalizana nae kwa game 2 ama 3.

vituko ni vingi alianza kunichatisha sana whatsapp na akawa ananiambia anapenda aje awe na mwanaume mwenye sifa ambazo akizitaja najiona mimi kabisa ila nilichomoa.

hapo juzi natoka nyumbani na kigari changu naenda shughuli zangu namuona hatua chache mbele ni kama alitega kabisa, basi nikampa lift akawa ananiangalia sana ila mimi nimefocuss na barabara radio nikiwa nimeifungulia nasikiliza habari, alipunguza sauti na kuniambia siku yoyote wiki hii atanipa ila why naona aibu hata kumuangalia, nilimwambia inabidi niwe makini barabarani, story zingine zikaendelea mpaka nilipomshusha.

jioni yake nilitahamaki sana message ndefu kidogo nayoweza kuisummarize kwamba yeye alikuwa ananipenda sana tangu shuleni ila sikuwa rijali kuweza kumu approach, yani huyu mwanamke!!

Nami kwa mbali nilitaka nipime kina nilipima kidogo sana kwa mtego kabisa dah!! akaanza kuniambia "nakuhitaji uwe ndani yangu sijiwezi nguvu sina" kumwambia ndani kivipi akaanza kuniambia "hivi huo uume wako unafanya kazi ?", nilibaki nastaajabu tu kupatwa na kiburi kwamba huyu kanidharau wacha nimnyooshe lakini nikifikiria naona wazi kabisa nikimlamba nae deni limemalizika.

Jamani!! Najua humu kwa wengine hii ni pesa ya chai lakini binafsi hii laki mbili siwezi kuichukulia poa,

MAAMUZI NILIYOYAFIKIA

SILI MZIGO!!, Labda ingekuwa Kanilipa 250K imebaki 50K Hapo Labda ningemsamehe kabisa.
Nimemchana live kama anafikiri nitamsamehe deni kwa Kuchakata mbususu game 2 ama 3 kisha tumalizane amefeli, kwa hio pesa nina mipango nayo mingine na hata ningekuwa nanunua show basi ningegonga hata 30K binti mbichi tu huduma uhakika week mzima
 
Kazia hapohapo akulipe, bora akuone nyoka kibisa ila hiyo 250k irudi.

Binafsi sipendi kabisa makubaliano kukiukwa. Hapo hapo ukiangalia status zake utakuta jinsi anavoaminisha watu yeye ni mpambanaji, hahitaji pesa ya mwanaume, yeye ni mwanamke wa shoka nk nk.

Sasa unajiuliza hayo yote ya nini, anadanganya umma ili afaidike nini, wanawake aisee..

Ukiingia kingi utamuongezea laki 3 au zaidi nyingine.
 
Ni miezi miwili iliopita niliweza kumkopa rafiki wa karibu tu tuliewahi kusoma wote na hata familia yao ni family friends.

Sasa alikuja kwangu nimkope laki 3, mwanzoni nilitaka nimruke ila ukizingatia kwa namna alivyoweza kunishawishi pesa inaenda kwenye biashara na ataweza kuirudisha pamoja na kwamba tuna uhusiano mzuri tu nikaona nimpe.

So guys hii pesa aliniambia atanirudishia ndani ya wiki 2, wiki ya tatu namcheki kiswahili, mwezi namcheki kiswahili, wiki ya sita hivyo hivyo tu yani hadi sasa nimeweza kukomboa elf 50 tu.

Kinachoendelea hadi sasa anatumia nguvu kubwa sana kujenga mazingira ya kunitega niingie nae kwenye penzi tena kwa mtego wa kumalizana nae kwa game 2 ama 3.

vituko ni vingi alianza kunichatisha sana whatsapp na akawa ananiambia anapenda aje awe na mwanaume mwenye sifa ambazo akizitaja najiona mimi kabisa ila nilichomoa.

hapo juzi natoka nyumbani na kigari changu naenda shughuli zangu namuona hatua chache mbele ni kama alitega kabisa, basi nikampa lift akawa ananiangalia sana ila mimi nimefocuss na barabara radio nikiwa nimeifungulia nasikiliza habari, alipunguza sauti na kuniambia siku yoyote wiki hii atanipa ila why naona aibu hata kumuangalia, nilimwambia inabidi niwe makini barabarani, story zingine zikaendelea mpaka nilipomshusha.

jioni yake nilitahamaki sana message ndefu kidogo nayoweza kuisummarize kwamba yeye alikuwa ananipenda sana tangu shuleni ila sikuwa rijali kuweza kumu approach, yani huyu mwanamke!!

