wanawake

Maendeleo Ya Wanawake Organisation (MYWO) is a women's NGO that deals with issues to do with women's rights and gender equity in Kenya. It was founded by Jemimah Gecaga in 1952 and has approximately 600,000 groups contributing to a total membership of about two million women. It is currently chaired by Rukia Subow and has various agendas in its mission statement, including maternal, child health and family planning and training women in leadership and development.Historically it was promoted by the British during their colonial rule over Kenya and helped provide services only for those against the Mau Mau anti-colonial uprising.Ruth Habwe served as secretary general of the organization from 1968 until 1971.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Yanayojiri katika Kongamano la Wanawake wa CHADEMA katika Ukumbi wa Mlimani City DSM leo March 8, 2020

    Ni Jumapili tulivu ambayo ni siku ya Wanawake duniani.Katika Taifa letu Wanawake wa Chadema wanafanya Kongamano lao kubwa katika Ukumbi wa Mlimani City DSM. Idadi kubwa ya wawakilishi wa Wanawake wa Chadema kutoka mikoa yote tayari wako DSM kuhudhuria Kongamano hili. Mgeni Rasmi katika...
  2. Asha D Abinallah

    JamiiForums Tanzania Kutoka JamiiForums: Kliniki ya Kidigitali Maalum kwa Wanawake katika kumsheherekea Mwanamke

    Habari Wakuu, Siku ya kusheherekea siku ya Mwanamke duniani, inahusu si wanawake tu, bali hata wanaume pia. Hii ni siku maalum ya kila mwanadamu kutambua umuhimu na nafasi ya Mwanamke kwa kumwangalia kama mwanadamu na si kwa vigezo vya sifa ya kuzaliwa Mwanamke. Na kwamba anastahili haki na...
  3. beth

    JamiiForums Tanzania Kuelekea Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani 2020, Wanaume watakiwa kutonyanyasa Wanawake na kuwanyima haki zao

    Wanaume nchini wametakiwa kutowanyanyasa wanawake kwa kuwadhulumu haki zao, kuheshimu nafasi zao na zaidi kuepuka kuomba rushwa ya namna yoyote pindi wanapohitaji msaada. Hayo yamesemwa na Mkuu wa Wilaya ya Dodoma, Mhe Patrobas Katambi kuelekea kilele cha siku ya Wanawake duniani Machi 8 mwaka...
  4. Martin Kemosabe

    JamiiForums Tanzania Wimbo wa Supa Woman ni mzuri sana Pongezi kwa waimbaji

    Hongereni wanawake wote nimependa wimbo wenu wa supa woman,ki ukweli ni wimbo mzuri sana Hongereni kina mama Wasanii mlioimba hongereni mmeutendea wimbo haki yake. Vitu nilivyopenda kwenye huu wimbo wenu Kiitikio chenu kinanifanya niweke A-B ijirudie sichoki kabisa mdada aliepiga hicho kifaa...
  5. funluverx

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Eti, Wanawake wenye Mwanya au Vi-dimpoz wanapenda 'Mambo fulani'?

    Habari Wadau. Enhe, Sina maelezo zaidi Ila, Kama Uzi unavyosema, Eti, kwa Jinsia ya Kike wale waliobahatika kuwa na Mwanya wa asili pamoja na wale wenye mashavu (ya Kichwani) yenye vishimo maarufu kama dimpoz, Inasemekana ni wapenzi zaidi wa mchezo wa kujamiiana zaidi kuliko wale wasio na sifa...
  6. Mema Tanzania

    JamiiForums Tanzania Je, wajua kazi zinazofanywa na wanawake zingetengeneza nusu ya ajira?

    Wanawake nchini Tanzania hutumia wastani wa zaidi ya masaa 6 kwa siku kufanya kazi zisizokuwa na malipo kama kupika, kuchota maji - ukilinganisha na masaa 3 tu wanayotumia wanaume. Kama kazi wanazofanya zingegeuzwa kuwa za malipo zingetengeneza zaidi ya nusu ya ajira zilizopo. #IWD2020 #EachforEqual
  7. Gily Gru

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Marehemu Babu na mbinu za kuwapata wanawake wengi

    Mwaka 2003, safari yangu ya kwenda Tanga iliiva kutoka mkoani Kilimanjaro, kwa babu mzaa baba, kuelekea Tanga kwa babu mzaa mama. Siku hiyo nyumbani kwa babu kulikuwa na sherehe, basi watu walikula na kucheza sana. Wakati wa kucheza babu akanikuta niko nimeshikilia jimama nacheza nalo, ile...
  8. the numb 1

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Onyo kwa Wadada: Usifikiri kumpa mpenzi wako kinyume na maumbile ndio atazidi kukupenda au kuzidisha upendo

    Ndugu zangu kwa miaka ya sasa hivi ukihitaj mwanamke wa maisha(future) hakikisha inakupasa umshirikishe Mola wako. Kwasababu sikuhizi wanawake wengi wameharibika wengi wanafanywa kinyume na maumbile mwanamke ameshakaa geto na mchizi zaidi ya mwezi magetoni jamaa anajilia vyombo na nyumbani kwao...
  9. Mzukulu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je, ni kweli kabisa kwamba 95% ya Wanawake ( akina Mama ) wanaocheza VICOBA wanawasaliti ile mbaya Wapenzi / Waume zao?

