Lamisele
Senior Member
- Aug 17, 2022
- 159
- 355
Habari za weekend wana JF, niende moja kwa moja kwenye mada.
Binafsi nimeoa miaka 9 iliyopita na watoto 3, maisha ya ndoa yako poa sana. Kwa upande wangu kulingana na mwanamke niliyebahatika kumuoa nisiseme uongo, mke niliyepata changamoto ni chache na za kawaida.
Ila kama kamuda kamepita kama miezi 6 hivi performance yangu imeimarika sana. Kipindi cha nyuma nilikuwa sikai muda mrefu sana ila narudiarudia ila kwa sasa naweza kukaa hata dk 30-40 hadi naona na mke wangu utii umeongezeka sana na upendo kwangu umepanda sana.
Kwakweli heshima ya baba ni paformance.
Asanteni.