Wanawake acheni ubinafsi, mwanaume kuwa na mchepuko inasaidia pande zote mbili

Teslarati

JF-Expert Member
Nov 21, 2019
1,735
6,796
Niliandika uzi fulani ndani ya huo uzi nikacomment mahala kwamba nina michepuko watatu. Baadhi ya members wameni-attack sana na wengine kuniita mkoloni, mbabe na majina mengine.

Ila niwe mkweli, wanawake acheni ubinafsi. Takwimu zinasema wanawake ni wengi kuliko wanaume, tukienda mbali zaidi tunaona asilimia 50% tu ya wanaume hao wachache ndio wana uwezo wa kuhudumia vizuri mwanamke, sasa wewe mwanamke unataka niwe na wewe peke yako hao wenzako wataishije?

Na hio haimaanishi kwamba na wanawake wawe wanachepuka, wakifanya hivyo ndipo ubinafsi unazidi kuonekana sababu huwezi kuwa unahudumiwa na mwanaume mmoja bado na wewe unaenda kuiba wengine, sasa wenzako wakaponee wapi?

Tuweni na utu ndugu zangu, maisha ni hayahaya tunagawana umasikini. Mwanamke ukibahatisha mwanaume anaekuhudumia tulia nae, ukijua ana mchepuko usikasirike sababu huyo mchepuko atakupa assist ukiwa period na pia anasaidia kufanya mwanaume awe more productive.

Kwa Wanaume wenzangu, watoto wazuri tumeumbiwa, ila tule kistaarabu na kuepuka kuingilia kambi za wengine.

Nawasilisha
 
1683043254574.jpg
 
Mnatupanga hasa ili sio kuwafundisha Wala kuwaruhusu mmeshajipangia tayari hata maboyfriend wanatupanga balaa 😀😀😀
 
Back
Top Bottom