Wanawake wanaoingiliwa kinyume na maumbile ni mashoga waliosahaulika

Sandali Ali

JF-Expert Member
Apr 7, 2020
7,811
20,030
Mtu yeyote anayefanywa nyuma anavunja sheria za asili na za Kimungu.

Mwanaume anayefanywa nyuma na mwanamke anayefanywa kinyume nyume wote ni walewale, yaani wote ni mashoga.

Kama mwanaume na akili zako timamu unaweza kumfanya mwanamke kinyume na maumbile usiwadharau mashoga wa kiume, hao pia ni wake zako.

Jamii inapokemea mashoga isibebe picha za wafanyaji kinyume na maumbile wanaume tu, wapo wanawake pia tena ni maelfu kwa maelfu nao wakemewe ikiwezekana watengwe.

Sheria za Tanzania mapenzi kinyume na maumbile ni mwiko kwa jinsia zote.

Na ndoa yoyote inakuwa batili pindi tu wanandoa wanapofanya kinyume na maumbile.
Hata kumwomba mke wako makalio hapo tayari ndoa imekuwa haramu, au mke wako akikuomba umfanye matakoni pia hapo mwanaume una haki ya kuvunja ndoa.
 

ndege JOHN

JF-Expert Member
Aug 5, 2015
15,959
31,918
Mbona hizi maada za nyuma nyuma zimekuwa nyingi Sana hiki kipindi.

Kwani nyie x mmeanza kuangalia lini? Anal ipo tokea enzi za sodoma mpk enzi za watimoteo.

Mpaka enzi za wagalatia,mpk enzi za yohana, mpk enzi za tigo mpk enzi za google.

Hakuna jipya NI wewe kuamua tu usijaribu visivyojaribika ila kiuhalisia nahisi watu wengi Sana washaonjana huko NI Basi TU chumba kinaficha mengi.

Mimi mwenyewe nikikiri hapa sijawahi kula tigo najua watu watabisha tu
 

KijanaHuru

JF-Expert Member
Jan 7, 2017
1,816
2,216
Ha ha ha ha sio kusema nakupinga hapana sikupingi ila iko hivi

Ukiona dini inakazana sana kukemea uovu fulani au kumsema sana shetani tafasiri nikuwa mungu kafeli katika hilo kulipa solusheni yake.

Wape watu kumjua Mungu, wafundishe kwanini wanapaswa kumjua Mungu, wafundishe umuhimu wa Mungu, hayo maovu yote wao wenyewe wataacha tu, huwezi mfanya mtu akaacha uovu yeye binafsi asipoweza kuelewa kwanini anapaswa kuachana na uovu.

Msiwe kama chadema kila siku kusema ccm katika mada zao, kuwa kama CCM wao husema mikakati yao na mipango yao tu

Mhubiri Mungu achana na shetani yeye mwenyewe atakimbia tu
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

47 Reactions
Reply
Top Bottom