wanawake

Maendeleo Ya Wanawake Organisation (MYWO) is a women's NGO that deals with issues to do with women's rights and gender equity in Kenya. It was founded by Jemimah Gecaga in 1952 and has approximately 600,000 groups contributing to a total membership of about two million women. It is currently chaired by Rukia Subow and has various agendas in its mission statement, including maternal, child health and family planning and training women in leadership and development.Historically it was promoted by the British during their colonial rule over Kenya and helped provide services only for those against the Mau Mau anti-colonial uprising.Ruth Habwe served as secretary general of the organization from 1968 until 1971.

View More On Wikipedia.org
  1. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume acheni kuwanyanyasa wanawake. Ni upuuzi

    Yaani leo hii ni kawaida mno kukuta kijana kaifadhi nyimbo za kudhalilisha utu wa mwanamke kwenye memory card yake. Jamani mbona wanawake hawatudhalilishi sisi? Ni wanaume ndiyo hufanya violence kwa wanawake. Ni stupidity. Respect ni kitu cha bure. Its free, not sold. It's very painful.
  2. Kitchener

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Waigizaji wa kiume wanaoigiza kama wanawake wapigwe marufuku

    Tukianza na Joti, na yale majamaa ya kwenye zekomed za Masanja, aje yule dogo anafaa dera anaigiza Juakali/not so sure ila tamthilia kule DSTV, wanaume wanavaa manguo ya kike na kuigiza kama wanawake, wapigwe marufuku kwasababu kidogo kidogo wanafanya jamii ione muonekano wa aina hiyo kwa...
  3. Blasio Kachuchu

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu awataka vijana na wanawake kuchangamkia programu ya Imbeju ya benki ya CRDB

    Dar es Salaam 12 Machi 2023 – Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo ametoa rai kwa vijana na wanawake kote nchini kuchangamkia programu ya uwezeshaji kiuchumi iliyozinduliwa na Benki ya CRDB kwa kushirikiana na Tume ya TEHAMA (ICTC), na Tume ya Sayansi na Teknolojia (COSTECH) kuboresha bunifu zao za...
  4. Msanii

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, hii Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum ina ukakasi kidogo

    Amani iwe kwako mkuu wangu wa nchi. Nimeweka heading hiyo kuweza kukuvutia kusoma usuli wa hoja yangu. Sote tunafahamu kwa Mujibu wa Katiba kuwa tasisi unayoiongoza imepewa mamlaka ya kuunda, kupangua ama kufuta wizara mbalimbali za serikali hasa kutokana na mahitaji ya nchi kwa wakati husika...
  5. GENTAMYCINE

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake wa Kiswahili (Kitanzania) kwanini mkiulizwa hili Swali Kuntu na Wanaume huwa mnalishangaa na kuona aibu kulijibu?

    Unamuuliza Mwanamke au Mpenzi wako kuwa unapoenda Kumbandua au anapokuja Kubanduliwa Kwako angependa 'Umuweke' Bao / Goli ngapi anakushangaa au anaanza kuona aibu. Wengine akina GENTAMYCINE tumetoka si tu Kanda ya Ziwa bali pia tumetoka Kanda Maalum Mkoa wa Wanaume wa Shoka wa Mara (Musoma)...
  6. adriz

    JamiiForums Tanzania Mji wa Berlin kuruhusu wanawake kuogelea vifua wazi katika mabwawa ya umma

    Moja kwa moja. Mamlaka ya mji wa Berlin nchini ujerumani imepitisha uamuzi huu baada ya mwanamke aliyeondolewa kwenye bwawa la kuogelea bila nguo kuchukua hatua za kisheria. Mamlaka zinadai kuwa alikuwa muathiriwa wa ubaguzi na wageni wote wanaokwenda katika mabwawa hayo wanahaki ya kuogelea...
  7. chiembe

    JamiiForums Tanzania Kwa jinsi wanawake wa CHADEMA walivyokuwa wakimshangilia Samia, naamini chuki ni za kupandikizwa, na hazijafanikiwa

    Kwa shangwe kubwa la wanawake wa Chadema, ni wazi kwamba wananchi wengi Wana Imani na SSH na CCM. Chuki nyingi za viongozi wa upinzani, hazijafanikiwa kukubalika na wananchi. Wananchi wakimuona kiongozi wao roho zao zinajaa furaha. Sisi kama nchi, tuko sawa, ni kuweka mkakati wa kushughulikia...
  8. Kabende Msakila

    JamiiForums Tanzania Msakila Kabende - CDM inayokataa BODABODA NA WANAWAKE inajivunia nini?

    WanaJf, Salaam! Haya ni maneno ya viongozi wa juu wa Chama cha Chadema:- (a). Tundu Lissu - Tanzania ni nchi pekee duniani yenye watu waoga na wajinga. Aliongeza kuwa "nilitegemea kuona vijana na wanawake wakidai haki zao". Kwa mukitadha huu vijana na wanawake kutodai haki zao kwa mjibu wa CDM...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Ukerewe, kilele cha siku ya wanawake duniani

    KILELE CHA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI 8/3/2023 NANSIO - UKEREWE MH Hassani Bomboko Mkuu wa wilaya ya Ukerewe ameshiriki Kongamano la Siku ya Wanawake Duniani katika Kuhitimisha Wiki ya Mwanamke Wilayani Ukerewe Akizungumza na wanawake wa wilaya ya Ukerewe Mh Bomboko amewataka Wananchi...
  10. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mary Masanja Alivyoshiriki Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani

