wanawake

Maendeleo Ya Wanawake Organisation (MYWO) is a women's NGO that deals with issues to do with women's rights and gender equity in Kenya. It was founded by Jemimah Gecaga in 1952 and has approximately 600,000 groups contributing to a total membership of about two million women. It is currently chaired by Rukia Subow and has various agendas in its mission statement, including maternal, child health and family planning and training women in leadership and development.Historically it was promoted by the British during their colonial rule over Kenya and helped provide services only for those against the Mau Mau anti-colonial uprising.Ruth Habwe served as secretary general of the organization from 1968 until 1971.

View More On Wikipedia.org
  1. Nimefikia conclusiion kwamba wanawake wengi ni wepesi sana kudanganywa kwenye imani, 90% ya waumini wa makanisa ya mazingaombwe ni wanawake.

    Makanisa ya mazingaombwe kipaumbele huwa ni kufanya mazingaombwe ambayo watu wengi wenye imani nyepesi huona ni miujiza, neno lina nafasi ndogo sana. Wachungaji wa hayo makanisa wamegeuza imani nyepesi za waumini kujikusanyia utajiri wa kutisha, Mafuta ya kuitwa ya upako yanatengenezwa hapa...
  2. Propaganda iliyoanzishwa ya kuchafua wanaume wenye maumbile madogo inatafuna sana vijana kisaikolojia, vijana wengi wahusika wanakosa confidence

    Ni propaganda chafu iliyoanzwa kusambazwa zaidi miaka ya 2010s, kabla ya hapo masuala ya maumbile hayakuwa big deal kwenye mahusiano, miaka hio hata msamiati wa kibamia haukuwepo, kijana enzi hizo hata akiwa na size ndogo anaweza kuwa player hatari sana bila aibu yoyote, Ghafla likazuka hili...
  3. Tafadhali kama Serikali imeshindwa Kuwadhibiti Wanawake wanaokata Mauno Madirishani katika DalaDala niruhusiwe Kuwadhibiti na hawatorudia tena

    Nina Dawa yao moja Mujarab kabisa ya kuwapa ambayo nina uhakika wa 100% kuwa si tu itawatia Adabu lakini hawatorudia tena na Watahimizama Dar es Salaam nzima Kuacha ili wasije kukutana na Mimi GENTAMYCINE ambayo nina PhD ya Kuadhibu na kutoa Adhabu tukuka na takatifu hasa kwa Wapuuzi, Washamba...
  4. Tupige kura: Ni mwanamke gani smart na mrembo kuliko wanawake wote humu jamvini?

    Ndugu zangu japo hatufahamiani, ila kwa komenti na posti mbalimbali humu jamvini unaweza kutambua usmart wa mtu bila kumjua. Naomba leo kwa uzoefu wetu tupige kura hapa ili na sisi wanajamvi tumvike taji la umiss mwanamke mrembo kuliko wote humu jamvini. Nitatoa zawadi ya tsh 10,000 kwa mrembo...
  5. Ukitaka kutoboa kwenye biashara ya nguo, lenga wanawake na watoto hapo utakuwa ume-win

    ndugu zangu hivi mnajua biashara ya nguo inalipa sana? Ila siyo kirshisi kama usipokuwa mjanja, mjanja kivipi? Nguo za wanawake na watoto zinatoka sana, zingatia location nzuri ya biashara yako, yaani pawe na muitiko mzuri wa watu. Point nguo kali ambazo ni rahisi mtu kuvutika kwa haraka...
  6. Al-Jazeera ni TV ya ovyo, kwenye vita ya Israel vs Hamas hawasemi athari zinazotokea upande wa Hamas

    Ukiwa muongo, pia uwe makini. Kwa muda wote vita hii imepiganwa hajafa wala kutangazwa wangapi wa Hamas wamekufa! Picha zinazorushwa ni za vitoto tuu na kidogo wanawake. Cha ajabu ukiangalia TV hiyo hiyo, miili mingi ya maiti zilizokufa GAZA na iliyofunikwa kwenda kuzikwa ni ya watu wazima...
  7. Wanawake wengi Kanda ya Ziwa huweka ugoro sehemu za siri ili kujistarehesha

    Baadhi ya vitu wanavyofanya baadhi ya watu vinaweza kuwa chanzo cha saratani ya shingo ya kizazi Kanda ya Ziwa, ingawa hakuna tafiti zinazoonesha kuwa vitu hivyo vinaweza kuwa visababishi vya moja kwa moja. Meneja wa Ubora na Uvumbuzi kutoka Mradi Mtambuka wa Saratani Tanzania (TCCP) Aga Khan...
  8. Hizi ndio sababu zinazopelekea wanawake wa wazuri kukosa kuolewa na baadhi yao kujiuza

    Hili jambo la wanawake wenye mwonekano mzuri na umbo kukosa kuolewa na kuishia kuwa malaya lipo kiroho zaidi. Kwanza ieleweke hivi sio wanawake wote wazuri hawana akili au ni Malaya Ila baadhi yao hawana akili na wameishia kuwa michupuko na Malaya. Hipo hivi binadamu anapozaliwa huwa anapewa...
  9. Ni kwanini wanaume weusi wa Tanzania wanapenda sana wanawake weupe?

