Madhara ya kuangalia Picha/Video za Ngono kwa Wanaume na Wanawake


Mhafidhina

Mhafidhina

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2008
Messages
548
Likes
8
Points
0
Mhafidhina

Mhafidhina

JF-Expert Member
Joined Feb 6, 2008
548 8 0
Naomba kufahamu madhara yatokanayo na kuangalia picha/video za ngono kwa watu wa aina zote, Wanaume kwa Wanawake...!

- Tatizo jingine la mdau wa JF.

Habarini wana jamvi,

Jamani naomba msaada wa ushauri,

Mimi ni binti mwenye umri mkubwa kias ( almost 30years), single. I used to love sex (enzi za mahusiano) but this time nimekua mpenda kuangalia porn mpaka najihisi nimekua addicted kwani bila kuangalia usiku ni lazima asubuhi kabla ya kujiandaa kwenda kazini niangalie ndio nijiandae au hata kama ni weekend lazima niangalie kwanza ndo nitoke room kuendelea na mambo mengineyo ya nyumbani.

Hali hii inanisumbua sana kiasi kwamba baada ya kuangalia ndo najiona sijitendei haki.

Nilijaribu kuwa nasoma novels naangalia movies na kufanya mazoezi just to keep myself busy kama sipo kazini lakini hata kama nikisoma au kufanya mazoezi mwisho wa siku ni lazima nichungulie kwanza :eek:.

Asanteni..
=========
MAONI NA USHAURI WA WANAJF

1.
Kwanza kabisa nianze kukupa pole sana mtoa mada, lakini pili nakupongeza kwa ujasili wa kulileta hapa jamvini.

Nikuambie tu kwamba wewe si wa kwanza kuwa na tatizo hili, wapo wengi tu hata wanaosoma uzi huu sasa nao wanahitaji msaada mkubwa wa kiroho.

Chanzo cha tatizo ni kwamba ulijihusisha na mahusiano ya kingono yasiyo rasmi (Ndoa Takatifu iliyofungwa na mchungaji au sheikh) kama ulivyokiri wewe mwenyewe.

Sitaki kukuwekea maneno mdomoni, lakini yaweza pia ulianza kutazama porn muda kwa sababu ya kuwa mpweke ama rafiki/marafiki wenye tabia hiyo au tu kwa sababu ya kukua kwa technologia ili usibaki nyuma mfano facebook, instagram, badoo na mingine mingi.

Tatizo ulilonalo wewe ni kuwa tayari umeolewa na jini/majini mahaba (roho wachafu).

Naamini kila baada ya kutazama porn ni lazima huwa unajichetua kwa masturbation bila shaka.

Pepo hao wachafu watakuharibia mpango mzima wa maisha yako iwe shule, uchumi na pia kutopata mme tena wa kukuoa.

Namna ya kujinasua katika hali hii:
1. Mshirikishe na kuwa karibu na Mungu wako kwa kushiriki IBADA safi

2. Unahitaji kuwa delivered - kuombewa mfano na wachungaji au mashehe.

3. Fanya mazoezi ya kutosha.

4. Kama una CDs, memory stick or whatever embu destroy zote mara moja na jiapia kutorudia tena kutazama hata online.

Kila la heri, Mungu akusaidie
2.
Hata hivyo porn ndo kitu kinaangaliwa zaidi kwenye Internet.

Pia, tatizo si kuangalia Bali ni hiyo addiction.

Sasa mi mwenyewe nlizoea kweli ila nkafanya Haya..

1.Nimewezesha filter inachuja nudity zote hizo.

2. Nmetafuta ishu mbadala ya kufanya nikijiskia kuchek porn.Nayo ni kuingia hapa JF maana kuingia kwingine kama insta na fb ni ujinga ule ule nudity kibao. (JF ni Tiba) nafanya sublimation.

3.Nimesearch matatizo yote yatokanayo na kuchek porn na yamesaidia kunifanya nibadili attitude.

Leo ni siku ya 3 na sijaangalia. So naona maendeleo si mabaya

NB; Kwa miaka yako 30 hebu tafuta bwana awe anakupa vitu. So kuishia kuangalia wenzako tu...
3.
Zingatia pia comment #90 hapo juu, yaani kama wewe ni mpenzi sana wa kuingia mitandao ya kijamii hususani ile yenye kuhusisha porns, nudity etc kama instagram, facebook, badoo embu achana nazo mara moja.

Japo haitatosha kwa jinsi hili tatizo lilivokuwa sugu tayari kama ulivyokili mwenyewe.

Jini mahaba ndio majini mabaya kabisa yanayopelekea watu hadi kujizulu maisha kwa namna yoyote ile.

Wapo watu wengi mno wamo kwenye hili tatizo lakini hawasemi tu. Wengine ni wafanyakazi wakubwa tu wanalipwa vizuri nk, hivyo wana access ya vitu hivyo wakati wowote ule wakitaka.

Mfano; Mimi nampenda YESU KRISTU WA NAZERET, ndiye aliyenishindia mambo mengi yenye majaribu na mapito magumu lakini namshukuru Mungu yeye anitiaye nguvu.

Kadhalika wewe hata kama ni Muslim wala usijali maana Muslim is a also a TRUE RELIGION OF GOD, kwa hivyo yale yote wanayofundisha iwe mawaidha nk yanakemea sana kuona ama kuonesha utupu wa aina yoyote ile. Hakika afanyaye hayo hataionja mbingu.

Ndio maana hata wanasisitiza mavazi yanayoficha mwili vizuri kwa wanawake.

Usiogope watu watasema nini kwa uamuzi wako wa kukombolewa kiroho utakaochukua sasa maana ndio itakuwa mwisho wa matatizo yako.

Kwa kukusaidia tu please, nenda kaombewe na ukili kutoka moyoni mwako kwamba unaacha kuanzia sasa tabia hiyo chafu. Najua sio wewe, bali ni shetani huyo anakuchezea.

Kuwa mwaangalifu sana humu kwenye mitandao, kuna agents wa shetani wengi tu.

Royo ya Mungu itakukumbusha kila mara unapojaribu kufungua porn kwe mtandao lakini uamuzi na utashi ni wako wala hulazimishwi. Ni kama enzi za Adam na Hawa, ilikuwa hivihivi.

Madhara mengine unayoweza kupata kwa kuwa na jini mahaba ni kwamba hata upate mme handsome and well endowed (amejaliwa mambo fulani) vipi hutaridhika kamwe.

Na ndio chanzo cha ndoa au mahusiano mengi kuvunjika. Maana wewe ubongo wako utazidi kuwa na picha zile kwamba nataka mwanaume awe hivi na anifanyie hivi na vile kama kwe hizo porn za kishetani.

Mungu akusaidie dada jipe moyo utashinda tu nenda kuombewe please, there is the Mighty power in the Name Jesus.

Wengine najua wata comment oooh mara mbona unaleta mambo ya kidini mara sijui nini.

Haisaidii, bali ukweli ndio huo utakao kuweka huru dada. Hata ufunge ujinyime kula na kunywa, bila kukombolewa bado tabu inaweza kuwepo.

Jambo la kuzingatia usije enda sijui wakakwambia eti oooh sasa inabidi uendelee kusali kwetu ili isijirudie tena.

Na na na no...., wakatalie kabisaa.., hamnaga hiyo. Ninachojua mimi dhehebu haliwezi kumpeleka mtu yeyote mbinguni hivyo usidanganywe kwa matatizo yako.

Kinachompeleka mtu mbinguni ni mahusiano mazuri ya kiroho na Mungu aliyeumba vitu vyote.

Simple be careful...
 
Maria Roza

Maria Roza

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2009
Messages
6,815
Likes
264
Points
180
Maria Roza

Maria Roza

JF-Expert Member
Joined Apr 1, 2009
6,815 264 180
Hakuna MADHARA
 
MwanaFalsafa1

MwanaFalsafa1

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2008
Messages
5,566
Likes
30
Points
135
MwanaFalsafa1

MwanaFalsafa1

JF-Expert Member
Joined Feb 26, 2008
5,566 30 135
Hakuna madhara physical au psychological yatokanayo na kuangalia video za ngono. Tatizo lina luka pale mtu unapo dhani kila unacho kiona kwenye video hizo ni kweli.

Kuna watu wanaangalia video hizo na kiona technics na kuviapply kwenye maisha ya mapemzi. Wasicho ni kwamba ule ni uigizaji.

Wengine wakiona style fulani inamfanya mwanamke apigee mayowe wanaenda kwa wapenzi wap bila kujua kwamba Mara nyingi porn stars wana fake orgasm kicreate uhalisia.

Kwa hiyo mkuu usije ukaona kwenye hizo video mwanamke ana zabwa vibao au kushindiliwa uume kooni mpaka ana kuwa mwekundu huko ana furahia na wewe ukaenda kumfanyia mpenzi wako.

So madhara ni hilo tu mkuu la kudhani kila unachoona humo kinamfurahisha mwanamke na wewe kuongeza mbinu hizo kwenye "arsenal" yako. Vitu vingine mbembewe tu so be aware unavyoiga.
 
Mhafidhina

Mhafidhina

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2008
Messages
548
Likes
8
Points
0
Mhafidhina

Mhafidhina

JF-Expert Member
Joined Feb 6, 2008
548 8 0
Kuna tatizo la kuwa addictive. Inasemekana pia hizi picha na video za ngono zinaweza kumfanya mtu kuwa addictive sana kiasi cha kushindwa ku-do mpaka atazame kidogo ili kuamsha hisia...! Sasa sijajua huli ni kweli kiasi gani...!

