Wanawake punguzeni uongo

yuzazifu

JF-Expert Member
Oct 6, 2018
5,109
9,407
Natumai hamjambo wakuu

Jana nikiwa katika harakati zangu za hapa na pale nilikutana na dada mmoja matata wa age ya 27-30, nikawa nimemwelewa sana nikaomba tubadilishane contact akakubali but alikuja nitibua nilipomuuliza ushadate na wangapi eti kwa umri huo ananijbu wawili, dah! alinikata stim kabisa hadi nikagairisha mtongoza.

Niwaase wadada mpunguze uongo usio na tija coz kuna nyakati mtakuja chezea bahati mkachengana na magari ya mishahara.
 
  • Thanks
Reactions: amu
Ulikosea sana kumuuliza hili swali ,ungeanza kupiga vesi ,wakati unamgegeda ndio ungemuuliza hilo swali
 
Unamchunguza bata? kwanini na wewe usimueleze ulio-ngonozembe nao ni wangapi?
hayo maswali usiyarudie kabisa kwani hakuna mzazi wako atakayekuuliza
mzigo umeupenda ishi nao
 
Ulitaka akuambie kadate nao 50 ndio uridhike....Yafaa kabla ya yote uonane na daktari kwanza.
 
Kamtoa bk mtu 1 at the age of 20 labda wakadumu 3yrs akapumzika 1yr akadate 3yrs tena wakaachana

Ss unashangaa nn kuna watu hawana nyeti za promosheni mkuu usishangae
mkuu kwa zama hizi ke mwenye age hiyo kama amejiheshim sana anakua kishatembea na me 10+
 
natumai hamjambo wakuu

jana nikiwa katika harakati zangu za hapa na pale nilikutana na dada mmoja matata wa age ya 27-30, nikawa nimemwelewa sana nikaomba tubadilishane contact akakubali bt alikuja nitibua nilipomuuliza ushadate na wangapi eti kwa umri huo ananijbu wawili, dah! alinikata stim kabisa hadi nikagairisha mtongoza.

niwaase wadada mpunguze uongo usio na tija coz kuna nyakati mtakuja chezea bahati mkachengana na magari ya mishahara.
Alikujibu kutokana na upopoma wako. Na kwa miswali hiyo usingempata atakuona wewe boya tu.
 
natumai hamjambo wakuu

jana nikiwa katika harakati zangu za hapa na pale nilikutana na dada mmoja matata wa age ya 27-30, nikawa nimemwelewa sana nikaomba tubadilishane contact akakubali bt alikuja nitibua nilipomuuliza ushadate na wangapi eti kwa umri huo ananijbu wawili, dah! alinikata stim kabisa hadi nikagairisha mtongoza.

niwaase wadada mpunguze uongo usio na tija coz kuna nyakati mtakuja chezea bahati mkachengana na magari ya mishahara.
Sasa mzee unataka kujia waliodet nae ili uwaajiri au
 
Back
Top Bottom