    Na hili nimeshuhudia kwa marafiki zangu wengi weusi, rangi nyeupe zinawazuzua mno, KWANINI? Binafsi mimi ni mwanaume mweupe, kusema kweli katika maisha yangu hasa ya ujana nilipenda zaidi wanawake bila kujali kigezo cha rangi japo hawa weusi ndio nimewahi kuwa nao wengi zaidi kwenye maisha ya...
  10. Kuna wanawake wanajua kupika bhana, cheki hii

    Kongole kwa wanawake wote mnaotupikia waume zenu vizuri, nyie ndio mnaotufanya tunawiri. Sasa kwa msosi kama huu nakupigaje goli moja kwamfano 😋😋😋
  11. Mwanaume mwenye akili afungi ndoa na mwenye akili zaidi haoi!

    Hapo vip? Huu ni utafiti niliofanya muda mrefu. Nimegundua wanaume wenye akili hawafungi ndoa na wanawake, mfano Ronado, Micky Tyson, Alon Musk huyu nitajiri wa kwanza Duniani,R.kelly,50 cent n.k Na wenye akili zaidi hawahoi wala hawataki kufanya mapenzi, mfano; Galie Galie, Sir Issack Newton...
  12. Kila mwanamke utakayemtongoza ni sekunde tu, huu upepo usiishie hii December

    Ni mrejesho tu kwa sisi wapambanaji huu mwezi sijui wanawake wamepata upako gani kila utakaemtongoza ni mapema sana imo, ni kama kuna upako umewapitia ukiacha kutoa namba unatafutwa na kuulizwa kwa hio nije wapi, utaniita lini au nije lini. Kuna pisi ambazo zilikuwa na nyoto utadhani ni mithili...
  13. Polisi (TPF-NET) Arusha yawaonya Jamii za Kifugaji zinazoendelea na Ukatili kwa Watoto na Wanawake

    Mtandao wa Polisi Wanawake Mkoa wa Arusha kuelekea Siku 16 za kupinga ukatili umeendelea na kutoa elimu kwa makundi mbalimbali ambapo wametoa elimu ya ukatili wa kijinsia kwa jamii za kifugaji kata ya Lengijave wilaya ya Arumeru Mkao wa Arusha na kuwaonya baadhi ya wananchi wa jamii ya kifugaji...
  14. W

    Wanawake wanahitaji mazingira salama ya Kidijitali

    Tunapoadhimisha Siku 16 za ukatili dhidi ya wanawake unazidi kuenea kutoka nafasi za kimwili hadi kwenye uwanja wa kidijitali. Katika muktadha wa kimataifa, ukatili dhidi ya wanawake unaendelea kuwa kudidimiza haki za binadamu, ukichochea na utekelezaji dhaifu na mila za kijamii zenye ubaguzi...
  15. Wanawake mbona mnatuvuruga?

    Ukihitaji salamu nenda Tanga kwa waswahili,kwangu m-bara utaambulia pumba ukalishie vitimoto! Wanawake sijui nini kimewakumba masikini! Aisee nina mwanake wangu mmoja kigoli pisi kutoka pande ya Dareda!,Huyu mwanamke niko nae huu ni mwaka sasa,huwa nikiondoka kuelekea kwenye mitikasi yangu...
  16. S

    Wanawake wenye rangi, sura na shepu mbaya ndiyo wanaoongoza kwa kuchakatwa

    Sababu kubwa ni 2 tu. 1. Wanaume kwa asili huwa wanamtongoza mwanamke ambaye wanamuona ni mnyonge (ambaye hana sifa zote za uzuri) ili kuwa na uhakika wa kukubalwa. Wanaume huogopa kutongoza pisi kali kwa hofu ya kukataliwa. Kwahiyo wanaume huwatongoza zaidi hawa wadada wenye sura, nyayo na...
  17. T

    Hii Kesha,'s saloon Sinza ichunguzwe na wanawake acheni ujinga wa kutengeneza shepu

    Wakati Mkuu wa Mkoa Dar es salaam akiendelea kupambana na makahaba na madanguro Dar aangalie na hili suala la ubakaji unaoendelea katika saloon ya Kesha's iliyopo Sinza. Ni fedheha na aibu kubwa kwa kinachoendelea ndani ya saloon hiyo kikihusisha udhalilishaji wa wazi wa mwanamke. Kwenu...
  18. Wanawake wengi wazuri wanatuingiza gharama kubwa na kitandani hawana miujiza. Watoto wa Uswazi ni watamu sana ila wachawi kama Mshana Jr

    Hii saa tano kasoro, natoka Ledgers Plaza Bahari Beach, kufanya zinaa na mwanamke asiye mke wangu, ila tu ni hawara. Kiburi na dharau na jeuri ya mke wangu inanifanya nipoteze hamu naye kabisaaa. Mwanamke ana gubu, ana matusi, ana masimango na kila kitu cha pepo mchafu, licha ya kwamba ana...
  19. Rais Samia azindua Programu ya Nishati safi ya kupikia itakayosaidia Wanawake Barani Afrika katika Ukumbi wa Mii wa Expo Dubai, leo Disemba 2, 2023

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akizindua Programu ya Nishati safi ya kupikia itakayosaidia Wanawake Barani Afrika katika Ukumbi wa Mii wa Expo Dubai leo tarehe 02 Disemba, 2023. https://www.youtube.com/live/QhCQ0BcQr6Y?si=YVfDvsdluuMGYwOv Rais wa Jamhuri ya...
  20. Tanzania Mwenyeji wa Kongamano la Pili la AfCFTA la Wanawake katika Biashara

    Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji ametoa wito kwa wanawake wa Tanzania kushiriki Kongamano la Pili la Wanawake katika Biashara chini ya Mkataba wa eneo huru la Biashara Afrika (AfCFTA) litakalofanyika tarehe 06 hadi 08 Disemba, 2023 katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…