Hii Kesha,'s saloon Sinza ichunguzwe na wanawake acheni ujinga wa kutengeneza shepu

TikTok2020

JF-Expert Member
Oct 20, 2022
1,817
3,140
Wakati Mkuu wa Mkoa Dar es salaam akiendelea kupambana na makahaba na madanguro Dar aangalie na hili suala la ubakaji unaoendelea katika saloon ya Kesha's iliyopo Sinza.

Ni fedheha na aibu kubwa kwa kinachoendelea ndani ya saloon hiyo kikihusisha udhalilishaji wa wazi wa mwanamke.

Kwenu wanawake punguzeni kuwa na tamaa za kutaka kuiga kila kitu mambo ya shepu na kukata tumbo hayakuhakikishii kuwa na ndoa au mapenzi ya kweli anza kujipenda kwanza wewe mwenyewe jinsi ulivyo na kujikubali.

Ona sasa mnaipa serikali kazi kwa ujinga wenu wenyewe kuna watu hawana shepu lakini wana ndoa

Bora, wanapendwa na kuheshimiwa na wenza wao

Acheni ujinga
 
Umeandika kama vile wote tunaijua hii saluni na kinachofanyika humo. Saluni (nimeassume ni ya nywele) inakuwaje na vitendo vya ubakaji? Vinatokea katika mazingira gani? Tuambie hata sisi tuendao saluni nyingine tukiona viashiria tukimbie
 
Wakati Mkuu wa Mkoa Dar es salaam akiendelea kupambana na makahaba na madanguro Dar aangalie na hili suala la ubakaji unaoendelea katika saloon ya Kesha's iliyopo Sinza

Ni fedheha na aibu kubwa kwa kinachoendelea ndani ya saloon hiyo kikihusisha idhalilishaji WA wazi wa mwanamke.

Kwenu wanawake punguzeni kuwa na tamaa za kutaka kuiga kila kitu mambo ya shepu na kukata tumbo hayakuhakikishii kuwa na ndoa au mapenzi ya kweli anza kujipenda kwanza wewe mwenyewe jinsi ulivyo na kujikubali.

Ona sasa mnaipa serikali kazi kwa ujinga wenu wenyewe kuna watu hawana shepu lakini wana ndoa Bora,wanapendwa na kuheshimiwa na wenza wao

Acheni ujinga
Ke yeyote anayehangaikaga na urembo wa kutengenezwa kama wigi/kucha/matiti/hipsi/ngozi/makalio/kope bandia sivutiwagi naye kabisa maana huwa simtofautishi na wale kuku wasio na Baba wala Mama kimwonekano hata na ladha.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Wakati Mkuu wa Mkoa Dar es salaam akiendelea kupambana na makahaba na madanguro Dar aangalie na hili suala la ubakaji unaoendelea katika saloon ya Kesha's iliyopo Sinza

Ni fedheha na aibu kubwa kwa kinachoendelea ndani ya saloon hiyo kikihusisha idhalilishaji WA wazi wa mwanamke.

Kwenu wanawake punguzeni kuwa na tamaa za kutaka kuiga kila kitu mambo ya shepu na kukata tumbo hayakuhakikishii kuwa na ndoa au mapenzi ya kweli anza kujipenda kwanza wewe mwenyewe jinsi ulivyo na kujikubali.

Ona sasa mnaipa serikali kazi kwa ujinga wenu wenyewe kuna watu hawana shepu lakini wana ndoa Bora,wanapendwa na kuheshimiwa na wenza wao

Acheni ujinga
Sasa mbona hujaeleza nini kinafanyika ktk hiyo Saloon?,au ndio tukuache?.

Sent from my V1901A using JamiiForums mobile app
 
Wanawake Tanzania wanapenda kufata mkumbo ,tumbo linapunguaje kwa masaji???
Katika watu wanaongozwa kupigwa ela kijinga ni wanawake.

Mshawishi tu kwa maneno mazuri kingi

Kukopeshwa mavitu hata hawana kazi nayo tena kwa bei kubwa.

Kuuziwa dawa zisizoeleweka mitandaoni kwa kuona tu picha na testaments za uongo

Huko kwenye pyramid scheme sasa ndio wamejaa wabinti wamejitutumua kwa kuona tu picha za wenzao wapo dubai wanakula bata
😂😂😂😂
 
Wakati Mkuu wa Mkoa Dar es salaam akiendelea kupambana na makahaba na madanguro Dar aangalie na hili suala la ubakaji unaoendelea katika saloon ya Kesha's iliyopo Sinza

Ni fedheha na aibu kubwa kwa kinachoendelea ndani ya saloon hiyo kikihusisha idhalilishaji WA wazi wa mwanamke.

Kwenu wanawake punguzeni kuwa na tamaa za kutaka kuiga kila kitu mambo ya shepu na kukata tumbo hayakuhakikishii kuwa na ndoa au mapenzi ya kweli anza kujipenda kwanza wewe mwenyewe jinsi ulivyo na kujikubali.

Ona sasa mnaipa serikali kazi kwa ujinga wenu wenyewe kuna watu hawana shepu lakini wana ndoa Bora,wanapendwa na kuheshimiwa na wenza wao

Acheni ujinga
Sasa ubakaji una uhusiano gani na kutengeneza shape mkuu?
 
Umeandika kama vile wote tunaijua hii saluni na kinachofanyika humo. Saluni (nimeassume ni ya nywele) inakuwaje na vitendo vya ubakaji? Vinatokea katika mazingira gani? Tuambie hata sisi tuendao saluni nyingine tukiona viashiria tukimbie
Aulizwe haya!! Kwani wewe ulibakwa pale!? Unahubiria shuhuda usiyotendewa wewe tutakuelewa Vipi!? Acha wivu WA kijinga, aliyetendewa BAYA ndio angeripoti na Sio wewe mwenye husda
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom