Kwanini baadhi ya wanawake mnatuma picha za utupu kwa wapenzi wenu?

mshamba_hachekwi

JF-Expert Member
Mar 3, 2023
16,797
51,964
Leo nikiwa nipo kwa mshikaji tunapiga stori za hapa na pale, alinionyesha baadhi ya picha, video na rekodi za sauti anazotumiwa na mpenzi wake. Zinaonyesha utupu wake, akiwa anajishikashika pamoja na kutoa sauti za kimahaba.

Sikusita kumuonya kuhusu hili lakini alijitetea kwamba mpenzi wake yuko mbali kwa sasa, hivyo hii imekuwa ni njia ya kuendeleza mahusiano yao.

Hali hii imenifanya nijiulize, nini kinampelekea mwanamke kutuma picha za utupu kwa mpenzi wake kwa kukusudia, ni uaminifu, ndio fashion za siku hizi au ndio nini?

Naombeni mnielekeze kuhusu jambo hili.
 
Mm kuna mmoja alikua ananitumia picha za bila kumuomba,siku ya siku akaomba na mm nimtumie ya mandingo aahs nikagoma,mbona alinichukia kinoma na kunilaumu simpendi na amejifunza kitu , nikamwuliza mm kuna siku nilishawahi kukuomba unitunie picha za hivyo?
Hawajui hatari kutuma pich za utupu hao watu.
Mwanaume anaweza tuma boloyang bila kuonesha sura ila wao mpaka wajishebedue na kujichezea.
 
Wapo wanaoombwa lakini wengine ni utashi wao tu.
Kuna mmoja wala sikua na hili wala lile mara vuup livideo hili apa. Nilishangaa coz sikutegemea ila ndo basi huwezi irudisha.

Wanawake wanapenda sana kua watupu, labda ni nature tu. Hata mkiwa nyumbani hupenda kushinda na khanga pekee.
wanatega uchumi sio 😂
 
Back
Top Bottom