Zaidi ya Billion 94 zimetoka kwa Vijana, Wanawake na Walemavu. Mijadala bado inaendelea mitaani, twitter na JF kuhusu maisha magumu kwa Vijana

Dkisaka

JF-Expert Member
Aug 5, 2018
377
1,035
Nimekuwa mfuatiliaji wa karibu sana wa mada mbali mbali hususani JF na Twitter.

Vijana wengi wamekuwa wanalalamika sana kushindwa kuanzisha biashara za kujikimu kimaisha (Malazi & Chakula)

I've been wondering kuona hili bado ni Tatizo kubwa kwa Vijana wengi ambao in reality wengi wako tired na ugumu wa maisha.

Wengi wanaishi katika mazingira magumu Sana na Jambo la kusikitisha zaidi wapo ambao wame Graduate Universities, Knowledge wanazo, Malengo wanayo.

Leo katika kipindi cha Clouds nimeshangaa sana kumsikia Waziri wa Ofisi IKULU akisema "Serikali imetoa zaidi ya B94+ kwa lengo la kuwasaidia Vijana, wanawake na Walemavu kama mikopo ya riba nafuu”

Swali langu: Hizi ela ziliwafikia walengwa effectively na if Yes! Why bado Vijana wanazidi kulalamika hawana support yoyote?

What I know ni kwamba B94 ni hela ndefu na inaweza kusaidia kwa asilimia kubwa kama itatumika vizuri au Vijana Hizo ela zimewafikia au mnashinda tu vijiweni na kublame Serikali?

K.O (Kuongozea)
The Saddest fact is this "not every one can stand against povert till the last time, hivyo wapo Vijana ambao the only can made it if wakipata support inayoeleweka.

Ushauri wangu : Kama wewe ni Kijana na huna equit/Capital au mtaji kwa lugha laini, Do your best hakikisha unapata Hizo ela zilitotoka never stay on comfort zone.

(H.I) Hitifaki imezingatiwa.
 
Back
Top Bottom