Nami kwa mbali nilitaka nipime kina nilipima kidogo sana kwa mtego kabisa dah!! akaanza kuniambia "nakuhitaji uwe ndani yangu sijiwezi nguvu sina" kumwambia ndani kivipi akaanza kuniambia "hivi huo uume wako unafanya kazi ?", nilibaki nastaajabu tu kupatwa na kiburi kwamba huyu kanidharau wacha nimnyooshe lakini nikifikiria naona wazi kabisa nikimlamba nae deni limemalizika.

Nimemkazia aacha hizo tricks zake nachotaka ni pesa yangu, hiki kitu si uungwana
Unaenda kupigwa na kitu kizito kichwani shtuka ninek
1683537538589.jpg
aa 👉👉👉👉
 
Kazia hapohapo akulipe, bora akuone nyoka kibisa ila hiyo 250k irudi.

Binafsi sipendi kabisa makubaliano kukiukwa. Hapo hapo ukiangalia status zake utakuta jinsi anavoaminisha watu yeye ni mpambanaji, hahitaji pesa ya mwanaume, yeye ni mwanamke wa shoka nk nk.

Sasa unajiuliza hayo yote ya nini, anadanganya umma ili afaidike nini, wanawake aisee..

Ukiingia kingi utamuongezea laki 3 au zaidi nyingine.

Hapo ndo wanapo kera
 
Ni miezi miwili iliopita niliweza kumkopa rafiki wa karibu tu tuliewahi kusoma wote na hata familia yao ni family friends.

Sasa alikuja kwangu nimkope laki 3, mwanzoni nilitaka nimruke ila ukizingatia kwa namna alivyoweza kunishawishi pesa inaenda kwenye biashara na ataweza kuirudisha pamoja na kwamba tuna uhusiano mzuri tu nikaona nimpe.

So guys hii pesa aliniambia atanirudishia ndani ya wiki 2, wiki ya tatu namcheki kiswahili, mwezi namcheki kiswahili, wiki ya sita hivyo hivyo tu yani hadi sasa nimeweza kukomboa elf 50 tu.

Kinachoendelea hadi sasa anatumia nguvu kubwa sana kujenga mazingira ya kunitega niingie nae kwenye penzi tena kwa mtego wa kumalizana nae kwa game 2 ama 3.

vituko ni vingi alianza kunichatisha sana whatsapp na akawa ananiambia anapenda aje awe na mwanaume mwenye sifa ambazo akizitaja najiona mimi kabisa ila nilichomoa.

hapo juzi natoka nyumbani na kigari changu naenda shughuli zangu namuona hatua chache mbele ni kama alitega kabisa, basi nikampa lift akawa ananiangalia sana ila mimi nimefocuss na barabara radio nikiwa nimeifungulia nasikiliza habari, alipunguza sauti na kuniambia siku yoyote wiki hii atanipa ila why naona aibu hata kumuangalia, nilimwambia inabidi niwe makini barabarani, story zingine zikaendelea mpaka nilipomshusha.

jioni yake nilitahamaki sana message ndefu kidogo nayoweza kuisummarize kwamba yeye alikuwa ananipenda sana tangu shuleni ila sikuwa rijali kuweza kumu approach, yani huyu mwanamke!!

Nami kwa mbali nilitaka nipime kina nilipima kidogo sana kwa mtego kabisa dah!! akaanza kuniambia "nakuhitaji uwe ndani yangu sijiwezi nguvu sina" kumwambia ndani kivipi akaanza kuniambia "hivi huo uume wako unafanya kazi ?", nilibaki nastaajabu tu kupatwa na kiburi kwamba huyu kanidharau wacha nimnyooshe lakini nikifikiria naona wazi kabisa nikimlamba nae deni limemalizika.

Nimemkazia aacha hizo tricks zake nachotaka ni pesa yangu, hiki kitu si uungwana
Unaweza kosa mchongo na hela ukakosa..... tafakari chukua hatua
 
Back
Top Bottom