Aliyekutwa na Fuvu, Sehemu za Siri 5 za Binadamu afutiwa kesi

BARD AI

JF-Expert Member
Jul 24, 2018
3,376
8,117
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imemfutia kesi na kumwachia huru mshtakiwa Salum Nkonja (23) maarufu kama Emmanuel Nkonja, aliyekuwa anakabiliwa na mashtaka 11 yakiwemo ya kukutwa na vipande viwili vya mafuvu ya kichwa cha binadamu pamoja na sehemu za siri tano za mwanamke baada ya kesi hiyo kuahirishwa kwa zaidi ya mara tano bila kuendelea na ushahidi.

Uamuzi huo umetolewa leo Jumatatu, April 17, 2023 na Hakimu Mkazi Mkuu wa Mahakama hiyo, Ramadhani Rugemalira wakati kesi hiyo ya uhujumu uchumi namba 32/2022 ilipoitwa kwa ajili ya kuendelea na ushahidi wa upande wa mashtaka.

Mbali na kumfutia mashtaka na kumwachia huru, mshtakiwa hiyo, Mahakama hiyo imeamuru mshtakiwa asikamatwe mpaka upande wa mashtaka watakapowasilisha vielelezo mahakamani.

MWANANCHI
 
Ndumba
 
Hebu tukapekue bungeni huenda yupo aliyewezeshwa.
 
Screenshot_20230417-165804.jpg
 
Dah
Kichwa alikipata wapi?
Sehemu 5 za siri za wanawake aliua wanawake wa5!?
 
Back
Top Bottom