Hizi ndio sababu zinazopelekea wanawake wa wazuri kukosa kuolewa na baadhi yao kujiuza

DR HAYA LAND

JF-Expert Member
Dec 26, 2017
17,998
45,501
Hili jambo la wanawake wenye mwonekano mzuri na umbo kukosa kuolewa na kuishia kuwa malaya lipo kiroho zaidi.

Kwanza ieleweke hivi sio wanawake wote wazuri hawana akili au ni Malaya Ila baadhi yao hawana akili na wameishia kuwa michupuko na Malaya.


Hipo hivi binadamu anapozaliwa huwa anapewa baadhi ya vitu Kama kipaji ,uzuri wa sura umbo ,akili za utambuzi wa mambo n.k

Sasa kile kitu ulichopewa na unapoanza kukitumia vibaya lazima utanyanganywa na hautokipata tena kirahisi.


Hivyo baadhi ya wanawake wazuri wanaonekana kuishi maisha magumu ila baadhi yao huo uzuri waliopewa walishautumia vibaya kutembea na wanaume za watu kuvunja ndoa za watu kuumiza wanaume ,kuwaibia n.k

Nahitimisha kuwa ukipewa kipaji, au uzuri ,pesa n.k hakikisha hivyo vitu unavitumia Kwa njia Chanya tofauti na hapo utanyanganywa .


Andiko hili nimefanya marejeo kupitia .

Familia yangu-
Wema sepetu na Chid Benz-
Diamond+
Alikiba+
Bill gate +
Jay z+
Bakhressa+
 
Jamii yako inapaswa kufata mtazamo wako wa awali kataa ndoa, unaichanganya jamii yako

Kukataa ndoa au kukubali hilo ni jambo la MTU binafsi ikiwa tutaacha jamii ipotee au izalishe watu ambao wamekata tamaa huku sisi tupo tutakuwa hatujatimiza jukukumu letu Kwa usahihi.
 
Kukataa ndoa au kukubali hilo ni jambo la MTU binafsi ikiwa tutaacha jamii ipotee au izalishe watu ambao wamekata tamaa huku sisi tupo tutakuwa hatujatimiza jukukumu letu Kwa usahihi.
Huoni kwamba wanawake wazuri kukosa wa kuwaoa ni suala binafsi pia?
 
Wazuri waliozaliwa kwenye umasikini na Familia mbovu kitabia ndio huwa wanaishia kuwa Malaya na Single Mother.

Wazuri waliozaliwa kwenye umasikini na waliokulia familia imara kitabia huwa wanabaki wazuri kwenye kila idara (Tabia na uzuri).

MALEZI NDIO KILAKITU KWENYE MAISHA YA BINTI. SAMAKI MKUNJE ANGALI MBICHI.

KaziKweliKweli/JobTrueTrue
 
Back
Top Bottom