Tafadhali kama Serikali imeshindwa Kuwadhibiti Wanawake wanaokata Mauno Madirishani katika DalaDala niruhusiwe Kuwadhibiti na hawatorudia tena

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,689
109,117
Nina Dawa yao moja Mujarab kabisa ya kuwapa ambayo nina uhakika wa 100% kuwa si tu itawatia Adabu lakini hawatorudia tena na Watahimizama Dar es Salaam nzima Kuacha ili wasije kukutana na Mimi GENTAMYCINE ambayo nina PhD ya Kuadhibu na kutoa Adhabu tukuka na takatifu hasa kwa Wapuuzi, Washamba na Wapumbavu.

Niliokuwa nanyi SAUT Mwanza ( 2006-2009 ) mnakumbuka nilivyowanyoosha Madereva na Makondakta wa DalaDala za Mjini, Nsumba Nsumba na Malimbe kutokana na tabia zao kwa Wanachuo mpaka wakawa Wananiogopa na kuniruhusu nipande bure DalaDala zao na kutoa Nauli pale tu nikitaka au nilijisikia hali iliyopelekea baadae Wote kuwa Marafiki zangu Wakubwa.

Haiingii Akilini Watu wazima tumepanda DalaDala ( Bayankata ) huku tukiwa tumekaa na Wazee na Wamama Watu wazima halafu kuna Vichaa na Wapumbavu fulani katika DalaDala la pembeni yetu wanajibinua Makalio yao Usawa wa Madirisha huku wakiwa hawajavaa hata Chupi na kuanza kutukatikia Viuno vyao shawishi, vitamu na vya Kututamanisha na Kutudindisha Kusikotarajiwa na kutuletea Usumbufu wa Kisaikolojia na Kibaiolojia.

Na kwanini Wanawake wanaofanya huu Ukatili wa Kihisia na Kulazimishana Kupandishana Nyege DalaDala zao ni za kutokea Kawe, Mwananyamala, Msasani, Kinondoni, Magomeni na Buguruni na wengi Wao huwa wanaelekea Mbagala, Temeke, Tandika, Yombo, Mtoni Mtongani, Buza na Vingunguti?

Leo nilikuwa Nimechomekea ila kwa Ukatili niliofanyiwa kutokea Dirishani kwa Mauno ya uhakika huku Kalio likizungushwa kwa Madaha utadhani Feni mpya ya Darini ya Philips nilijikuta nalazimika Mwenyewe Kuchomolea kwani tayari Gear Box yangu fupi kama Nyoka Kifutu ilishaanza kutokunipa Ushirikiano wake wa Kutulia na kukaa vizuri katika njia yake ya Kiasili ya Kiufundi.
 
Hii inaweza kuwekwa kwenye kundi la unyanyasaji wa kingono na inabidi kushughulikiwe.
 
Bila kideo ni umbea
 
Mkuu hapo tatizo lipo wapi si fahari ya macho hiyo tusinyime watu uhuru wao kwani inakuathiri nini wakitungisha viungo vyao?
 
Weka picha kama ni kweli tuamini hupo Dar hujasimuliwa haya matukio

Cc LIKUD
 
Back
Top Bottom