    Kwa niliyoyashuhudia na ambayo naendelea Kuyashuhudia Mimi Msimamo wangu juu ya Hoja husika nitausema mwishoni kabisa ila kwa sasa naomba niwaachieni nanyi pia muweze Kufunguka kwani yawezekana nilichokipata kikawa siyo sahihi nanyi mkawa sahihi. Ewe Mwenyezi Mungu tulinde tu Sisi waja wako na...
  10. beth

    JamiiForums Tanzania Simiyu: Mh. Samia Suluhu Hassan kuwa Mgeni Rasmi katika maadhimisho ya Kitaifa ya Siku ya Wanawake

    Kilele cha maadhimisho ya Siku ya Wanawake duniani kitafanyika mkoani Simiyu ambapo mgeni rasmi anatarajiwa kuwa Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan. Akizungumza na waandishi wa habari, Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Anthony Mtaka amesema maadhimisho hayo yatatanguliwa na maonesho ya wajasiriamali...
  11. Mema Tanzania

    JamiiForums Tanzania Siku ya wanawake duniani ina maana gani? Chimbuko, Malengo na Kumbukumbu zisizosahaulika

    #TatuZaJumatatu SIKU YA WANAWAKE DUNIANI INA MAANA GANI | CHIMBUKO LAKE Mwaka 1908 kulitokea mtafaruku na mjadala mkubwa kuhusiana na wanawake ikumbukwe miaka hiyo kulikuwa na unyanyasaji na kutokutambulika kwa haki za wanawake hali iliyopekea wanawake kuanza kupaza sauti na kuendesha kampeni...
  12. The Sheriff

    JamiiForums Tanzania Getrude Mongella: Ni heri kumpigia kura mgombea mwanaume kuliko mwanamke anayeona aibu kuzungumzia matatizo na maendeleo ya wanawake

    BALOZI Getruda Mongela, amesema ni heri kumpigia kura mgombea mwanaume katika chaguzi mbalimbali kuliko mwanamke anayeona aibu kuzungumzia matatizo na maendeleo ya wanawake. Akizungumza jana katika mkutano uliowakutanisha viongozi wanawake nchini, Balozi Mongela alisema siku ambayo Bunge...
  13. Nyanswe Nsame

    JamiiForums Tanzania Wanawake Misungwi Mwanza wawajengea waume zao nyumba bora

    Wanawake Misungwi Mwanza wawajengea waume zao nyumba bora HIKI ni kitu ambacho hakijawahi kutokea hapa nchi baada ya wanawake kujiunga katika vikundi vidogo vya maendeleo na kuanza kuwajengea waume zao nyumba bora, ikilinganishwa na maeneo mengine ya Tanzania tulivyozoea kuona wanaume ndio...
  14. Gily Gru

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mauno mkeo watoto: Uswahilini na maadili

    Kwa wale ambao hawajui maisha ya uswahilini, kuna vigoma vingi Sana watu wanapita wakiwa Na Madera (ndani chupi hakuna) wanacheza Na kujifunua uchi uchi. Kuna siku nilipita nikaona uchi Wa Malaya wanacheza aisee walikuwa uchi wa mnyama, zile nuksi nilizozipata mana nilikoswakoswa na magari...
  15. BASIASI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sifa za wanawake wa kichaga

    SIFA ZA WANAWAKE WA KICHAGA 1. Wakarimu 2. Waaminifu 3 . Wavumilivu 4. Wachapakazi 5. Hawapendi ela wanapenda maendeleo😌 Nani anabisha ? 😁ajifanye kama anajikuna😁😁😁😁😁
  16. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Ripoti mpya inasema kuwa zaidi ya nusu (61%) ya wanawake waliuawa na wanaume nchini Uingereza mwaka 2018 ambao walikua ni waume zao

    Ripoti mpya inasema kuwa zaidi ya nusu (61%) ya wanawake waliuawa na wanaume nchini Uingereza mwaka 2018 ambao walikua ni waume zao au waliokua waume zao. Matokeo ya uchunguzi huo yametokana visa ambavyo vimeshtakiwa au wahusika wamepatikana na hatia. Sensa ya mauaji ya wanawake, ilifanywa na...
  17. Its Pancho

    JamiiForums Tanzania Wanawake tajeni top 10 ya I'd za kiume zenye majina mazuri...

    Huu ni uzi wenu mtiririke na kuserereka. Mtaje top ten zenu kama sio five ya I'd za wanaume zenye majina matamu kwenu na yanayowavutia... For sure.. Nb nna imani ntakuwa wa kwanza.. 😎😎😎
  18. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake mlio na ndoa someni hapa kuna la kujifunza

    *MWANAMKE ALIYEACHIKA ANAANDIKA* Ninaandika haya ili uelewe kwamba ni vizuri kuwatambua wenza wetu na mchango wao licha ya mapungufu yao. Nina umri wa miaka 32. Mimi na mume wangu tulikaa kwenye uchumba kwa miaka 6. Tulikuwa marafiki sana. Nilimsubiri mpaka alipomaliza masomo yake ya chuo na...
  19. Eagle J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je, ni kweli wanawake mna tabia hii?

    Mtihani wenu mkubwa katika maisha ya mahusiano ni pale mpenzi mpya anapoomba game... Huwa mnawaza sana size ya maumbile ya mwanaume na huwa inawapa "homa" pale unapoona dole gumba na sign zote mnazptumia kujua maumbile ya kiume zikiashiria ukubwa au urefu. Je ni kweli mna tabia hizi
  20. Rebeca 83

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume wanaoshadadia masuala ya bikra ni waoga wa wanawake

    Leo nimejiskia kufanya fujo humu. I predict mnaoandika mada zisizoisha za bikira, mko inexperienced ikija kwenye mapenzi, yaani ni watu reserved mnaogopa ku-explore. Some of this group mumelelewa kwenye strict rules. Upringing yenu inafuata rules A, B, C; hakuna kuchanganya rules na lazima...
Back
Top Bottom