    NW UTALII MHE. MARY MASANJA ALIVYOSHIRIKI MAADHIMISHO YA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Mary Masanja ameshiriki katika Kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani yaliyofanyika Wilayani Kwimba Mkoani Mwanza Machi 8, 2023. Akizungumza katika Maadhimisho...
  11. Zee la Kazi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake kujifanya wajuaji na wasasa zaidi kunawaharibia

    Hapa sitotoa salamu kdg nataka nitumie dakika hizi chache kuandaa jamvi hili liwe kama Kengele ya kuwaamsha hawa viumbe. Wanawake wa sasa Tofauti na wale wa zamani ndio maana Migogoro haiishi mbali tu ya kimahusiano ya Kindoa, Kimapenzi au ya kijamii. Sasa hivi ukiangalia lile wimbi la Wanao...
  12. MIXOLOGIST

    JamiiForums Tanzania Kwanini tuwahudumie wanawake?

    Wasalaam wana JF Mwanadamu amepewa akili ili imsaidie kuhoji na kuboresha maisha yake. Ikiwa kama utaruhusu akili yako ifanye kazi, bila kutingwa na influeence nyingine, kama mapokeo, mazoea na sheria basi ni vyema tuhoji kwanini tuwahudumie wanawake? Kwa kuanza tafakarii hii lazima tujue...
  13. MIXOLOGIST

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanawake ni wabinafsi na wachoyo?

    Wasalaam wana JF Katika pitapita zangu za kimaisha jambo kubwa ambalo nimelishuhudia, nimesimuliwa na kupata uzoefu kutoka kwenye forum mbali mbali pamoja na JF, ni kwamba wanawake wengi ni wabinafsi na wachoyo. Tabia hizi mbaya za wanawake zimesababisha mahusiano mengi yamekufa, familia...
  14. Mstahiki Mea

    JamiiForums Tanzania Wanawake wanakabiliwa na hali mbaya ya kiuchumi kuliko wanaume

    Katika kilele Cha siku ya wanawake Duniani, uchumi wa mwanamke hasa mwanamke wa kiafrika ni duni kuliko uchumi wa mwanaume. Wanawake wengi wa kiafrika hawamiliki Mali Kama ilivyo kwa sisi WANAUME, kuhusu za makusudi baina ya wanawake wenyewe wanapaswa kufanya ili kuinua uchumi wao ikiwa ni...
  15. ndege JOHN

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ukiishi na mwanamke ndo utagundua wanawake wanatuibia

    Ukikaa Na mwanamke kama mke kwa muda hata Wa mwaka tu mkitafuta mtoto ndo utagundua wahaya wanakuibia tu kwa sababu zipo siku utamchallange mkeo tena bure halafu usikojoe mapema uta Go sana mpaka mwenyewe utaamua uchomoe bila kumwaga wazungu.ndio siku hio utajua kumbe wanawake hawaumii hata...
  16. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume na Wanawake Tuepuke kuoa au kuoelewa na Wanawake au Wanaume wenye Ma Ex Wengi

    Nimejaribu kufanya utafiti wangu miaka mingi sana kuhusu mahusiano,Uchumba hadi ndoa.Na nikajua humu nikaona kampeni za vijana kuhusu kukataa ndoa. Ila Kwa Hitimisho langu ni kwamba chanzo Cha Usaliti,heshima ndani ya Ndoa au hata kwenye Uchumba kutokuwepo inatokana na mtu kupitia mahusiano...
  17. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania TGNP yahimiza Matumizi ya Kanzi Data ya Wanawake na Uongozi

    Katika Hafla ya Kusherekea Siku ya Kimataifa ya Wanawake duniani, Mtandao wa Kutetea Haki za Wanawake, #TGNP, umehimiza Wanawake kujisajili katika mfumo wa kuhifadhi data mtandaoni unaokurekodi, kuhifadhi na kusambaza wasifu wa Wataalamu Wanawake wa Kitanzania walioko ndani na nje ya nchi...
  18. Nyuki Mdogo

    JamiiForums Tanzania Wanawake, wanaume warefu wembamba mnawapendea nini hasa?

    Naona wanasifiwa sana hadi kuombewa kwenda Peponi😬😬 Wanawake nyie.🙌🙌🙌🙌
  19. MZALENDO TZ

    JamiiForums Tanzania Benki ya Akiba wazindua Waridi Akaunti kwa wanawake wajasiriamali

    Meneja Mwandamizi wa huduma za kidijitali kwa Benki ya Akiba Bi. Magreth Mwasumbi akizungumza na waandishi wa habari katika uzinduzi wa Akaunti maalumu wa kwa ajili ya Wanawake inayoitwa "WARIDI AKAUNTI " .Kulia wake Mkuu wa Kitengo cha Masoko na Mawasiliano wa Benki ya Akiba Dora...
  20. Melki Wamatukio

    JamiiForums Tanzania Maono: 2039 wimbi la wanawake litakuwa kubwa. Watauana kwa kugombania wanaume

    Naliiona hali ikianza katika hali ya utani. Taarifa ya kwanza ya habari kuhusu kukatiliwa kwa mwanamama mwenye umri wa miaka zaidi ya arobaini dhidi ya binti wa miaka 20+ itasikika kwenye kituo cha runinga. Habari hii itawaacha midomo wazi wanadamu, ndipo itasikika kauli ya "Wanaume wamejazana...
Back
Top Bottom