Mshangao: Wanaume tuliooa wanawake wazuri tuna matatizo gani lakini?

Rasterman

JF-Expert Member
Feb 24, 2015
33,905
44,017
Ngoja leo tuongee na wanaume tuliooa wanawake wazuri kuona tunakwama wapi. Jana katika pita pita zangu mitaa ya kishua nikaibukia uswazi kwetu. Nikakutana na mwanadada Mashaallah analia huku akiongea kwa hasira akimtaja mtu mmoja kwa jina Mohamed. Alikuwa akipiga makelele Mohamed, Mohamed una matatizo gani na mimi? Mbona unanifanyia hivi?

Basi nikatupia jicho kuona nani huyu anapiga kelele na kujaza watu. Ebwanaeeeh!! Jicho likakutana na mwanadada umbo namba nane. Mwanadada huyu alikuwa na kila kitu cha mwanamke. Ziwa hilo, Nyonga hiyo, tako hilo, Kiuno hicho. Akitembea huku anabubujikwa na machozi na mtetemeko wa hatari huku nyuma. Watu tulipigwa na butwaa.

Kuuliza tukaambiwa kamfumania Bwana wake na mwanamke mwingine. Washikaji tulioguswa na tukio lile tukawa tunajisemea "penye miti hakuna wajenzi" huyo mama na hiyo miwowowo unaanza kutoka nje kutafuta nini?

Alikuwapo Baba mmoja wa makamo hivi akatusikia tukijadili maujinga yetu. Akasogea karibu na kuingilia mazungumzo yetu. BABA mtu mzima alisema hitaji la mwanaume katika ndoa siyo maumbile ya mwanamke. Kama ndivyo mwenye mke huyo angekaa ndani na kutulia.

Akasema ukiona hivyo kuna kitu muhimu kimekosa ndani au kwa huyo mwanamke. Kwakweli Mzee alitushangaza kitu gani huyo mwanamke amekosa wakati sisi tunammezea mate na kumtamani?

Jamani wanaume tunataka Mungu atupe nini tena? Kama uzuri wanawake tunajichagulia wenyewe kila mtu kwa mapenzi yake.

Sasa shida iko wapi?

1624447357599.png
 
Ushaambiwa mwanaume anapenda vipande vipande usichoelewa Nini? Ukute huyo anakila kitu isipokuwa hapigi makelele wakati wa kugegedwa halafu mudi anapenda mwanamke mwenye makelele kwanini asijichepushe?
 
Back
Top Bottom