Wanawake wanahitaji mazingira salama ya Kidijitali

Wild Flower

Member
Jul 20, 2023
80
96
Tunapoadhimisha Siku 16 za ukatili dhidi ya wanawake unazidi kuenea kutoka nafasi za kimwili hadi kwenye uwanja wa kidijitali. Katika muktadha wa kimataifa, ukatili dhidi ya wanawake unaendelea kuwa kudidimiza haki za binadamu, ukichochea na utekelezaji dhaifu na mila za kijamii zenye ubaguzi.

Kwa mujibu wa Ripoti ya UNWomen, asilimia 38 ya Wanawake wamekumbana na Ukatili Mtandaoni, huku asilimia 85 wakiwa mashahidi wa Ukatili wa Kidijitali dhidi ya Wanawake wenzao

Katika Sekta ya Teknolojia, asilimia 44 ya Wanawake waanzilishi wa Kampuni walipata Unyanyasaji mahali pa kazi Mwaka 2020, huku asilimia 41 wakikumbana na Unyanyasaji wa Kijinsia.

-------------------

As we commemorate 16 days of Activism, we know that Violence against women extends beyond physical spaces to the digital realm. UNWomen have shown that 38% of women have faced online violence. 85% have witnessed digital violence against other women. In the tech sector, 44% of women founders experienced workplace harassment in 2020, with 41% encountering sexual harassment.

The economic development of Sub-Saharan Africa is significantly affected by gender-based violence, as a 1 percentage point rise in violence against women correlates with a 9% decrease in economic activity.

Source: UNWomen
--------------------------------------------------------------------
Ukatili wa Kijinsia huweza kusababisha Majeraha ya Mwili na hata Ulemavu

Waathirika wa Ukatili wa kijinsia wanaweza kupata majeraha ya Kimwili na matatizo ya afya kutokana na vitendo vya Unyanyasaji kama Kupigwa na Kubakwa

Pamoja na kuwa Waathiriwa hupatiwa huduma za matibabu, wakati mwingine hali na viwango vya majeraha waathirika huweza kupata matatizo ya kiafya ya muda mrefu na wakati mwingine hadi Ulemavu
Waathirika wa ukatili wa kijinsia hujikuta wakipitia athari za kudumu, ikiwa ni pamoja na kuwa wapweke. Wakatili mara nyingi hujitahidi kuwatenga waathirika na familia na marafiki zao, na mchakato wa waathirika kujenga upya uhusiano mara nyingi huwa ni changamoto kubwa.

Hali hii Hali hii naweza kusababisha matatizo ya afya ya akili kama vile ukatili wa kihisia, mawazo ya kutaka kujijeruhi, na hisia za kutojiamini.
 
Napinga ukatili Kwa mwanamke pia mwanaume,ila wanawake mjaribu kutumia hizo Akili zenu sidhani kama Kuna mtu anakushika Kwa nguvu Ili apige picha ya uchi wako atupie mtandaoni,ni nyie wenyewe mnaojitandaza na kujipiga picha,na niulize kwann mnavyorusha za Wanaume eti vibamia mnaita utani ila za kwenu mnaona ni unyanyasaji?Double standard shit.
 
Mimi hivi vitu kwakweli Mungu anisamehe! Hizi kampeni zenye kufadhiliwa na wakuza ushoga zitatuulia mila na desturi kabisa! Vijana wetu wa kiume wanaochipukia wakikuta hii dhana ishakolea watataka nao kuwa wanawake ili kukwepa shuruba zinazopandikizwa kwamba jinsia ya kiume ni janga la ukatiri!
Lakini hata watoto wa kike wanaochipukia watakua na mtazamo hasi kwa wanaume kwa kuamini ni mijitu katiri kwao mwisho wa siku wataishia kukidhiana haja zao za kimwili wenyewe kwa wenyewe na hatimaye ushoga na usagaji nchini.

Hata jamii forum jaribuni kuwa na utafiti wa kina kwa kila mnachoshiriki kukikampenia kwa kutumia fan base kubwa mliyokwishaijenga mnaweza kushauri vitu vingine vyenye mlengo hasi miaka mingi ijayo vikatazamwa kwa umakini kabla havijapewa kipau mbele.
 
Kila mtu ajilinde... Mtu unatuma picha ya utupu, mijitu mingine ni ile isiyo na kaba unategemea nini.
 
Back
Top Bottom