 
MwanaFalsafa1

MwanaFalsafa1

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2008
Messages
5,566
Likes
30
Points
135
MwanaFalsafa1

MwanaFalsafa1

JF-Expert Member
Joined Feb 26, 2008
5,566 30 135
Kuna tatizo la kuwa addictive. Inasemekana pia hizi picha na video za ngono zinaweza kumfanya mtu kuwa addictive sana kiasi cha kushindwa ku-do mpaka atazame kidogo ili kuamsha hisia...! Sasa sijajua huli ni kweli kiasi gani...!

It is not addictive kiasi cha kukufanya ushindwe kuperform kunako sita kwa sita. Addiction yake ile ni metaphor tu Kama vile mtu anapo kuwa addicted na kipindi fulani au aina fulani ya movie.

Tatizo ukizoea sana you lose touch with reality and create false expectations for ur lover and urself. Ila kama ukiichukulia kama burudani tu haina madhara. Kuna watu wanaangalia porn na wenza wao kama vile baadhi ya watu wanavyo enda strip club na wapenzi wao.
 
Jay One

Jay One

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2010
Messages
12,006
Likes
6,133
Points
280
Jay One

Jay One

JF-Expert Member
Joined Nov 12, 2010
12,006 6,133 280
No ni nzuri kwa kujifunzia, but be private with ur wife or alone, pili don't watch everyday, once a week is Good, kama huangalii kabisa ni uamuzi wako pia, but be careful anything in excess is harmful, iwe ngono, chakula, kusoma, mazoezi, kucheka, watching Porno, etc have ur own limit,
 
Rutashubanyuma

Rutashubanyuma

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2010
Messages
169,611
Likes
635,341
Points
280
Rutashubanyuma

Rutashubanyuma

JF-Expert Member
Joined Sep 24, 2010
169,611 635,341 280
Hakuna MADHARA
Hakuna tendo lisilo na faida na hasara.........................................
 
G

GUSEPE

Member
Joined
Nov 28, 2012
Messages
89
Likes
0
Points
13
G

GUSEPE

Member
Joined Nov 28, 2012
89 0 13
Wajua nataka kupata majibu sahih ya kumpa kijana wangu wa kiume bse anaangalia sana....
 
ndetichia

ndetichia

JF-Expert Member
Joined
Mar 18, 2011
Messages
27,735
Likes
2,004
Points
280
ndetichia

ndetichia

JF-Expert Member
Joined Mar 18, 2011
27,735 2,004 280
hakuna madhara kama anajielewa ila kama hajielewi kazi ipo mpe kazi nyingi ili akichoka alale zaidi ya hapo sidhani kama ataacha kikubwa ni mishemishe ziwe nyingi asipate mda wakuangalia pc au tv..
 
M

mwagisa

Member
Joined
Jun 24, 2012
Messages
48
Likes
0
Points
0
M

mwagisa

Member
Joined Jun 24, 2012
48 0 0
Chapa piga huyo kijana na anaangalizia sehem gan kwenye cm tv computer? Wakati huo ww unakuwa wap?
 
M

mzabzab

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2011
Messages
7,636
Likes
1,155
Points
280
M

mzabzab

JF-Expert Member
Joined Aug 18, 2011
7,636 1,155 280
porn inasaidia watu kuyopata ngoma...maana wanaangalia na kwenda kupiga nyeto.....wanawake wala huna shida nao tena.
 
samilakadunda

samilakadunda

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2011
Messages
1,715
Likes
48
Points
145
samilakadunda

samilakadunda

JF-Expert Member
Joined Oct 13, 2011
1,715 48 145
anahitati guidance and councelling mkuu ndio tiba pekee,na ifanywe na mtaala sio ww, kwana waweza muongezea matatizo mengine, athari yake anaweza kuja kupata kesi ya ubakaji au yeye mwenyewe kuathirika kisaikolojia!
 
samilakadunda

samilakadunda

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2011
Messages
1,715
Likes
48
Points
145
samilakadunda

samilakadunda

JF-Expert Member
Joined Oct 13, 2011
1,715 48 145
pia nimegundua, tatle ya habari"Picha za Ngono" mijitu ikisoma tu haraka anadhani atakutana na Mimuve ya xxx, ndiomana hawatoe jibu la swali.
 
englibertm

englibertm

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2009
Messages
9,262
Likes
1,964
Points
280
englibertm

englibertm

JF-Expert Member
Joined May 1, 2009
9,262 1,964 280
1.Style
2.Starter
3. Appetizer
du unaonekana unazifuatilia sana pale UD enzi zetu zile za mwalimu kuanzia saa 4 usiku pale ATB zilkua zinaonyeshwa pale na zilikuwa zinaitwa vitafunio
 

Forum statistics

Threads 1,238,772
Members 476,122
Posts 29,330,202